Uingereza kuwa na Mawaziri watatu wenye asili ya Afrika ambao wataongoza Wizara nyeti za nchi hiyo, Fedha, Mambo ya Nje na Mambo ya Ndani

Uingereza kuwa na Mawaziri watatu wenye asili ya Afrika ambao wataongoza Wizara nyeti za nchi hiyo, Fedha, Mambo ya Nje na Mambo ya Ndani

Alafu atakuja mjinga anakwambia jamaa ni wabaguz,nenda China au Russia kama utaiona ngoz nyeus kwenye sehemu nyeti za nchi,sanasana wanakua sehemu nyet za majumbani kama chooni,mabanda ya nguruwe,na kutembeza nygo
Jmn hpn bada mbna mablaki mnapenda kuji assoleti na kujiopodizer

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Unakotaka kunipeleka so kwenywe biashara za utumwa? haya nahamishia magoli Iran, saud Arabia,na nchi nying za waaarabu,maana wao ndio waasisi
Mbna umekimbililia kwa manchi Ina mataari wengi mkuu jmn said Arabia eti magoli vinnch vya ajabu ajbu hata kusoma Bado hawajui

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Alafu atakuja mjinga anakwambia jamaa ni wabaguz,nenda China au Russia kama utaiona ngoz nyeus kwenye sehemu nyeti za nchi,sanasana wanakua sehemu nyet za majumbani kama chooni,mabanda ya nguruwe,na kutembeza nygo
Kuna mtu humu alikuwa anauliza kufanya kazi na mzungu inakuwaje? Naona jibu atakuwa amelipa. Mzungu hanaga longolongo kama wewe ni talent...na uraibanakupa kabisa.

Njoo sasa kwa hii ngozi nyeusi, kuwekeana kauzibe tuu ndio tunachojua sie
 
Diaspora kutoka Tanzania mbona wako nyuma kwenye kila jambo michezo hawapo, siasa hawapo, kwenye science hawapo yaani wapo wapo tu
Watanzania hawapendi kujilipua, kaangalie hata idadi ya wanaoapply greencard lottery watanzania hata elfu5 hawafiki ila wakenya za ya laki moja.
 
Unakotaka kunipeleka so kwenywe biashara za utumwa? haya nahamishia magoli Iran, saud Arabia,na nchi nying za waaarabu,maana wao ndio waasisi
Sijakuuliza biashara za utumwa nimekuuliza kuna Han Chinese mweusi ?
 
Hivi haiwezekani Mr Tozo apewe uraia wa UK akawe waziri wa fedha huko. Akawasaidie watu wa UK kuongeza mapato kwa tozo?
 
Mtazamo wake kuhusu taifa la ukraine maana. Predecessor ali devote much resource katika kuhakikisha the war torn ukraine is existing till now ??
Wamechanganyikiwa wanatafuta kuungwa mkono na mataifa ya Africa wanajua tukifanya hivi titawakamata masikio
 
Diaspora kutoka Tanzania mbona wako nyuma kwenye kila jambo michezo hawapo, siasa hawapo, kwenye science hawapo yaani wapo wapo tu
Kwani kwenye umbea Insta huwaoni!!??
Mf: Mange, Lady Naa n.k
 
Da Joi Atakwenda Huko Kumbukeni Ni Professor "I Will Put Lockup "
 
Back
Top Bottom