Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

mi nimetumia kitunguu swaumu saivi nimepona kabisa chukua punje hata mbili za kitunguu swaumu ponda ponda weka sehemu husika
Kila siku usiku ukiweka kaanacho kwa muda wa masaa mawili kisha jisafishe katika siku saba za wiki tumia mara 3 usiku ndo muda poa zaidi kunywa maji mengi sana kwa ck kunywa hata lita 4.5 hadi tisa pendelea kula matunda na mboga mboga zenye nyuzi hii itakusaidia kupata choo kilaini usile nyama nyekundu pendelea kula samaki tumia maziwa fresh kwa wingi hakikisha haukai wala kusimama kwa muda mrefu nenda haja kubwa kila unapohisi haja hakikisha unajisafisha na kuacha eneo husika likiwa kavu muda wote kitunguu swaumu kitasababisha mchubuko hata kupelekea damu kutoka hata usiogope endelea na tiba mpaka utakapo pona mi nilitumia wiki moja kwa kufata masharti nikawa ninepona kabisa
 
Tatizo la kuota kwa vinyama vidogo karibu na njia ya haja kubwa kwa mwanamke husababishwa na nini na hutibikaje?
 
Tatizo la kuota kwa vinyama vidogo karibu na njia ya haja kubwa kwa mwanamke husababishwa na nini na hutibikaje????
Hilo sio tatizo la wanawake tu bali ni jinsia zote. Linaitwa haemorhage/ external piles.Chanzo chake ni ulaji usiozingatia kanuni ambao hupelekea mhusika kupata choo kigumu sana basi ndio hupelekea hiyo hali.Tiba yake kuna vidonge vinaitwa Anusol unaingiza kwenye njia ya haja kubwa. Likiendelea kujirudia hauna budi kukubali kufanyiwa operation.
 
Not haemorhage ni hemorrhoids.

vitu viwili tofauti kabisa.
 
it happened kwa mtoto wa dada angu alifanyiwa operation kairuki hospital and he is okay now
 
Tiba yetu ya asili ya Aunt Zainab's Natural Super Clay, inasaidia sana kwenye hilo tatizo.

Jaribu ni TZS 3,500 tu kwa mkebe mmoja.

Namba zetu ni 0769302206 tupo Sinza kwa Remmy.
 
Thanks for corrections mkuu. Huna cha kuongeza kumsaidia mdau???
Yapo mengi ya kuongezea.

Kawa mwanamke/mwanaume pia inaweza kusabishwa na ujauzito, obesity au uzito kupita kiasi, kujikamua kupita kiasi au screaming wakati wa kwenda haja kubwa.

Shughuli au mambo yote yanayoweza kuongeza mkandamizo tumboni (intra abdomina pressure) kama wabebaji mizigo mizito, wanajeshi au recruits na madereva wa masafa marefu.

Tuepuke hayo yote yasababishayo ikiwemo kuboresha milo yetu kwa kula vitu vilaini.

Hemorrhoids zimegawanyika katika makundi mawili.

Internal and external

Huku internal nayo ikigawanyika zaidi katika makundi matatu-nne.

Inatibika kwa pessaries na operation baada ya njia za awali kushindikana.

Hilo ni somo pana hope kuna thread yake humu jamvini imeelezea vizuri.
 
Dah hii kitu inanisumbua sana imentokea week 2 baada ya kujifungua nimetumia dawa ila naona bado aiseee napata mawazo sana wakati wa haja kubwa maana ni kulia kwa maumivu Dah
 
Dah hii kitu inanisumbua sana imentokea week 2 baada ya kujifungua nimetumia dawa ila naona bado aiseee napata mawazo sana wakati wa haja kubwa maana ni kulia kwa maumivu Dah

Bawasiri iinitokea Dec 2014, baada ya kuendesha "Diarrhea" ya kama siku tatu mfululizo. Nilikuwa napata maumivu makali sana. Nilienda hospitali, wakasema dawa ni kufanyiwa upasuaji. Nikaogopa.

Nikaenda kwa mzee mmoja wa tiba asilia, akanipa dawa fulani ya maji ambayo nilikuwa napaka asubuhi na usiku.

Alhamdulillah, ndani ya siku tatu nikapona kabisa
 
Back
Top Bottom