Liz truss mwannamma nguli kweli kweli kawapita vigog ktk chama chake kwa kura nyingiHuyu Jina tu linanishinda kulitamka emu naomba ulitamke tena mkuu anaitwa nani?
Jmn hpn bada mbna mablaki mnapenda kuji assoleti na kujiopodizerAlafu atakuja mjinga anakwambia jamaa ni wabaguz,nenda China au Russia kama utaiona ngoz nyeus kwenye sehemu nyeti za nchi,sanasana wanakua sehemu nyet za majumbani kama chooni,mabanda ya nguruwe,na kutembeza nygo
Assimilation policy mkuu na brain drain1.Unataka China iwe na kiongozi mweusi kwa nini ? Je kuna Han Chinese mweusi ?
2. Unafahamu ni kwa nini Marekani na Ufaransa kuna raia wengi wa kimarekani na wa kifaransa weusi tofauti na China na Russia ?
Mbna umekimbililia kwa manchi Ina mataari wengi mkuu jmn said Arabia eti magoli vinnch vya ajabu ajbu hata kusoma Bado hawajuiUnakotaka kunipeleka so kwenywe biashara za utumwa? haya nahamishia magoli Iran, saud Arabia,na nchi nying za waaarabu,maana wao ndio waasisi
Ni mpuuzi huyo eti Masai jinga kweliKwa hyo wamasai sio watu
Sie ni bure kabisaaaa🤣🤣🤣🤣Diaspora kutoka Tanzania mbona wako nyuma kwenye kila jambo michezo hawapo, siasa hawapo, kwenye science hawapo yaani wapo wapo tu
HV unamuonaje mmasai kakWenzetu wameendelea mifumo ipo imara ukishakuwa raia na una uwezo hata ukiwa mmasai unapewa uongoze
Kuna mtu humu alikuwa anauliza kufanya kazi na mzungu inakuwaje? Naona jibu atakuwa amelipa. Mzungu hanaga longolongo kama wewe ni talent...na uraibanakupa kabisa.Alafu atakuja mjinga anakwambia jamaa ni wabaguz,nenda China au Russia kama utaiona ngoz nyeus kwenye sehemu nyeti za nchi,sanasana wanakua sehemu nyet za majumbani kama chooni,mabanda ya nguruwe,na kutembeza nygo
Watanzania hawapendi kujilipua, kaangalie hata idadi ya wanaoapply greencard lottery watanzania hata elfu5 hawafiki ila wakenya za ya laki moja.Diaspora kutoka Tanzania mbona wako nyuma kwenye kila jambo michezo hawapo, siasa hawapo, kwenye science hawapo yaani wapo wapo tu
Sijakuuliza biashara za utumwa nimekuuliza kuna Han Chinese mweusi ?Unakotaka kunipeleka so kwenywe biashara za utumwa? haya nahamishia magoli Iran, saud Arabia,na nchi nying za waaarabu,maana wao ndio waasisi
Wamechanganyikiwa wanatafuta kuungwa mkono na mataifa ya Africa wanajua tukifanya hivi titawakamata masikioMtazamo wake kuhusu taifa la ukraine maana. Predecessor ali devote much resource katika kuhakikisha the war torn ukraine is existing till now ??
Kwani kwenye umbea Insta huwaoni!!??Diaspora kutoka Tanzania mbona wako nyuma kwenye kila jambo michezo hawapo, siasa hawapo, kwenye science hawapo yaani wapo wapo tu
Mwingine yupo BoeingYupo NASA mmoja.
Wapo kwenye kulewa na kutapeliDiaspora kutoka Tanzania mbona wako nyuma kwenye kila jambo michezo hawapo, siasa hawapo, kwenye science hawapo yaani wapo wapo tu
Wanao waambie kuna tamasha,kuna vibawa,sambusa na pombe kama hawajafurika hapoLabda hakuna msukumo na mshikamano.
Mambo ya vijiji vya ujamaa na kujitegemea yanatucost mpaka leo.
Ulitaka awe mkurugenziYupo NASA mmoja.