Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
China na ukubwa wake na uchumi mkubwa hajathubutu kunyanyua kifua kwa wakubwa.
Unamaanisha nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
China na ukubwa wake na uchumi mkubwa hajathubutu kunyanyua kifua kwa wakubwa.
😂😂😂 sema asilimia kubwa ya tz n afya ya akili atana ww tia maji sasa umeeleza vzr mwisho uka haribu baada ya kuwapa elimu ukawaponda tenaGermany, france, uk na marekani kwenye vita siku zote wana makubaliano ya kusimama pamoja kwahiyo hilo sio geni
Walishiriki kutunga uongo wakaisambaratisha iraq, libya etc nothing new iran akianzisha vita na israel wataungana kuondoa regime iliyopo ili waitawale iran kwa kuweka mtu wanayemtaka wao kwa maslahi yao, after that yale mafuta na resources zote ni za kwao dunia ndio ipo hivyo, ila kuna muumini wa nwamposa akishashiba kande anakwambia wanauliwa kwakuwa magaidi , watanzania tuna tatizo kubwa especially misingi yetu ya elimu ni poor ,ukifuatilia mijadala humu utaona wengi ni zero brain wanaongea ujinga ujinga tu they cant reason at all
Sema sasa trip hii Israeli nayo imeamua kuonyesha ubabe mkubwa sana na nyuma yake ina watu wenye nguvu sidhani kama Iran ameliona hilo.Iran kwa sasa angepiga kimya tu itasumbua wananchi wake tu.Ukubwa wa eneo ni faida ila kama una watu wenye moyo na utayari wa vita kama ilivyo Russia...Warusi wamekua wanalitumia eneo lao kubwa kwa faida maana pia wanakua na sababu ya kupambana.Ukija kwa Iran sidhani kama wananchi wanakubalina na uongozi uliopo na wananchi wamewachoka hao viongozi wa kidini tatizo linaanza hapo.Iran sio nchi ndogo
Kimbuka iran ni mara mbili ya population ya Iraq lakini Iraq ilivamiwa na dunia nzima, nchi kubwa zote zilimchangia na ardhi za waarabu wengine zilitumika pamoja na bahari zao kwa manowari kubwa kubwa
Iran kama unavyoona German ameongea kuhusu kumtetea Israel kwani wanajua wakiwaacha wawili watamalizana vibaya
Jordan anasema atatungua makombora yanayoenda israel ila haoni kuwa vita itageukia kwake na makombora yatashuka kwake na uchumi wake kudorora
Mkuu vita sio mchezo hata wao wazungu wanajua uchumi wa Dunia utayumba ingawa kuna wakati Raisi wetu mmoja mstaafu aliwahi kusema sisi hayatuhusu kiuchumi ila yaliyotokea aliona aibu kulipngelea tena
Yaani hawa wenzetu amani kwao ni dhambi...si unakumbuka kibiti, uamsho..yaani wao hawapendi amaniHivi najiuliza,kama Hamas wangewaachia mateka.Wakaacha kurusha maroketi.Wakajikita kujenga miundombinu,elimu,teknolojia.Wakawa wanaenda kuswali Al Aqsa bila fujo.Wakaanzisha majadiliano ya kibiashara na kidiplomasia na Israel.Shida ingekuwa nini.
Iran ina nini cha ziada, Iraq ilisifiwa kweli mpaka tukajua huenda ikaitawala dunia . Cha ajabu siku 23 watu wako Bagdadi. Baada ya miezi nane mzee akafukuliwa kwenye shimo chafu. Nilijiuliza maswali mengi.
China na ukubwa wake na uchumi mkubwa hajathubutu kunyanyua kifua kwa wakubwa. Ogopa nchi haina hata uwezo wa kutengeneza spare part ya ndege au helcopta na viongozi wake wanategemea nchi za magharibi ambao ni mahasimu wake.
Tusishabikie vita . Iran itulie kama China ilivyotulia. Isijiingize kwenye kutafuta kuwa superpower Asia kwani itapotea mazima. Wana nafasi ya kukua kama watatuli na kujiimarisha kitechnolojia
Uendage shule siyo unakuja kuonyesha ujinga wako humuYaani hawa wenzetu amani kwao ni dhambi...si unakumbuka kibiti, uamsho..yaani wao hawapendi amani
Uingereza sasa wanawaondoa kwa nguvu...fundishaneni kuishi kwa amani, uwezo hamna mdomo tuUendage shule siyo unakuja kuonyesha ujinga wako humu
Aisee kama hujui, wananchi wa iran wana umoja sana likija suala la vitaSema sasa trip hii Israeli nayo imeamua kuonyesha ubabe mkubwa sana na nyuma yake ina watu wenye nguvu sidhani kama Iran ameliona hilo.Iran kwa sasa angepiga kimya tu itasumbua wananchi wake tu.Ukubwa wa eneo ni faida ila kama una watu wenye moyo na utayari wa vita kama ilivyo Russia...Warusi wamekua wanalitumia eneo lao kubwa kwa faida maana pia wanakua na sababu ya kupambana.Ukija kwa Iran sidhani kama wananchi wanakubalina na uongozi uliopo na wananchi wamewachoka hao viongozi wa kidini tatizo linaanza hapo.
Wewe kumbe huwaelewi wazungu , unaweza kukuta haohao wamarekani kuna wanaomsaidia Iran kama alivyo mfaransa na miradi yake kule Iran pamoja na nchi kama Sweden na Ujeramani ambao wana makampuni yao kule.Sema sasa trip hii Israeli nayo imeamua kuonyesha ubabe mkubwa sana na nyuma yake ina watu wenye nguvu sidhani kama Iran ameliona hilo.Iran kwa sasa angepiga kimya tu itasumbua wananchi wake tu.Ukubwa wa eneo ni faida ila kama una watu wenye moyo na utayari wa vita kama ilivyo Russia...Warusi wamekua wanalitumia eneo lao kubwa kwa faida maana pia wanakua na sababu ya kupambana.Ukija kwa Iran sidhani kama wananchi wanakubalina na uongozi uliopo na wananchi wamewachoka hao viongozi wa kidini tatizo linaanza hapo.
Ukweli ni huo.Mwenyezi Mungu ni mwingi wa hekima na zamani kasema huwa anamzunguka adui yake bila kujijua.Akiua watu wengi huona kama ndio anapata ushindi.Ndugu Israel nilikuwa nawambia siku zote hapa hawa wafuasi wa Paulo hajawahi pigana na warabu bila kusaidiwa na America. Western na nchi za kiarabu haswa hio Jordan ndio alikuwa akitoa siri vipi warabu wamejipanga. Siku hizi nchi ambazo zilikuwa zinamuita Israel adui, wa kwanza UAE ndio kawa kipenzi kikubwa cha Israel. Saud Arabia siku zote yuko na Israel isipokuwa yule King Faisal ndio alikuwa hayuko kabisa na Israel wakamua kwa kutumia mtoto wa ndugu yake hao America.
Sadat aliwahi kusema mimi sipigani na Israel napigana na America, UK, France, Italy, Germany na mataifa mengi tu ya ulaya, warabu wakamkasirikia ukweli ndio huo Israel kapandikizwa tu lakini hapigani yeye.
Wachana nao hata wajikusanye Europe nzima siku hizi ni Missiles na Drones ndio zinaongea. Zamani waliwaonea warabu na waislam kila kitu kilikuwa kinatoka kwao, siku hizi Missiles na Drones warabu na Waislam wanatengeneza wenyewe.
Afu usitishike na mbwebwe zao hao America na Western wakisukumiwa Missiles huko Germany watandamana hawamtaki chancellor
Wewe kumbe huwaelewi wazungu , unaweza kukuta hao hao wamarekani kuna wanaomsaidia Iran kama alivyo mfaransa na miradi yake kule Iran pamoja na nchi kama Sweden na Ujeramani ambao wana makampuni yao kule.Sema sasa trip hii Israeli nayo imeamua kuonyesha ubabe mkubwa sana na nyuma yake ina watu wenye nguvu sidhani kama Iran ameliona hilo.Iran kwa sasa angepiga kimya tu itasumbua wananchi wake tu.Ukubwa wa eneo ni faida ila kama una watu wenye moyo na utayari wa vita kama ilivyo Russia...Warusi wamekua wanalitumia eneo lao kubwa kwa faida maana pia wanakua na sababu ya kupambana.Ukija kwa Iran sidhani kama wananchi wanakubalina na uongozi uliopo na wananchi wamewachoka hao viongozi wa kidini tatizo linaanza hapo.
Yaani hawa wenzetu amani kwao ni dhambi...si unakumbuka kibiti, uamsho..yaani wao hawapendi amani
hiyo ni hoja dhaifu sana ,huwezi kuondoa raia wako ,unaowaona wale waarabu wote ulaya na marekani 90% wameshapewa uraia na wameshazaliana na wenyeji ,Uingereza sasa wanawaondoa kwa nguvu...fundishaneni kuishi kwa amani, uwezo hamna mdomo tu
Hao wafalme sio wajinga, wanajua nguvu ya Mungu wa Israel.Waziri wa ulinzi wa Ujerumani,Boris Pistorius, amesema kulitumia jeshi la nchi yake kuilinda Israel iwapo itashambuliwa na Iran si jambo linalohitaji kujadiliwa.
Kauli hiyo ya Ujerumani inafuatiwa na uamuzi wa Marekani kupeleka meli na askari kuizunguka Israel ili kuipa ulinzi nchi hiyo ambayo kwa sasa imejiongezea maadui kufuatia vita vya miezi 10 na Hamas.
Hayo yakitokea wafalme wa nchi za mashariki ya kati walilala muda wote wa miezi 10 ya vita na bado wanaendelea kulala huku ndugu zao wa Palestina wakimalizwa kwa kuuliwa kwa njia ya silaha nzito na njaa.
Vp uamsho nayo ilimalizwa na nani?yaani nyinyi kuuwa waislamu si dhambi ??
Nyerere aliuwa zaidi ya watu 10 000 Zanzibar na ameichukuwa Zanzibar mpaka leo kwa kisingizio cha muungano , na mnaendelea kuuwa watu kila ufikapo uchguzi kulinda maslahi yenu
Ha
Hao wafalme sio wajinga, wanajua nguvu ya Mungu wa Israel.
Subiri mpambano uanze halafu urudi hapa tutambiane Mungu yupi ana nguvu?
Vp uamsho nayo ilimalizwa na nani?
Hivi hoja zao ni nini hasa? (Kibiti, uamsho)
Umeandika porojo tupu.Germany, france, uk na marekani kwenye vita siku zote wana makubaliano ya kusimama pamoja kwahiyo hilo sio geni
Walishiriki kutunga uongo wakaisambaratisha iraq, libya etc nothing new iran akianzisha vita na israel wataungana kuondoa regime iliyopo ili waitawale iran kwa kuweka mtu wanayemtaka wao kwa maslahi yao, after that yale mafuta na resources zote ni za kwao dunia ndio ipo hivyo, ila kuna muumini wa nwamposa akishashiba kande anakwambia wanauliwa kwakuwa magaidi , watanzania tuna tatizo kubwa especially misingi yetu ya elimu ni poor ,ukifuatilia mijadala humu utaona wengi ni zero brain wanaongea ujinga ujinga tu they cant reason at all
Kweli mkuu.Yaani hawa wenzetu amani kwao ni dhambi...si unakumbuka kibiti, uamsho..yaani wao hawapendi amani
Israel anakuzwa tu na viongozi wa kiarabu ambao wanataka Israel ibaki ili walindwe na America, hawajui America hana urafiki wa kudumu urafiki wake ni kwa faida flani. America mwenyewe hana nguvu mwenye nguvu angefungashwa huko Afghanistan na Iraq.Ukweli ni huo.Mwenyezi Mungu ni mwingi wa hekima na zamani kasema huwa anamzunguka adui yake bila kujijua.Akiua watu wengi huona kama ndio anapata ushindi.
Vijana wa coding za IT wamejaa kila eneo.Wapalestina tu mipaka imefungwa na wana uwezo wa kuunganisha mabaki ya makombora na kuyarudisha kwa mayahudi kwa kadri wanavyoweza.Utakuja kushindana na Iran na Yemen na Afghanistan na Lebanon ambao mipaka yao wala haiwezi kuzibwa na askari wa kukodi kutoka Marekani.
Ingekuwa Israel ina ulinzi wa ajabu basi makombora ya oktoba 7 na haya yanayotoka Lebanon wala yasingepenya kudondoka kwao.