Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Wanaume wanatoboa masikio saa ngapi watajishughulisha na siasa.Diaspora kutoka Tanzania mbona wako nyuma kwenye kila jambo michezo hawapo, siasa hawapo, kwenye science hawapo yaani wapo wapo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume wanatoboa masikio saa ngapi watajishughulisha na siasa.Diaspora kutoka Tanzania mbona wako nyuma kwenye kila jambo michezo hawapo, siasa hawapo, kwenye science hawapo yaani wapo wapo tu
sera za nchi zilikuwa hazisupport mtanzania kuishi au kufanya kazi nje ya mipaka ya nchi yake, baba zangu wadogo wawili kwa vipindi tofauti walipata kazi za uhadhiri US Serikali ya mwalimu iliwagomea kabisa na wakarudi. Hii ilikuwa ni kutokana na upungufu wa wasomi wakati huo. Huko tuendaka watanzania tutang'ara sana huko njeWatanzania waliokuwa wakienda nje kusoma hawabaki huko, wanadunduliza wananunua vifiat/renault au akijitahidi Peugeot halafu wanarudi nyumbani kutanua. Wenzao walikuwa wanaamia kabisa
Nimechukulia mfano wa mmasai umehamaki kwan ww umefikiria nn maana ni mfano kama wa mtu mwingine yoyote
Huku Tz bado tunapinga uraia pacha eti watu wasiokuwa wazalendo watakuwa viongozi.Waziri mkuu mpya wa Uingereza bi Liz Truss jioni hii ameanza kuunda baraza lake la mawaziri na bwana Kwasi Kwateng ameteuliwa kuwa waziri wa Fedha huku bwana James Cleverly akichukua nafasi ya uwaziri wa mambo ya nje.
Bi Suela Braverman ameteuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani kuchukua nafasi ya bi Priti Patel ambae alijiuzulu jana.
Kabla ya teuzi hizo bwana Kwateng alikuwa ni waziri wa masuala ya biashara, nishati na viwanda, bwana Cleverly akiwa waziri wa Elimu wizara ambayo ameisimamia tangu mwezi July mwaka huu. Bi Braverman aliwahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali
Hizi wizara tatu muhimu nchini Uingereza kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hio zimepewa raia wa Uingereza ambao wana asili ya Afrika na wazazi wao wakiwa wahamiaji. Bwana Kwateng- wazazi wote wawili wakitokea Ghana, bwana Cleverly (mama) akitokea Sierra Leone na bi Suela baba yake alitokea Kenya na mama akitokea Mauritius.
![]()
Waziri mpya wa Fedha wa Uingereza bwana Kwasi Kwateng. Chanzo cha picha -Getty Images.
View attachment 2348142
Waziri mpya wa mambo ya nje bwana James Cleverly- Chanzo cha picha PA wire
![]()
Waziri mpya wa mambo ya ndani Bi Sue-Ellen Cassiana (Suela) Braverman.
Waziri mkuu bi Liz Truss bado aendelea kupanga baraza lake jipya la mawaziri ambao wengi ni wale alokuwa wakimuunga mkono katika katika kampeni yake ya kuwania nafasi hiyo ndani ya chama cha wahafidhina.
Miafrika ndivyo ilivyo.Waziri mkuu mpya wa Uingereza bi Liz Truss jioni hii ameanza kuunda baraza lake la mawaziri na bwana Kwasi Kwateng ameteuliwa kuwa waziri wa Fedha huku bwana James Cleverly akichukua nafasi ya uwaziri wa mambo ya nje.
Bi Suela Braverman ameteuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani kuchukua nafasi ya bi Priti Patel ambae alijiuzulu jana.
Kabla ya teuzi hizo bwana Kwateng alikuwa ni waziri wa masuala ya biashara, nishati na viwanda, bwana Cleverly akiwa waziri wa Elimu wizara ambayo ameisimamia tangu mwezi July mwaka huu. Bi Braverman aliwahi kuwa mwanasheria mkuu wa serikali
Hizi wizara tatu muhimu nchini Uingereza kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hio zimepewa raia wa Uingereza ambao wana asili ya Afrika na wazazi wao wakiwa wahamiaji. Bwana Kwateng- wazazi wote wawili wakitokea Ghana, bwana Cleverly (mama) akitokea Sierra Leone na bi Suela baba yake alitokea Kenya na mama akitokea Mauritius.
![]()
Waziri mpya wa Fedha wa Uingereza bwana Kwasi Kwateng. Chanzo cha picha -Getty Images.
View attachment 2348142
Waziri mpya wa mambo ya nje bwana James Cleverly- Chanzo cha picha PA wire
![]()
Waziri mpya wa mambo ya ndani Bi Sue-Ellen Cassiana (Suela) Braverman.
Waziri mkuu bi Liz Truss bado aendelea kupanga baraza lake jipya la mawaziri ambao wengi ni wale alokuwa wakimuunga mkono katika katika kampeni yake ya kuwania nafasi hiyo ndani ya chama cha wahafidhina.
Kwa nini sijakuelewa ?Ulitaka awe mkurugenzi
Hapana sio kweli.Hii inawezekana katika nchi za magharibi tu ambako ndiko mtu mweusi anaweza akapewa wadhifa kama huo.
Kwenye maeneo mengine kama mashariki ya kati, Asia au Ulaya mashariki ikiwemo Russia mtu mweusi hatofautishwi na nyani na hawezi kuruhusiwa hata kuajiriwa kuosha choo cha stendi.
Hawako nyuma Bwana, Wnabeba box na kuwaosha wazee pia.Diaspora kutoka Tanzania mbona wako nyuma kwenye kila jambo michezo hawapo, siasa hawapo, kwenye science hawapo yaani wapo wapo tu
Nchi za Ulaya na US wameanza kuteua watu wa wenye asili aya Afrika kwenye serikali zao ili kuiteka hisia za Waafrika na wasahau udhalimu waoKwa nini sijakuelewa ?
Tz ni shida.Diaspora kutoka Tanzania mbona wako nyuma kwenye kila jambo michezo hawapo, siasa hawapo, kwenye science hawapo yaani wapo wapo tu
Kweli mkuu, yaani ujamaa umefanya watanzania kuwa kama wamezibaa hivi.Mambo ya vijiji vya ujamaa na kujitegemea yanatucost mpaka leo.
WATANZANIA NA WAAFRIKA wote jamii yenye ngozi nyeusi hawana akili timamu hata kidogo msisingizie ujamaa sisi watu wenye ngozi nyeusi hatuna akili timamu hata kidogo [ mazezeta ] wala msiutupie mzigo ujamaa kwa ujinga na upumbavu wenu mpaka leo Karne ya 21 hamjitambui halafu mnasema ujamaa umewaathiri mbona huo ujamaa hauja waathiri China ?Kweli mkuu, yaani ujamaa umefanya watanzania kuwa kama wamezibaa hivi.
Sawa.Nchi za Ulaya na US wameanza kuteua watu wa wenye asili aya Afrika kwenye serikali zao ili kuiteka hisia za Waafrika na wasahau udhalimu wao
Kwa nini ?Na yataendelea kutu cost muda mrefu sana ujao.
Ki vipi ? elezeaMambo ya vijiji vya ujamaa na kujitegemea yanatucost mpaka leo.
N sie mzungu agombee urais tuLabda hakuna msukumo na mshikamano.