Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Jaman wana jf habar za kaz
Msaad wenu tafadhal nkiend choon mpk nchome ganzi naumia

Hamna haja ya hospital , jipe mda wakati huo ongeza vyakula kama papai, juice nzito ya ukwaju ,matunda, salad , maembe n.k . Epuka mikate ugali wa sembe, wali n.k ,, pia wakati wa kulala hakikisha kiuno kinakuwa juu au lala kifudi fudi ... 4 days kitaondoka trust me
 
69f4a333c700342af838d9c09952dcf1.jpg
b958ea82c73f347c887e5c7ff93eeb6f.jpg
5507b1817818e50c1544bb7393589b19.jpg
12 Amazing Home Remedies for Hemorrhoids - How to Get Rid Of Hemorrhoids Naturally And Quickly - The Health Information site
 
Nilishawahi umwa huo ugonjwa. Nilienda hospitali na ajabu daktari hakunipa dawa yoyote, ila akanipa ushauri very simple.

Alinambia ninunue Dettol kisha nichemshe maji na kuyaweka kwenye besen mpaka yapoe yawe vuguvugu. Maji haya ukishayaweka tu kwenye beseni tia Dettol vifuniko viwili.

Yakishapoa na kuwa vuguvugu kaa humo ndani ya beseni kwa dakika kumi na tano.

Fanya hivi kwa mara kadhaa. Utaona mabadiliko kama kweli waumwa Hemerroids.

Iliniponya.

☆Steve
 
Nenda hospitali wala usifanye ajizi. Utatibiwa, na ukipona, epuka ulaji wa ndizi mbivu, aina ya malindi. Ulaji wa ndizi hizo kwa wingi , husababisha ugonjwa huo.
 
Nilikuwa na jirani yangu mpangaji lipata hilo tatizo na akaenda hospital wakamfanyia operation akapona kabisa na yuko vizuri sasa.. Nenda hospital ndugu yangu wala si tatizo la ajabu inawatokea wengi...
khaa umejuaje kama anaendelaea vizuri jaman...eemola tuepushe na ma basha khaaaa.
mtu anaumwa unajua maendeleo yake yeleuwiiii[emoji23]
 
Jaman wana jf habar za kaz
Msaad wenu tafadhal nkiend choon mpk nchome ganzi naumia
Hiyo kitu inaitwa hemoroide. Kuna ya uvimbe WA ndani na uvimbe WA nje. So wa kwako unaweza ukawa WA ndani but unavyokua unatoa haja kubwa ndo kinatoka. So sababu kubwa ni kula vyakula vinavyofanya kinyesi kiwe kigumu na kusababisha shuruba wakati wa kutoa haja. Hapo basi damu inakua inagandana. So hiyo ndo issue.
 
khaa umejuaje kama anaendelaea vizuri jaman...eemola tuepushe na ma basha khaaaa.
mtu anaumwa unajua maendeleo yake yeleuwiiii[emoji23]
Mawazo yako Mungu akusaidie tu.. Ivi wewe ulishamhudumia mgonjwa mwanaume? mtu hawezi kwenda hata haja kubwa inabidi umsaidie hadi kuchamba? hujafa hujaumbika, omba yasikukute
 
Mimi niliugua ugonjwa huo, lakini ilikuwa bado mapema uvimbe alikuwa bado mdogo. Nilienda hospital, sikufanyiwa oparesheni ila niliulizwa maswali nikajibu. Nilishuriwa, niache kula ndizi nilizokuwa nikila zaidi. Niliambiwa nitumie aina nyingine ya ndizi kama vile bukoba, au sukari niachane na malindi. Uvimbe ulipotea ndani ya wiki mbili.
 
Asante
 
Nilishawahi umwa huo ugonjwa. Nilienda hospitali na ajabu daktari hakunipa dawa yoyote, ila akanipa ushauri very simple.

Alinambia ninunue Dettol kisha nichemshe maji na kuyaweka kwenye besen mpaka yapoe yawe vuguvugu. Maji haya ukishayaweka tu kwenye beseni tia Dettol vifuniko viwili.

Yakishapoa na kuwa vuguvugu kaa humo ndani ya beseni kwa dakika kumi na tano.

Fanya hivi kwa mara kadhaa. Utaona mabadiliko kama kweli waumwa Hemerroids.

Iliniponya.

☆Steve
Ntajaribuu
 
Hamna haja ya hospital , jipe mda wakati huo ongeza vyakula kama papai, juice nzito ya ukwaju ,matunda, salad , maembe n.k . Epuka mikate ugali wa sembe, wali n.k ,, pia wakati wa kulala hakikisha kiuno kinakuwa juu au lala kifudi fudi ... 4 days kitaondoka trust me
Ntajitad
 
Huo ni ugonjwa unaitwa Msoloka husabanishwa na njia nyingi ila sipendi kuzitaja. Napenda nikushauri kwamba nenda hospitali ukapate tiba. Tiba zipo kama kumeza dawa au kufanyiwa operation. Pole sana ndugu yangu.[emoji120][emoji120][emoji118]
 
Symptoms of hemorrhoids include:
  • extreme itching around the anus.
  • irritation and pain around the anus.
  • itchy or painful lump or swelling near your anus.
  • fecal leakage.
  • painful bowel movements.
  • blood on your tissue after having a bowel movement.
How do you get a hemorrhoid?
  • Swollen veins (hemorrhoids) can develop from increased pressure in the lower rectum due to:
    1. Straining during bowel movements.
    2. Sitting for long periods of time on the toilet.
    3. Chronic diarrhea or constipation.
    4. Obesity.
    5. Pregnancy.
    6. Anal intercourse.
    7. Low-fiber diet.

  • How do you treat hemorrhoids?
  • Ease Pain and Itching
    1. Take warm baths. Soak in a bathtub filled with a few inches of warm water for about 15 minutes at a time. ...
    2. Rub on relief. Over-the-counter wipes or creams with witch hazel can soothe pain and itch with no side effects. ...
    3. Ice it. ...
    4. Consider painkillers. ...
    5. Don't scratch. ...
    6. Choose cotton
Mkuu translate hii imekaa kidokta mno.
 
Jaman wana jf habar za kaz
Msaad wenu tafadhal nkiend choon mpk nchome ganzi naumia
hiyo ni bawasir kama ya nje chukua aloevera paka ule utomvu mpaka ishe ndio uache

Je una matatizo yafuatayo katika tendo la ndoa

1. Kuwai kumaliza chini ya dk kumi

2. Uume kusinya ukiwa uken au kabla hujaingiza

3. Uume legelege mda mwingine kushindwa kuingiza uken

4.manii machache na mepesi

5.kushindwa kurudia round ya pili tatu nne au tano

6.kuchoka baada ya round ya kwanza

Kwa kutumia matunda tu ntatoa formula yaan maelezo jins ya kuandaa hayo matunda ukiwa nyumban na kupona kabisa ndani ya siku 3/5/714 inategemea na ukubwa wa tatizo ni matunda bila kemika

Gharama ni elfu 20

Njia ya malipo ni online kwa tigopes mpes kwa namba hii moja 0712505049
Au ofisin chanika mwisho karibu n kisarawe yalipo makazi yangu na ofisi

Utapona kabis kama hujazaliwa na tatizo napia lilitokana na punyeto au vyakula kama wali chips soup soda na kemikali
Wasiliana na dr kwa 012505049
 
Jaman wana jf habar za kaz
Msaad wenu tafadhal nkiend choon mpk nchome ganzi naumia
Umri wako?..maana kama ni mtu mzima ntashangaa watoto wako watakuwaje...punguza ukali Wa lugha..Tumia annusol suppositories au scheriproct suppositories. Ushauri nzuri nenda hospital wajue uko katika hali gani..sometimes it needs surgical intervation
 
Back
Top Bottom