Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binti yangu wa kazi ana uvimbe kwenye njia ya haja kubwa, siyo vinyama ni uvimbe tena mgumu kabisa na anasema unamuuma, sasa ndugu zangu naombeni mnipe ushauri kama kuna doctor au hospital naweza mpeleka na kupata matibabu.
asanteni
Why not Muhimbili? unafahamu bei za Tumaini wewe?Binti ana umri gani? uvimbe una muda gani? Unatoa damu hasa wakati wa kupitisha haja kubwa?
All in all, anahitaji kumuona daktari mpasuaji (surgeon) auchunguze huo uvimbe na kushauri matibabu. Kuna masurgeon wengi hospitali nyingi tu, narecommend Tumaini hospital kwa Dr Mabula Mchembe au Yongolo. Wana clinic zao hapo kila siku jioni. Pole sana Suzzie kwa kuuguliwa.
<br />Why not Muhimbili? unafahamu bei za Tumaini wewe?
Why not Muhimbili? unafahamu bei za Tumaini wewe?
Why not Muhimbili? unafahamu bei za Tumaini wewe?
Mkuu usidhani hapa unanijubu mimi, hapa unaongea na Watanzania sasa ni vizuri ukatoa vizuri hizo data za hiyo hospitali inaitwaje na ukisema mbweni unadhani kila mtu anapajuwa mbweni? fafanuwa vizuri kwa manufaa ya wengi, hapa lengo sio kubishana bali kupata faida na maarifa.Sijui kama utakubaliana na mimi, lakini kwa uharaka na unafuu wa bei, kuna hospitali ya kanisa katoliki kule Mbweni wanafanya operation kama hizo siku ya jumatani na bei zao ni nafuu ukilinganisha na sehemu zingine. Niliwahi kuwa na uvimbe mgongoni though ulikuwa wa mafuta mafuta, nilikimbia mhimbili kwa sababu ya urasimu nilipokwenda huko nilihudumiwa vizuri sana.
Kuna thread kule umeikimbia wewe na mujahedeen mwenzako Ally Kombo unakuja kujibalaguza huku! nyambafuuuuuuu!!Hili jukwa ni la Taaluma zaidi tunapata msaada sana kutoka kwa kina Dr Riwa na wengine Naonga kuna wahuni wanatataka kulivamia hili jukwaa haikubaliki hata kidogo
Kuna thread kule umeikimbia wewe na mujahedeen mwenzako Ally Kombo unakuja kujibalaguza huku! nyambafuuuuuuu!![/QUOTE
Kumbe wewe ndio muhuni mimi sikutaja mtu jina tunashukuru kama umejitambua na umejitokeza
Mimi ndio muhuni kweli kweli, ila nakuhitaji urudi kwenye thread ya kondoo mungu mbona umekimbia?Kuna thread kule umeikimbia wewe na mujahedeen mwenzako Ally Kombo unakuja kujibalaguza huku! nyambafuuuuuuu!![/QUOTE
Kumbe wewe ndio muhuni mimi sikutaja mtu jina tunashukuru kama umejitambua na umejitokeza
Kuna thread kule umeikimbia wewe na mujahedeen mwenzako Ally Kombo unakuja kujibalaguza huku! nyambafuuuuuuu!!
<br />ni kwa sababu unakunywa damu za watu, acha u-vampire (nakutania,lol)<br />
hemorrhoids (hivyo vinyama, kwa kiswahili vinaitwa bawaziri kama sikosei) vinatokana na presha inayojijenga kwenye mishipa ya damu kwenye utumbo mnene kwa sababu mbalimbali. mojawapo ikiwa kuwa na choo kigumu. kula mapapai kwa wingi na mboga za majani, lakini ni muhimu sana uonane na daktari mapema. ni tatizo linalotibika, na huenda ukahitaji upasuaji mdogo. the earlier,the better<br />
pole sana