Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

Binti yangu wa kazi ana uvimbe kwenye njia ya haja kubwa, siyo vinyama ni uvimbe tena mgumu kabisa na anasema unamuuma, sasa ndugu zangu naombeni mnipe ushauri kama kuna doctor au hospital naweza mpeleka na kupata matibabu.

asanteni
 
Kama upo bongo mpeleke kwa dr. kairuki, kuna mwenzetu ametibiwa kitu kama hicho amepona haraka tu.
 
Uko sawa kabisa matola kimsingi tuwe wawazi sana hasa kwa mambokama haya ya ugonjwa sasa mtu unaweza kujiuliza maswali mengi sasa huyu ni hg wake na anasema huo uvimbe mgumu niwajuavyo ma hg huwa ni wasiri sana tena hasa kwa maradhi kama hayo ya siri sasa hatujui mwenzetu ana uhuru gani kwa hg wake ni ni bora kama boss no mwana mke ila kama ni mwana kaka duuuuuuu nina mashaka sema tukama ni wewe sema mimi kwani nani haumwi?
 
Binti yangu wa kazi ana uvimbe kwenye njia ya haja kubwa, siyo vinyama ni uvimbe tena mgumu kabisa na anasema unamuuma, sasa ndugu zangu naombeni mnipe ushauri kama kuna doctor au hospital naweza mpeleka na kupata matibabu.

asanteni

Binti ana umri gani? uvimbe una muda gani? Unatoa damu hasa wakati wa kupitisha haja kubwa?

All in all, anahitaji kumuona daktari mpasuaji (surgeon) auchunguze huo uvimbe na kushauri matibabu. Kuna masurgeon wengi hospitali nyingi tu, narecommend Tumaini Hospital kwa Dr Mabula Mchembe au Yongolo. Wana clinic zao hapo kila siku jioni. Pole sana Suzzie kwa kuuguliwa.
 
Binti ana umri gani? uvimbe una muda gani? Unatoa damu hasa wakati wa kupitisha haja kubwa?

All in all, anahitaji kumuona daktari mpasuaji (surgeon) auchunguze huo uvimbe na kushauri matibabu. Kuna masurgeon wengi hospitali nyingi tu, narecommend Tumaini hospital kwa Dr Mabula Mchembe au Yongolo. Wana clinic zao hapo kila siku jioni. Pole sana Suzzie kwa kuuguliwa.
Why not Muhimbili? unafahamu bei za Tumaini wewe?
 
Why not Muhimbili? unafahamu bei za Tumaini wewe?

Title ya thread imesema haraka...Muhimbili unapajua wewe? Mi nimefanya kazi miaka 4 pale idara ya upasuaji! Clinic ya upasuaji (kumuona surgeon) unajua waiting list yake ndefu vipi? Not less that 2 month...unless it is emergency! And for that, you will have to first pass through municipal hoaspitals (either M'mala, au Temeke, au Amana) upewe 'referral'...bila referral note ukienda MNH straight na sio emergency unaingia 'fast tract', ambazo bei zake ni more-or-less kama Tumaini hospital. Tumaini kumuona surgeon last time I check it was 15,000 tshs...fast track MNH 12,000!
 
Why not Muhimbili? unafahamu bei za Tumaini wewe?

Sijui kama utakubaliana na mimi, lakini kwa uharaka na unafuu wa bei, kuna hospitali ya kanisa katoliki kule Mbweni wanafanya operation kama hizo siku ya jumatani na bei zao ni nafuu ukilinganisha na sehemu zingine. Niliwahi kuwa na uvimbe mgongoni though ulikuwa wa mafuta mafuta, nilikimbia mhimbili kwa sababu ya urasimu nilipokwenda huko nilihudumiwa vizuri sana.
 
Mkuu usidhani hapa unanijubu mimi, hapa unaongea na Watanzania sasa ni vizuri ukatoa vizuri hizo data za hiyo hospitali inaitwaje na ukisema mbweni unadhani kila mtu anapajuwa mbweni? fafanuwa vizuri kwa manufaa ya wengi, hapa lengo sio kubishana bali kupata faida na maarifa.
 
Riwa amejibu vizuri. Tumwache mgonjwa aende kumuona daktari sasa, mgonjwa fanya maamuzi mepesi
 
Hili jukwa ni la Taaluma zaidi tunapata msaada sana kutoka kwa kina Dr Riwa na wengine Naonga kuna wahuni wanatataka kulivamia hili jukwaa haikubaliki hata kidogo
 
Hili jukwa ni la Taaluma zaidi tunapata msaada sana kutoka kwa kina Dr Riwa na wengine Naonga kuna wahuni wanatataka kulivamia hili jukwaa haikubaliki hata kidogo
Kuna thread kule umeikimbia wewe na mujahedeen mwenzako Ally Kombo unakuja kujibalaguza huku! nyambafuuuuuuu!!
 
Nashukuru kwa wote mliochangia na kunifanya nijue wapi pa kuanzia.

Pia napenda kuwajibu wapendwa waliokuwa na mashaka kuwa nadanganya kwa kumsingizia hg wangu, ukweli ni kuwa binafsi sioni 7bu ya kuficha ugonjwa kwani hakuna ugonjwa wa kuficha dunia ya sasa. na tena napenda kuwajulisha kuwa ukaribu wako na hg unatokana na jinsi wewe unavyomchukulia na kuishi nae. mie wangu hakuna anachonificha na ananichukulia kama mama yake kabisa, miaka 6 nipo nae hivyo ni zaidi ya ndugu yangu.

Mungu awabariki kwa msaada wa mawazo na wote walionielekeza kwa madoctor. Asanteni na nitakapofikia nitarudi kuwajulisha.
 
Kuna thread kule umeikimbia wewe na mujahedeen mwenzako Ally Kombo unakuja kujibalaguza huku! nyambafuuuuuuu!![/QUOTE
Kumbe wewe ndio muhuni mimi sikutaja mtu jina tunashukuru kama umejitambua na umejitokeza
 
Mimi ndio muhuni kweli kweli, ila nakuhitaji urudi kwenye thread ya kondoo mungu mbona umekimbia?
 
Kuna thread kule umeikimbia wewe na mujahedeen mwenzako Ally Kombo unakuja kujibalaguza huku! nyambafuuuuuuu!!

Mkuu punguza jazba, twende taratibu tutafika tu.
 
Jaman nimekua na this problem muda sana natoa hiki choo, pia kinavotoka nakua naumia sana. Mbaya zaidi nimeotwa na vinyama katika njia ya haja na vinazidi kuongezeka. Hivi vitu vinantesa sana napata shida sana nikiwa toilet.
 
Ni kwa sababu unakunywa damu za watu, acha u-vampire (nakutania,lol)

Hemorrhoids (hivyo vinyama, kwa kiswahili vinaitwa bawaziri kama sikosei) vinatokana na presha inayojijenga kwenye mishipa ya damu kwenye utumbo mnene kwa sababu mbalimbali. mojawapo ikiwa kuwa na choo kigumu. kula mapapai kwa wingi na mboga za majani, lakini ni muhimu sana uonane na daktari mapema. Ni tatizo linalotibika, na huenda ukahitaji upasuaji mdogo. the earlier,the better

Pole sana.
 
ni kwa sababu unakunywa damu za watu, acha u-vampire (nakutania,lol)<br />
hemorrhoids (hivyo vinyama, kwa kiswahili vinaitwa bawaziri kama sikosei) vinatokana na presha inayojijenga kwenye mishipa ya damu kwenye utumbo mnene kwa sababu mbalimbali. mojawapo ikiwa kuwa na choo kigumu. kula mapapai kwa wingi na mboga za majani, lakini ni muhimu sana uonane na daktari mapema. ni tatizo linalotibika, na huenda ukahitaji upasuaji mdogo. the earlier,the better<br />
pole sana
<br />
<br />
sasa mkuu akitaka kufanyiwa opereshen il hvyo vinyama vikatwe atakaa style gan ya mbuz?!! Ha ha ha. (Utan). Ugua pole vampire.
 
Back
Top Bottom