Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Waziri wa ulinzi wa Ujerumani,Boris Pistorius, amesema kulitumia jeshi la nchi yake kuilinda Israel iwapo itashambuliwa na Iran si jambo linalohitaji kujadiliwa.
Kauli hiyo ya Ujerumani inafuatiwa na uamuzi wa Marekani kupeleka meli na askari kuizunguka Israel ili kuipa ulinzi nchi hiyo ambayo kwa sasa imejiongezea maadui kufuatia vita vya miezi 10 na Hamas.
Hayo yakitokea wafalme wa nchi za mashariki ya kati walilala muda wote wa miezi 10 ya vita na bado wanaendelea kulala huku ndugu zao wa Palestina wakimalizwa kwa kuuliwa kwa njia ya silaha nzito na njaa.