Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anusol?Mm wakat nipo tanga hicho kitu kilinianza nilichofanya nikaenda hospita ya jeshi wakanipa vidonge flan yaaan hata vilivyopotea sijajua, hiyo ni minyooo ambayo ipo ndani ya ngoz dct alivyoniambia
Mmh aende huko imeshindikana kupona ebu acha kumtisha mwenzio huo ni ugonjwa wa unaotibika aende kwa Joshua kufanya niniii au ndio unataka kumpiga pesaMKUU POLE SANA.KAMA WEWE NI MKRISTO(HATA KAMA NI WA DINI NYINGINE) NAKUSHAURI UENDE LAGOS(NIGERIA) KWA PROPHET T.B.JOSHUA.ATAKUOMBEA NA UTAPONA KABISA.UKISHAAMUA NITAFUTE KWA NO.0682 770 346 KWA MAELEKEZO ZAIDI.GHARAMA YA KWENDA HUKO(RETURN TICKET,MALAZI KWA SIKU 7,PAMOJA NA CHAKULA) NI USD 1,500.
nimejipiga mwenyewe....vipi kwani? NATISHA EHEE?Mkuu pole , ila nani kakupiga picha
Bawasiri kwa huku wanaita Ndonda.kama unaamini dawa za majani kesho nipige picha nikurushi uchume ujitibu unapona bila shida.Unatafuna na nyingine unatwanga unapaka![]()
![]()
hiyo ni kwenye Anus yangu!
Jitahidi....najua maumivu unayopata kwani mwezi uliopita nilimshuhudia bwana mdogo...uwiii naitoa wapi hiyo laki tano mimi!
Nisaidie kupata tiba dadaa...mbona unaleta masihala tena?*Uwii*
wewe ni jinsia gani?
Mkuu niamini mm achana wanao kuzingua, ni uhakika ww ni PM nikupe dawa sikudai ata shilingi tano nakusaidia ndani ya wiki unakua umepona.Nisaidie kupata tiba dadaa...mbona unaleta masihala tena?
Alafu mkuu unakulaga ugali wa unga uliokobolewa au ugali mweupe??Nisaidie kupata tiba dadaa...mbona unaleta masihala tena?
naomba msaada kiongozi please nateseka sana mda huuMkuu niamini mm achana wanao kuzingua, ni uhakika ww ni PM nikupe dawa sikudai ata shilingi tano nakusaidia ndani ya wiki unakua umepona.
Ugua pole
dah ahsante sana kiongozi, kwa kweli nimefarijika sana na ushauri wako..lakini naomba niulize vyakula kama wali nayo kwa sasa naweza kustop?Pole sana mkuu
Bila shaka hiyo ni Hemmorhoids au bawasili kwa kiswahili ni ugonjwa unaotokea sehemu ya haja kubwa katika nyama za misuli ya haja kubwa huwa inavimba
Kwa kuangalia hiyo pic yako inaonyesha upande wote wa hiyo misuli ya anus imevimba ina maana hapo hemorhoids yako ipo katika stage ya tatu huwa wanaiita thembosd hemmorhoids yaani vimbe zipo zaidi ya moja
Na kawaida huwa hawafanyi upasuaji kwa vimbe zaidi ya mbili kwa wakati mmoja na ww hapo picha inaonyesha una vimbe zaidi ya moja mean anus area yote imevimba
Kikubwa nenda hospitali doctor atakufanyia uchunguzi then atajua kama ufanyiwe surgey au akupe dawa za kupakaa na vidonge na ushauri wa lishe bora
Kikubwa watu wengi wasichokijua ni huu ugonjwa huwa unaweza kuisha au kupona wenyewe kwa kuzingatia lishe kama mboga mboga kwa wingi matunda kama papai,parachichi,maembe
Unapokuwa na huu ugonjwa usitumie
*chumvi nyingi
*kahawa
*chai
*vyakula vya ngano
*soda/pombe
*nyama nyekundu,pilipili
*maziwa
-maziwa huwa baada ya kuyanywa yakishafika tumboni baada ya masaa hubadilika na kuchacha na kutengeneza acid ambayo huenda kuamsha vimbe au kuleta maumivu makali kwenye hizo vimbe
Kamwone dk kwanza ila kwa hali yako sidhani kama utashauriwa kufanya surgey hapo utapewa dawa za kupakaa kwanza na ushauri wa vyakula bora
Kumbuka*
Usitumie dawa ya anusol zaidi ya siku 7, ukitumia zaidi ya hapo itakuletea madhara makubwa ambayo yatapelekea upate maumivu na vimbe zaidi katika sehem ya anus area
Uyo dokta ni noma sana.Mm wakat nipo tanga hicho kitu kilinianza nilichofanya nikaenda hospita ya jeshi wakanipa vidonge flan yaaan hata vilivyopotea sijajua, hiyo ni minyooo ambayo ipo ndani ya ngoz dct alivyoniambia