Hakuna cha demokrasia wala uwajibikaji hapo, kama mawaziri wakuu wanajiuzulu kwa kutomaliza mihula,hilo ni tatizo siyo demokrasia. Ni udhaifu katika uandaaji wa viongozi
Hali inajulikana wazi ni issue ya vita kati ya Ukraine na Urusi..means hata anaye kuja hato badili chochote..naye atajiuzulu..then what? Wazungu ni wapumbavu tu sometimesHali ya maisha ndio inafanya iwe hivyo watu wanataka mtu mwenye nguvu ya kutuvusha hapa
Maisha yamekuwa juu sana na Liz sio wa kutuvushaaa
Mulete muzungu Boris
Hawawezi kuelewa hawa wala vumbi wa putini...Jana kulikuwa na Fracking vote je wanajua kilichotokea?
Leo huku hakuna Habari za Putin kabisa ni siasa za ndani tu mwanzo mwisho
unashindwa kuweka mazingira ya serikali kujiingizia kipato unalazimisha tozo unasema wananchi wamekubali kisa umewalipa rushwa wabunge ili wakubali.Kujitambua ndo viongozi wao wanajiuzulu kila siku?
CCM nani anaweza? She is much better.Clock 100
Kwanini nawe usijiuzulu tu na wakati unajua nafasi uliyonayo huiwezi😛
Huku limwigu limeng'ang'ania kiti alitaki kuachiaHuko Wana akili timamu sio huku
Huu sasa ni ujinga,hii siyo democrasia.watajiuzulu wangp?
Hii kuondoa ni toka Tony Blair.
-Tony Blair ali resign akachukua Gordon Brown....
Kabisa mzee, vikwazo dhidi ya Russia vinawatafuna wao wenyeweWaongee na Putin Tu wayamalize. Hii vita itawang'oa wengi bado France
Mkuu unajua kuna watu wanataka kununua nyumba na wamejiwekea miaka ili waweke down payment ila sasa hawawezi kwa sababu interest ilikuwa 4.75% na basda ya ile mini budget ya Kwasi akapandisha mpaka 6.65% huoni kuna tatizo hapoHali inajulikana wazi ni issue ya vita kati ya Ukraine na Urusi..means hata anaye kuja hato badili chochote..naye atajiuzulu..then what? Wazungu ni wapumbavu tu sometimes
Mnawalazimisha watu washindane na watu ambao wanakuua kila ukijaribu kuwasogelea.yaani watawala wa kiafrika.Illiterates kama nyie ndio mnaofurahiwa na CCM, na ndio maana mnakanyagwa , mnakula virungu, na tozo juu kwa sababu wanajua kuna mang.ombe wengi wa kuswagwa na kuingizwa kwenye zizi na fimbo juu...
Mkuu, hilo nililiona tokea huyu mama amepewa hiyo kazi.
Wafaransa wamewasihi Waingereza wawe watulivu ili mambo yao yaende sawa kama miaka ya nyumaSasa kwa taarifa yako hiyo siyo ishara ya utimamu. Ni dalili za disfunctional political system. Ni vile tu kwamba washajijengea jina kubwa na historia kama british empire na nyie mnaona kila ujinga wao ni ustaarabu kwenu.
Mkuu unahangaika bure kuelimisha wasiotaka kuelimika .Msimpe Putin sifa ambazo hastaili! Vita ya Ukraine na Russia ni vya siku za karibuni. Hii kuondoa ni toka Tony Blair.
-Tony Blair ali resign akachukua Gordon Brown.
- Gordon Brown akaondolewa kwenye uchaguzi baada ya kipindi na Cameron.
- Cameron ali resign akachukua Theresa May.
- Theresa May ali resign akachukua Boris Johnson.
- Boris Johnson ali resign akachukua Liz Truss.
- Liz Truss ame resign anachuwa ____
Mkuu unahangaika bure kuelimisha wasiotaka kuelimika .
Wrnzio kila kitu kibaya kinachotokea ulaya wanakihusha na putin
Geezer....Mkuu unajua kuna watu wanataka kununua nyumba na wamejiwekea miaka ili waweke down payment ila sasa hawawezi kwa sababu interest ilikuwa 4.75% na basda ya ile mini budget ya Kwasi akapandisha mpaka 6.65% huoni kuna tatizo hapo
Acha tule vichwa vya samaki maana we cannot afford fish anymore [emoji22]
Mambo ya Ukraine sawa na ni la Dunia ila hapa kuna tatizo la utawala kwa sasa
Umeona wamejiuzulu wangapi tangu waanze haya
Tunapambana mkuu ingawa maisha magumu lakini yatapita na haya
Hawawezi kukuelewa, wengi wao putini TP...Msimpe Putin sifa ambazo hastaili! Vita ya Ukraine na Russia ni vya siku za karibuni. Hii kuondoa ni toka Tony Blair.
-Tony Blair ali resign akachukua Gordon Brown.
- Gordon Brown akaondolewa kwenye uchaguzi baada ya kipindi na Cameron.
- Cameron ali resign akachukua Theresa May.
- Theresa May ali resign akachukua Boris Johnson.
- Boris Johnson ali resign akachukua Liz Truss.
- Liz Truss ame resign anachuwa ____