Uingereza: Waziri Mkuu Liz Truss ajiuzulu baada ya siku 45 madarakani

Kweli kabisa. Unajua ni kwa nini wanapenda madaraka? Kwa sababu kuwa kwenye madaraka kwa mwafrika ni kutumbua maisha. Ingekuwa wanawajibika ipasavyo wasingeng'ang'ania kwani kazi yoyote huchosha.
@zimemerman njoo hapa maana umekoment utaga nami siwezi kukujibu...jibu hili huku
 
Huku watu wangeambiwa sio watanzania 😂
Biashara zao zingeambiwa kodi, mizengwe kibaoo.
Wengine risasi zingewahusu.
 
Mimi sikupingi ila uwezo wako was kufikiri umekomea hapo
Sawa, ila aina hii ya siasa ukiileta bongo mtashangaa mtakavyokuwa kama Somalia. Niamini stability ni kitu cha muhimu sana. Hao wangereza wanaafford kujiuzulu na kubadilishana kiholela hivyo kwa sababu kuna mifumo mingine inayowabeba.
 
Suala hili kwa huko Tanzania likitokea la anae takiwa kujiuzulu linakuwa kama KUMPIGA NTU RUNGU LA UTOSI...

 
Huko ndiko kuheshimu dhamana uliopewa, unakubali pale kazi inapokushinda kwa unyenyekevu. Tena na mama wa watu hana shida wala Njaa. ataendelea na kazi zake kama raia wengine
 
Waongee na Putin Tu wayamalize. Hii vita itawang'oa wengi bado France
Toa utumbo wak hapa inahusianaje mambo haya na putin, putin mwenyew taaban hana jeshi hana silaha anakodi silaha kutoka Iran ata mwaka vita haijafika kajichokea nafsi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…