Uhamiaji hawaoni aibu kutoa passport laki mbili kwenye nchi yenye watu milioni 55?

Uhamiaji ni taasisi ya kipuuzi sana eti unaenda kufanya nini, wakati nikiwa na passport muda wowote nasafiri .
Kwanza nchi hii siipendi kwasababu ya haya mambo na wala sina uzalendo nayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo Mfano nataka kufanya mitihani ya British council online na wanataka niwe Na passport nikiomba passport Nitatakiwa niandike kuwa madhumuni ya safari natarajia kusafiri kwenda uingereza online au? Ili wanipe
 
Mtikila alikuwa na akili nyingi na jasiri sana.
Bahati mbaya watanzania wengi hawawezi kuwaelewa watu aina ya Marehemu Mtikila.

R.I.P Reverend Christopher Mtikila
 
Kwa hiyo Mfano nataka kufanya mitihani ya British council online na wanataka niwe Na passport nikiomba passport Nitatakiwa niandike kuwa madhumuni ya safari natarajia kusafiri kwenda uingereza online au? Ili wanipe
Nyie ndio mnaocomplicate maisha yenu kindezi. Yaani uandike barua ya maombi ya passport useme eti "ninaomba kupatiwa passport ili nikafanye mtihani online British Council"!?

Kwa kuwa Uhamiaji wanauliza swali hilo, wewe wajibu kitu simple tu kuepusha follow-up questions and the need to provide evidence especially pale ambapo hiyo evidence huna. Ukiwaambia ninaomba passsport ili kwa mfano "niende zangu kwa Kagame hapo kula bata privately" maswali yanaishia hapo
 
Gharama za hati ya kusafiria ni laki moja na nusu.
 
umeongea kwa uchungu na hasira sana mkuu
 
Hawa jamaa ku..ma**e. Wanafanya kazi kikoloni kabisa.

Jamaa yngu alienda na passport yake mkononi aliyopewa na jamaa haohao miaka kama 10+ iliyopita lakini maswali aliyoulizwa ni kama HAJAWAJI KAMWE kumiliki passport au HATAKIWI KABISA kumiliki passport. pumbaff kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We bana Wewe, usidhan vitu ni virahisi kiasi icho, passport kwanza ingekua mm kila mwaka ungekua unatoa statement ya matumizi yake! Tatizo letu wengi tunafikiria kwa kutumia hisia,

Inamaaana kila MTU akiwa na passport mkajazana nchi flan pale border mwishowe mkajulikana watanzania wengi wana access ya passport na tayar kuna matukio yamefanyika sio chini ya mara moja hio tayar inatosha kupigwa ban hio nchi, na vipi wanaofanya shuhuli za maana kwenye hizo nchi? Kama biashara ama wameajiriwa?! Huoni umewaharibia kisa mawazo kama yako

Kuna uwezekano mkubwa unatumia mawazo kama ya wapinzani ndo maana umekuja na mada kama hii
 


Tatizo sio kuingia nchi flan tu, hio over access ya passport tayar unkua ushaleta majanga, hata kama kuna polisi unavosema ni rahisi sana kupigwa marufuku kuingia nchi flan wakiwa suspicious hata na kitu kidogo! Na kuna watu wanafanya issue za Maaana, we hata nkikuuliza untaka passport ya nini huna ata cha Maaana cha kusema
 
Waelezee hao vilaza,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok kwa hiyo kwa watu wa dini wasiopenda uongo wanaotaka kwenda mbinguni au peponi wanatakiwa kuongopa ili wapate passport?

kwa hiyo kitengo Cha passport ni wakala wa shetani wa kuwakosesha watu passport kuwa usipomkubali shetan boss wa kitengo Cha passport ikwa kusema uongo na kumsujudia hupati passport.?

Kuwa lazima umsujudie shetani mkuu wa kitengo Cha passport na kukubaliana na anachotaka uongope ili wakupe passport?

Kitengo Cha passport Ni idara ya shetani? Ni Kiwanda Cha kuzalisha watu wa kwenda jehanamu?
 
, we hata nkikuuliza untaka passport ya nini huna ata cha Maaana cha kusema
Hayakuhusu naweza kuitaka hata for prestige tu kuwa Nina passport wewe kinakuuma Nini? It is non of your bussiness.Wewe nipe passport mengine niachie mwenyewe
 
Umeambiwa ndiyo mwisho wa kutoa hizo passports?Kwani kutoa passports ni sawa na kwensa kununua vocha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😊😊😜😜😜😜😜😜. This is beyond the scope of this thread I guess...
 
Katika yote kwenye muchakato wa kutafuta passport hamna kinacho nikera kama kulazimisha mtu kuwa na majina matatu eti la ukoo la kwake na la baba......jamani watazania hatufanani kila mtu sio kwamba Ana baba ake au anapenda kutumia jina la baba ake au babu ake, plz uhamiaji tubadilike mtupe nafasi kutumia majina yetu tunao penda sio kunilazimisha tumia jina la babu yangu ambaye alikua mlevi mchawi mwenye husda kali nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi ni ya mazuzu hatari.. [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni msehenzi haswa, unyeti upi..?? gharama zipi hizo passport ina teknolojia ipi hiyo mpaka izidi au kufikia laki 2, zaidi ya chip..?

Ni upuuzi kutoelewa umuhimu wa kuwapatia wananchi haki ya kupata passport.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…