Ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Dodoma(Dodoma Stadium) kuanza hivi karibuni

Hivi huwa anasema Tanzania ya Viwonder au Viwanja?
 
Morocco sio wajinga, akikupa x, jua anamejipanga kuchukua 100x kutoka kwako.
 
Tatizo sio uwanja wa wapi......kupata mchoro ni kitu muhimu na kizuri kwanini usiigee hata Ramani za Nyumba ukichunguza ni watu walisha Jengaaa.....kutumia picha ya uwanja wa Ujerumani sio kosaaa......kikubwa Uwanja huo utakuwa kwetuu basiiii

Rais kusimamia sio shida sababu watu ni wapigaji sana wa hela kwani hamkuona ya uwanja wa Taifa.....uwanja utaisha mapema na kwa viwango vizuri watu wengine kila alifanyalo magufuri wao ni baya
 
Hivi viwanja bila kua na mpango madhubuti wa kujenga timu yenye kua na ushindani level ya juu naona kama hazina maana, kwa viwanja vilivyopo na sisi kuanzia klabu na timu ya taifa kua wasidikizaji inatosha....binafsi naona waziri wa michezo angekaa chini na wadau siasa pembeni na kutuletea dira ya soka ya kueleweka sio kuleta viwanja na akina Maximo...lini tutanivunia Taifa Stars wakiwa Kombe la Afrika au Kombe la Dunia...tuache short cuts n short fix turudi.kwenye drawaing board tutoke na master plan ya soka naamini inawezekana
 
Morocco sio wajinga, akikupa x, jua anamejipanga kuchukua 100x kutoka kwako.

Kwa hiyo raisi akatae ofa ya uwanja?? hzi akli za chooni taabu sana....Magufuli anatakiwa aiburuze sana hii nchi
 
picha hiyo ni olympic stadium iliyoko ujerumani
 
Hiyo picha ni ya uongo maana huo ni uwanja wa Ujerumani. Ila kumbukeni pia hospitalini hakuna dawa za kutosha.
 
Safi sana lakini wasiweke njia za kukimbilia kama huu wa Dar huwa zinafanya uwanja kuwa mbali sana na majukwaa hivyo watazamaji kutowaona vizuri wachezaji. Kwa uwanja wa Dar hakukuwa na haja ya kuweka njia za kukimbilia wakati uwanja wa shamba la bibi upo na una hizo njia za kukimbilia.
 
mara nyingi viwanja vinavyo jengwa na serekali huekewa njia ya kukimbilia ili kuchezewa michezo ya riadha ya ndani na ya kimataifa na inapunguza garama ya kujenga viwanja vyengine . Unasema wasiweke njia ya kukimbilia na tz ina uwanja mmoja tu wa kukimbilia ukitoa ule wa znz na fodoma sasa ndio mji mkuu . Jee serekali itajenga uwanja maalumu kwa wakimbiaji wetu? Uwanja uliopo dodoma sasa utumike kwa kwa michezo na sherehe za kitaifa.
 
80m to 100m us dollar mbona ndogo sana?
 
Hiyo ni hatua nzuli kwa maendeleo ya soka la bongo na vikijengwa viwanja hata vitano katika mikoa tofauti kwanza nchi inaweza kuandaa mashindano makubwa kama vile Afcon na Chan na hata ligi yetu pia itakuwa kwani timu za ligi kuu zitaongezeka na hata kuwa chanzo kizuli cha mapato...Raisi ameona mbali nampongeza sana kwa uamuzi wake kwa nimjuavyo akisema jambo atatekeleza that iz a leader en he lead with example
 
Dogo tembea uone, Dom siku hiz maji si tatizo kabisa
 
Wewe jamaa utakuwa ni miongoni mwa waliokula hasara kwa kununua ardhi nara mkisubiri fidia ya kiwanja cha mpira
 
Dogo tembea uone, Dom siku hiz maji si tatizo kabisa
Yaani nitembee nione na cha kuona chenyewe kiwepo Dodoma?! But all in all, issue hapa ni kwamba Dodoma wana changamoto nyingi zinazoathiri moja kwa moja kwa maisha ya kila siku ya jamii kuliko suala la uwanja wa michezo!!
 
Sipendi zile track za kumbilia kama ni uwanja football iwe soccer tuu haya sijui rede riadha watafutiwe kwingine wasiharibu kama taifa pale..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…