B M F ICONIC
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 995
- 1,962
Niliwaambiaga tangu mwaka jan hawaskiiIna maana huyo Millard Ayo anapigia debe wanaotenda hayo maovu??
Ukishabikia muuaji maana yake na wewe ni muuaji
Mambo ya Urithi yaishe. Hii ni nchi sio falme za kiarabuLazima uwe zezeta ndo uende kupiga kura mwaka huu, what for? CCM wamezoea sana kubebwa bebwa, hata kana hawana uwezo, mfano Samia, surely inakuwaje tumejipata kwa Rais ambae hawezi kukemea lolote baya nchini?, Rais hawezi kudebate any serious issues, utamuona ana kuja na karatasi zake, lakini kuelezea kwa kina chochote kuhusu mambo muhimu hawezi , very inferior president, hawa ndo walipata empty set mashuleni.
Ukweli utabaki kuwa ukweli,mwaka huu hakuna watu watapiga kura.Wapiga kura siyo hao waandishi wa no reforms no election,wapiga kura wanakopatikana kunafahamika.
Wahhh😲 so kinaweza kuwa kigezo Cha kutofanyika kwa Uchaguzi?Ambao hawataki kushiriki kwenye uchaguzi ni wengi saaaaaana
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana!Baada ya kudharauliwa kwa muda mrefu Watanzania sasahivi wamejipata. Kuna Jeshi la Mashambulizi limezaliwa Jana Tanzania linaitwa Tanzanians on Instagram (IG). Watu hawa wameanza kazi jana tu ila Pages zote za Serikali na machawa zilifunga comment sections. Mashambulizi yao nyuki wanasubiri😄
Inawezekana wewe si Mtanzania.Waliwahi kugombea nafasi gani wakashinda hao watu uliowataja?
Ni mbusu matako wa watekaji.Yeye yuko upande gani, wa watekaji au wa Wananchi?
Ngoja tukawaunfollow na haotbc_online wamefunga comments hawataki maoni ya wananchi kwa sasa
Isee! Kumbe panaanza kuchangamka.tbc_online wamefunga comments hawataki maoni ya wananchi kwa sasa
Eti ni lichawa la CCM, hasimami na wananchi
Hasimami na babakohasimami na wananchi au hasimami na CHADEMA?
Hasimami na babako
Hakika mkuu.Mwaka huu ni mwaka wa Hashim Rungwe kuingia ikulu.
Akishaapishwa anapiga wino wake mwekundu pale.. tunazama ndichi.
Cc: johnthebaptist Lucas Mwashambwa chiembe Tlaatlaah ChoiceVariable secretarybird
ayo ni systemYeye yuko upande gani, wa watekaji au wa Wananchi?