kendakubonaontwale
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 201
- 25
Wapi naweza Kupata castrol oil? Naombeni msaada kwa Dar.
Nenda farmac yoyote waambie hayo mafuta utapata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi naweza Kupata castrol oil? Naombeni msaada kwa Dar.
Nenda farmac yoyote waambie hayo mafuta utapata
Naomba unisaidie mkuu, hayo mafuta ulinunua wapi?
mi nimetumia kitunguu swaumu saivi poa nimepona kabisa
Eleza kwa kina uwasaidie wenzio. Kiaje hicho kitunguu swaum?
Hilo sio tatizo la wanawake tu bali ni jinsia zote. Linaitwa haemorhage/ external piles.Chanzo chake ni ulaji usiozingatia kanuni ambao hupelekea mhusika kupata choo kigumu sana basi ndio hupelekea hiyo hali.Tiba yake kuna vidonge vinaitwa Anusol unaingiza kwenye njia ya haja kubwa. Likiendelea kujirudia hauna budi kukubali kufanyiwa operation.Tatizo la kuota kwa vinyama vidogo karibu na njia ya haja kubwa kwa mwanamke husababishwa na nini na hutibikaje????
Hilo sio tatizo la wanawake tu bali ni jinsia zote. Linaitwa haemorhage/ external piles.Chanzo chake ni ulaji usiozingatia kanuni ambao hupelekea mhusika kupata choo kigumu sana basi ndio hupelekea hiyo hali.Tiba yake kuna vidonge vinaitwa Anusol unaingiza kwenye njia ya haja kubwa. Likiendelea kujirudia hauna budi kukubali kufanyiwa operation.
Not haemorhage ni hemorrhoids.
vitu viwili tofauti kabisa.
Yapo mengi ya kuongezea.Thanks for corrections mkuu. Huna cha kuongeza kumsaidia mdau???
Dah hii kitu inanisumbua sana imentokea week 2 baada ya kujifungua nimetumia dawa ila naona bado aiseee napata mawazo sana wakati wa haja kubwa maana ni kulia kwa maumivu Dah
Dah hii kitu inanisumbua sana imentokea week 2 baada ya kujifungua nimetumia dawa ila naona bado aiseee napata mawazo sana wakati wa haja kubwa maana ni kulia kwa maumivu Dah