kedekede
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 5,313
- 7,714
uza bikra umsaidie mkuu.*Uwii*
wewe ni jinsia gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uza bikra umsaidie mkuu.*Uwii*
wewe ni jinsia gani?
si uelezee humu kwa faida ya wengine hata kama sio sisi hata majirani na ndugu pamoja na marafiki tunaweza kuwasaidiaNi pm Hanna shida nikutumie picha hata sasa kumbe ipo. Ukachume mwenyewe nikupe na maekezo.
umsaidie kitu gani?usilete uhuni kwenye ugonjwa wa mtu.Mkuu unapatikana wapi may be naweza kukusaidia
Inasababishwa na nn?Haemoroids=bawasili.Nilisha ugua hiyo kitu.Wakati wa haja kubwa vinauma sana na kutoa damu.Nilifanyiwa oparesheni bugando hospital Mwanza.Oparesheni yake inauma sana sana sana.Ila kwa sasa nimepona kabisa.Kwa kisukuma inaitwa Mang'ondi
Una akili za kipuuz naweza sema ivyo...kwan mm nimekosea kusema yy yuko wapi nimsaidie ..au kusema msaada siku hz ni pesa acha ufamba mkuuuumsaidie kitu gani?usilete uhuni kwenye ugonjwa wa mtu.
Psyllium husk inatumika kwenye upishi hasa kubind vitu kama vile gelatine machef wanaijua,psyllium husk inasaidia kwenye digestion pia.Ukitaka kubind kitu bila gluten yaani ngano unatumia hii,na ukitaka kubind kitu bila kutumi gelatine ambayo ni meat product unatumia hii.Duka hilo ni gali,arusha casha and carry ni 2500/-![]()
Mkuu tafuta hii dawa inauzwa Tsh.3500/=(elfu tatu na mia tano tu)
Inapatikana karikoo stand ya daladala za Tegeta nyuki kwenye maduka ya dawa za kissunnah.
Itakusaidia sana na maumivu yatakwisha kabisa biidhni'Llah
Sema dawa atumie unamuuliza yuko wapi,haya yuko chooni sasa hivi huko karagwe.Msaidie sasa.Una akili za kipuuz naweza sema ivyo...kwan mm nimekosea kusema yy yuko wapi nimsaidie ..au kusema msaada siku hz ni pesa acha ufamba mkuuu
Au unataka ww ukatumie useme usaidiwe ..tatizo unajikuta mjuaji kumbe ovyo tyuu ww ata nikwambia tafuta muoshafedha ujui kitu ..mm na akiba ya. Iyo dawa ningeweza msaidia akajarbu na yy ...ila ujuaji tuu aya mpe ww sasaSema dawa atumie unamuuliza yuko wapi,haya yuko chooni sasa hivi huko karagwe.Msaidie sasa.
Punguza hasira mkuu unaumwa nguvu za ugonvi unazitoa wapi?afu kusonya sio tabia ya kiume usiirudie tena kufanya hivyo.shetani mkubwa wewe, huna hata adabu, mapepo yako na majini yako peleka huko huko usilete upumbavu kwenye mambo ya msingi....shetani we mssyyyuuuuuu......
yaaani ungejua ulivyonikera natamani nikuone nikumalizie hasira zangu.
Kwani ukisema unayo na ukasema jina lake hawezi kununua amekwambia?we sema dawa usinikomoe mimi siumwi ugonjwa huo mpaka sasa nashukuru mungu.Au unataka ww ukatumie useme usaidiwe ..tatizo unajikuta mjuaji kumbe ovyo tyuu ww ata nikwambia tafuta muoshafedha ujui kitu ..mm na akiba ya. Iyo dawa ningeweza msaidia akajarbu na yy ...ila ujuaji tuu aya mpe ww sasa
Kukaa muda mrefuInasababishwa na nn?
Ni kweli ndugu ili kuondoa kadhia Ya huku Pm ni nzuri na wote waliokuja nimewaelekeza bila hiana.si uelezee humu kwa faida ya wengine hata kama sio sisi hata majirani na ndugu pamoja na marafiki tunaweza kuwasaidia
Dawa ni ya kienyeji ataitafutia wapi na dawa za kikurya na tofauti na dawa za kimasai acha uswahili na ujuaji mkuuu ..na km uumwi unashadadia nn sasa ..unajua yaan ata nashangaa naishia kufurahi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani ukisema unayo na ukasema jina lake hawezi kununua amekwambia?we sema dawa usinikomoe mimi siumwi ugonjwa huo mpaka sasa nashukuru mungu.
Nchi hii bado inahitaji ukombozi wa kifikra!unajua gharama za tiba yake kwa upasuaji?haizidi laki 2!unapona kabisa!Leo hii kuna mtu anashauri alipe 1500 USD kwenda kutapeliwa huko Nigeria![emoji22]upumbavu utatuisha lini?[emoji22] [emoji22] [emoji32]MKUU POLE SANA.KAMA WEWE NI MKRISTO(HATA KAMA NI WA DINI NYINGINE) NAKUSHAURI UENDE LAGOS(NIGERIA) KWA PROPHET T.B.JOSHUA.ATAKUOMBEA NA UTAPONA KABISA.UKISHAAMUA NITAFUTE KWA NO.0682 770 346 KWA MAELEKEZO ZAIDI.GHARAMA YA KWENDA HUKO(RETURN TICKET,MALAZI KWA SIKU 7,PAMOJA NA CHAKULA) NI USD 1,500.
Asante mkuu nimeelewa.Ni kweli ndugu ili kuondoa kadhia Ya huku Pm ni nzuri na wote waliokuja nimewaelekeza bila hiana.
GF wakati mwingine unaweza uliza au kuomba jambo la maana anayeanza Ku Comment akiropoka/dhiaka wote watu kama 10 watafuta mkumbo huo.
Mm mwenyewe ni Muhanga wa jambo hili,nilisha wahi omba msaada Baba yangu anaumwa nikaambiwa nimeleta promo ya Dawa.
Fwatilia nyuzi nyingi huku utalibahini hilo.
Nawapenda wote na kuwaheshimu sikufunzwa matusi,ili niepuke hayo ndio maana nikaonelea kukutana Pm.
Asante
Kaa na dawa yako huko vijijini.Dawa ni ya kienyeji ataitafutia wapi na dawa za kikurya na tofauti na dawa za kimasai acha uswahili na ujuaji mkuuu ..na km uumwi unashadadia nn sasa ..unajua yaan ata nashangaa naishia kufurahi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umepanik mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwe na usiku mwema maana hapa tukituma live location unaweza jikuta ww ndio huko kijijin au uswahilini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaa na dawa yako huko vijijini.
Dawa za kienyeji zinatoka vijijini mjini zinaletwa na wanakijiji.Umepanik mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwe na usiku mwema maana hapa tukituma live location unaweza jikuta ww ndio huko kijijin au uswahilini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]