Uingereza: Waziri Mkuu Liz Truss ajiuzulu baada ya siku 45 madarakani

Ila kupitia kisanga cha huyu mama nimeamini wazungu nao wanajua kusuta kama waswahili. Maana kuna mizee ya kiume kabisa ilikuwa inamshushua mama bungeni mpaka anakosa cha kusema.
Your browser is not able to display this video.
 
Haya mambo tutaishia kuyaona Ulaya tu ila sisi Afrika sahau.
 
Hivi mbona hawa watu wetu hawapatikana
 
Kwakuwa sijasifia au
Hakuna ujinga unaoangamaza Taifa letu kwa sasa kama huu ujinga wa kusifia. Kwani hatuwezi kutoa maoni bila kusifia? Nimekupinga kwa siyo kwa sababu hukusifia ila kwa sababu huoni correllation kati ya viongozi kujiuzulu wanapofanya fyongo au kushindwa kutekeleza ahadi walizotoa na kufaidika kwa wananchi.
 
Hawa ndio maana wana maendeleo makubwa, hawanaga unafiki wa kusifia ujinga. Angekuwa ni wa kwetu kila mtu angekuwa anaimba "anaupiga mwingi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…