Ujerumani yasema kuilinda Israel si suala linalohitaji mjadala. Wafalme wa mashariki ya kati bado wamelala

Ujerumani yasema kuilinda Israel si suala linalohitaji mjadala. Wafalme wa mashariki ya kati bado wamelala

Israel wapo vizuri kwenye calculation zake kama ameweza kuwashawishi mataifa makubwa ulimwenguni yawe upande wake licha ya yote anayoyafanya....imefika mahali mataifa makubwa yanaona usalama wa Israel sio suala la kujadiliana bali ni kutekeleza
Kwasababu wanalinda taifa lao jengine
Israhell imeundwa na watu kutoka ulaya ndio maana hua wapo tayari kulilinda kwa gharama yeyote
Taifa la israhell ni hewa tu
 
Germany, france, uk na marekani kwenye vita siku zote wana makubaliano ya kusimama pamoja kwahiyo hilo sio geni
Walishiriki kutunga uongo wakaisambaratisha iraq, libya etc nothing new iran akianzisha vita na israel wataungana kuondoa regime iliyopo ili waitawale iran kwa kuweka mtu wanayemtaka wao kwa maslahi yao, after that yale mafuta na resources zote ni za kwao dunia ndio ipo hivyo, ila kuna muumini wa nwamposa akishashiba kande anakwambia wanauliwa kwakuwa magaidi , watanzania tuna tatizo kubwa especially misingi yetu ya elimu ni poor ,ukifuatilia mijadala humu utaona wengi ni zero brain wanaongea ujinga ujinga tu they cant reason at all
MAGAIDI WANATAKIWA KUUAWA TU KAMA WANAVYOUA WENZAO HILI HALINA MJADALA.
 
tangu vita ile,ujeruman inaogopa au haipendi kujihusisha na vita zisizokua na tija au za lazima. hawataki kuvuluga uchumi wao.
mimi naamini akili za muyahudi mmoja sawa na akili za wajerumani 1000.
ukumbuke muyahudi mmoja aliyetoloka vita wakati wa vita ile ndio aliehamia marekan na ndie alietengeneza nyukilia iliyoteketeza wajapani na kuisimamisha vita ile ya dunia.
hatakama kunaukweli wa wajeruman kuwepo huko ila naamin wayahudi ndio wanaiongoza ujerumani ya leo.kisayansi na tamaduni.
Duuh huu ujinga mlomezeshwa kuutoa kichwani mwenu inahitajika kazi haswa
German sio haipendi kujihusisha na vita ila baada ya kupigwa vita ya pili waloshinda vita wakamuekea masharti yeye na JAPAN wanaishi humo ndani ya hayo masharti
Yaani lazima wazingatie hayo sio kama hawapendi
Ila kwasasa ndio wanajitutumua kwakua dunia inaendeshwa kinafiq nafiq tuuu
 
Ila Kusema ukweli Iran wanasapoti Magaidi hilo usikatae mkuu
Ni vita ya kusurvive na kujilinda, hilo neno gaidi limewekwa kuwakandamiza tu watu fulani lisikuchanganye sana, hata mandela wakati anatetea taifa lake aliitwa gaidi na aliwekwa kwenye list ya magaidi na nchi za magharibi
Iran anachofanya ni kujaribu kusurvive na sio dini, kwasababu marekani na magharibi wanamuwinda kila kona watoe hii regime ya ayatollah waweke mtu watakaeweza kumcontrol na kulinda maslahi ya marekani kama ilivyo saudi arabia , uae etc
IRan anapigania uhai wake na israel imeanzishwa only kulinda maslahi ya nchi za magharibi middle east ,pitia hotuba ya biden miaka ya 60 huko alisema lazima liwepo taifa la israel ili kulinda maslahi ya marekani ,its just a matter of time before marekani na washirika wake kuivamia iran maana ndio kikwazo kilichobaki middle east kwengine kote wana control wao hao dini inatoka wapi? Marekani na mambo ya dini wapi na wapi
 
Maamuzi hayo yangekuwa ya kijinga sana wakati ardhi zote ni zao na kwa inavyojulikana Israel haiwezi kuridhika na hilo wangeendelea kuwaibia kila kitu,
Hayo mengine wala hawakusubiri ushauri wako.
Hivi nini kinachodhibitisha ardhi zote ni wapalestina?
 
Hivi najiuliza,kama Hamas wangewaachia mateka.Wakaacha kurusha maroketi.Wakajikita kujenga miundombinu,elimu,teknolojia.Wakawa wanaenda kuswali Al Aqsa bila fujo.Wakaanzisha majadiliano ya kibiashara na kidiplomasia na Israel.Shida ingekuwa nini.
Kaangalie ramani iloundwa baada ya israhell kupewa ardhi ya watu mwaka 1948
Halafu uangalie na ramani ya mwaka huu 2024 nadhani utakua ushapata jibu
Njia pekee yakuongea na zayuni ni nguvu tuuuu
 
Kwasababu wanalinda taifa lao jengine
Israhell imeundwa na watu kutoka ulaya ndio maana hua wapo tayari kulilinda kwa gharama yeyote
Taifa la israhell ni hewa tu
Sema waarabu miyeyusho wangeungana wote na Israel aungane na washirika wake pawake moto mshindi apandishe bendera
 
Duuh huu ujinga mlomezeshwa kuutoa kichwani mwenu inahitajika kazi haswa
German sio haipendi kujihusisha na vita ila baada ya kupigwa vita ya pili waloshinda vita wakamuekea masharti yeye na JAPAN wanaishi humo ndani ya hayo masharti
Yaani lazima wazingatie hayo sio kama hawapendi
Ila kwasasa ndio wanajitutumua kwakua dunia inaendeshwa kinafiq nafiq tuuu
usiwe mwepesi kutoa lugha za kejeli. weka hapa vikwazo au mashariti hata vitatu walivyowekewa tangu miaka ile kabla ya hata tamko la haki za binadamu, halafu nikueleweshe tofauti ya vita za wakati ule na sasa.
 
Hivi nini kinachodhibitisha ardhi zote ni wapalestina?
Ardhi kisheria inapatikana kwa njia mbili , moja ni mikataba ya kimataifa ya mipaka
Mbili kwa kukaa eneo muda mrefu
na kwa njia zote hizo mbili ardhi ni ya wapalestina, israel aliingia kwa kukaribishwa na wapalestina baada ya vita na waarabu wakapora ardhi
JUmuia ya kimataifa ikakaa chini ikaweka mipaka ya israel na palestina kama sheria za mipaka zinavyotaka, na mipaka ikawekwa nadhani 1967, badala ya hapo israel akaanza kuwaua systematically wapalestina kwa makusudi na kupora ardhi yao ndio maana dunia nzima na hata un secretary general ambaye ni mkristo kama wewe badala ya tukio la october 7 ,alimwambia netanyahu nyie ndio wakorofi
Au unataka mipaka iwekwe na quran au bible ? Tatizo la wengi ni shule nothing else
 
tangu vita ile,ujeruman inaogopa au haipendi kujihusisha na vita zisizokua na tija au za lazima. hawataki kuvuluga uchumi wao.
mimi naamini akili za muyahudi mmoja sawa na akili za wajerumani 1000.
ukumbuke muyahudi mmoja aliyetoloka vita wakati wa vita ile ndio aliehamia marekan na ndie alietengeneza nyukilia iliyoteketeza wajapani na kuisimamisha vita ile ya dunia.
hatakama kunaukweli wa wajeruman kuwepo huko ila naamin wayahudi ndio wanaiongoza ujerumani ya leo.kisayansi na tamaduni.
Una akili za wapi we jamaa ..yaani Jew mmoja ni sawa na German 1000
Ebu punguzeni mahaba na Jew maana mnaongea vitu vya kitoto afu watu wazima
 
Hivi najiuliza,kama Hamas wangewaachia mateka.Wakaacha kurusha maroketi.Wakajikita kujenga miundombinu,elimu,teknolojia.Wakawa wanaenda kuswali Al Aqsa bila fujo.Wakaanzisha majadiliano ya kibiashara na kidiplomasia na Israel.Shida ingekuwa nini.
Vita ya Wapalestina na Israel ni ya karne na karne! Hata kabla Hamas hawajateka hao mateka bado walikuwa vitani na Israel.
 
usiwe mwepesi kutoa lugha za kejeli. weka hapa vikwazo au mashariti hata vitatu walivyowekewa tangu miaka ile kabla ya hata tamko la haki za binadamu, halafu nikueleweshe tofauti ya vita za wakati ule na sasa.
Kejeli iko wapi ujinga sio kejeli ni kutokujua mambo
Wala sitakupa matatu sababu hayo matatu sina ila nakupa moja tu
Namoja lenyewe nikwamba baada ya japan na German kufyekwa wakaekewa masharti ama kikomo juu ya masuala ya kijeshi
Nandio maana mpaka leo German hana silaha za nyuklia pamoja na japan sababu ya hayo masharti waloekewa baada ya kupigwa
Angalizo silaha zilizopo german sio zao zimepelekwa na washirika
 
Una akili za wapi we jamaa ..yaani Jew mmoja ni sawa na German 1000
Ebu punguzeni mahaba na Jew maana mnaongea vitu vya kitoto afu watu wazima
mimi sina mahaba kabisa na wayahudi..ni mmoja ambae nswachukia sana hawa viumbe wayahudi.ila nazunguzia kile kilichotokea wakati ule.tafuta sababu kwanini vita ile walilengwa wayahudi.
 
Germany, france, uk na marekani kwenye vita siku zote wana makubaliano ya kusimama pamoja kwahiyo hilo sio geni
Walishiriki kutunga uongo wakaisambaratisha iraq, libya etc nothing new iran akianzisha vita na israel wataungana kuondoa regime iliyopo ili waitawale iran kwa kuweka mtu wanayemtaka wao kwa maslahi yao, after that yale mafuta na resources zote ni za kwao dunia ndio ipo hivyo, ila kuna muumini wa nwamposa akishashiba kande anakwambia wanauliwa kwakuwa magaidi , watanzania tuna tatizo kubwa especially misingi yetu ya elimu ni poor ,ukifuatilia mijadala humu utaona wengi ni zero brain wanaongea ujinga ujinga tu they cant reason at all
Nawewe ni pia mjinga kwanini uweke nguvu na umuhimu kwa hao
huna tofauti na hao uliowasema.

AFRICA FOR AFRICANS
 
Maslahi gani ?

Dini ya ukristo ni biashara kubwa sana.

Na historia kubwa ya ukristo ipo kwenye ardhi ya israel.

Israel imewekwa pale na wazungu kwa ajili ya kulinda historical sites za ukristo.

Inasemekana hata Wale wanaoishi pale sio wayahudi. Ni mchezo tu wazungu wameucheza kwa manufaa yao
 
Back
Top Bottom