Uingereza kuwa na Mawaziri watatu wenye asili ya Afrika ambao wataongoza Wizara nyeti za nchi hiyo, Fedha, Mambo ya Nje na Mambo ya Ndani

Diaspora kutoka Tanzania mbona wako nyuma kwenye kila jambo michezo hawapo, siasa hawapo, kwenye science hawapo yaani wapo wapo tu
Wanaume wanatoboa masikio saa ngapi watajishughulisha na siasa.
 
Hii inawezekana katika nchi za magharibi tu ambako ndiko mtu mweusi anaweza akapewa wadhifa kama huo.

Kwenye maeneo mengine kama mashariki ya kati, Asia au Ulaya mashariki ikiwemo Russia mtu mweusi hatofautishwi na nyani na hawezi kuruhusiwa hata kuajiriwa kuosha choo cha stendi.
 
Watanzania waliokuwa wakienda nje kusoma hawabaki huko, wanadunduliza wananunua vifiat/renault au akijitahidi Peugeot halafu wanarudi nyumbani kutanua. Wenzao walikuwa wanaamia kabisa
sera za nchi zilikuwa hazisupport mtanzania kuishi au kufanya kazi nje ya mipaka ya nchi yake, baba zangu wadogo wawili kwa vipindi tofauti walipata kazi za uhadhiri US Serikali ya mwalimu iliwagomea kabisa na wakarudi. Hii ilikuwa ni kutokana na upungufu wa wasomi wakati huo. Huko tuendaka watanzania tutang'ara sana huko nje
 
Huku Tz bado tunapinga uraia pacha eti watu wasiokuwa wazalendo watakuwa viongozi.
 
Miafrika ndivyo ilivyo.

Yaani hao wainhereza wana impact gani na Afrika yetu?

Shida zetu zipo palepale
 
Hapana sio kweli.
 
Ule mpango wa Diaspora kujenga daraja la Dar-Zanzibar ulifia wapi??
 
Kweli mkuu, yaani ujamaa umefanya watanzania kuwa kama wamezibaa hivi.
WATANZANIA NA WAAFRIKA wote jamii yenye ngozi nyeusi hawana akili timamu hata kidogo msisingizie ujamaa sisi watu wenye ngozi nyeusi hatuna akili timamu hata kidogo [ mazezeta ] wala msiutupie mzigo ujamaa kwa ujinga na upumbavu wenu mpaka leo Karne ya 21 hamjitambui halafu mnasema ujamaa umewaathiri mbona huo ujamaa hauja waathiri China ?
 
Ni mchezo wa kisiasa wanafanya ili kuupumbaza Ulimwengu-kuficha aibu waliyoipata ya kumnyanyapaa Rishi Sunak.
Ukweli ni kuwa Rushi Sunak ndio aliye stahili kuwa P.M na amemzidi kiuwezo Liz Truss; ubaguzi dhidi ya rangi yake imesababisha yeye kutokuwa M.P
 
Hao Mawaziri wanatumiwa tu kisiasa kama alivyotumiwa Obama na wenye America yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…