Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #81
Dah ukweli mchungu huuVita dhidi ya ujinga aliyoianzisha Mwalimu Nyerere nadhani alikosea ingembidi aanzishe vita dhidi ya IQ hafifu huenda inatibika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah ukweli mchungu huuVita dhidi ya ujinga aliyoianzisha Mwalimu Nyerere nadhani alikosea ingembidi aanzishe vita dhidi ya IQ hafifu huenda inatibika
Naskia pale wafanyakazi wanarudi na mifuko ya hela majumbani mwao kila weekend. Ni wizi tuSio mpaka foreign ila sekta binafsi inaweza kuwa na ufanisi kuliko public sector maana wao ni profit-oriented sio blah blah. Hata hao US wametoa bandari zao kwa mikataba ya miaka mpaka 50 kwa kampuni za UAE Ili kuongeza ufanisi.
Hapa Cha kuweka sawa ni mikataba tu ila kubinafsisha bandari sio kitu Cha ajabu maana hata waliopo hao TPA wamefeli kabisa.
Hata hapo TPA ni rushwa, ufisadi, madawa ya kulevya, magendo n.k yanapitishwa tu hata sahivi?! Mnavyoongelea sovereignty it's as if sahivi magendo hayapiti?
Sio mpaka foreign ila sekta binafsi inaweza kuwa na ufanisi kuliko public sector maana wao ni profit-oriented sio blah blah. Hata hao US wametoa bandari zao kwa mikataba ya miaka mpaka 50 kwa kampuni za UAE Ili kuongeza ufanisi.
Hapa Cha kuweka sawa ni mikataba tu ila kubinafsisha bandari sio kitu Cha ajabu maana hata waliopo hao TPA wamefeli kabisa.
Hata hapo TPA ni rushwa, ufisadi, madawa ya kulevya, magendo n.k yanapitishwa tu hata sahivi?! Mnavyoongelea sovereignty it's as if sahivi magendo hayapiti?
Tunaamini Mwarabu akipewa ile mizigo yetu kanisani ambayo tumezoea "exemptions " itapigwa banKuna shida gani kwenye uarabu wake?
Huo ni ujinga.Tunaamini Mwarabu akipewa ile mizigo yetu kanisani ambayo tumezoea "exemptions " itapigwa ban
Labda kosa ni kuongea hadharani, lkn sirini tunachopinga ni Mwarabu tu otherwise mkataba kama huo huo angepewa mzungu sie ingekuwa roho kwatu!!Fikiria mtu haoni haya kuongea upumbavu kama huu hadharani
Ila ni kweli kabisaUkihonga unaletewa nyumbani within 24hrs.
Kwani Serikali haijajibu hizo hoja? Maelezo mangapi yametolewa? Wewe hujasikia watu wakisema tunauzwa? Bandari inauzwa? Nchi inauzwa?Kwani kuna mtu amepinga Uwekezaji? Kwa nini mnapotosha mambo? Kelele zote watu wanazopiga ni kuhusu Mkataba ambapo wanataka uboreshwe na siyo kama ulivyo sasa watu wote hawawezi kuwa wajinga, hakuna anayepinga uwekezaji kila mtu analijua hilo hata mtoto mdogo ila tusichotaka ni kuibiwa kama tulivyoibiwa huko nyuma, hivyo watu wanataka win win situation na siyo kuibiwa, sasa hivi we know better …
Pengo na Slaa are proud of youLabda kosa ni kuongea hadharani, lkn sirini tunachopinga ni Mwarabu tu otherwise mkataba kama huo huo angepewa mzungu sie ingekuwa roho kwatu!!
Wafanyakazi wa Bandari wanafanya kufuru tu ya kuiba na kutapanya mali.Ila ni kweli kabisa
Nchi ya kifala sana hii
Nyerere hakuwahi kupiga vita ujinga kwa vitendoVita dhidi ya ujinga aliyoianzisha Mwalimu Nyerere nadhani alikosea ingembidi aanzishe vita dhidi ya IQ hafifu huenda inatibika
Ila akitokea Kiongozi akasemq kua nawapa NIDA waarabu kutoka Dubai wakamilishe zoezi la vitambulisho ili kila anaestahili apate ndani ya mwezi tangu alipojisajili utaona vumbi litakalotimkaMiwili? Watu wana 5 yrs hawajapata kitambulisho
Huzisikii hizi kelele za Do World? Wapumbavu wanasema nchi imeuzwa na wazanzibari 3.Mimi nakuona wewe ndio mjinga Fulani hivi unaejifanya una akili. Wapi watanzania wamekataa wawekezaji?
Mkuu,kazi ya kukalili kama kasukuUna uhakika hizo hoja hazijajibiwa? Au zimejibiwa na hujataka kukubali hayo majibu?
Kwani Serikali haijajibu hizo hoja? Maelezo mangapi yametolewa? Wewe hujasikia watu wakisema tunauzwa? Bandari inauzwa? Nchi inauzwa?
Hata China ingeingia mikataba dizaini hii leo ingekuwa maskini zaidiEnzi za Mao, China ilikuwa nchi ya kikomunisisti iliyoamini katika Sera za Ukomunisti.
Pamoja na Ukomunisti wa China, Rais wa kwanza wa China, Mao aliamini kuwa ni lazima apeleke vijana nje ya China wakajifunze Dunia inaendaje na ikoje ili warudi kufanya mabadiliko China.
Moja ya vijana hao alikuwepo Den Xiapoing ambaye alikuja kuwa Rais wa China baada ya Mao. Den alipelekwa Ulaya na akajifunza sana namna uchumi wa Ulaya ulivyokuwa unaenda.
Alipokuja kurudi China, Den alianzisha mfumo wa Private Property na Uwekezaji wa Sekta binafsi katika mfumo wa Uchumi wa China. Kipindi chake ndo makampuni mengi ya Marekani yalienda kufungua viwanda na kufanya uwekezaji China.
Kwa wachina wengi walimuona Deng ni msaliti wa Mao kwa kuwa wengi walikuwa wanaamini kila kitu ni cha wachina na mwekezaji kutoka nje ni mwizi. Den aliwajibu haijalishi kama paka ni mweupe au ni mweusi ili mradi anakamata panya basi huyo anatufaa
Pamoja na wachina kupata shida kuelewa Sera za Den Xiapoing ila leo ndo wachina wanamsujudu kama The Father of Modern China.
Ukiacha China kuna nchi za Singapore na Umoja wa Falme za Kiarabu ambao Dubai ni nchi mojawapo za umoja huo.
Hizi nchi nazo miaka ya 1960 ilikuwa kama sisi! Ila watawala wao walipata akili kuwa kwa akili za kuwaza sisi ndo sisi hatutafika popote. Kupitia rasilimali ya mafuta Dubai walibadilisha Sera zao kuhamasisha uwekezaji wa sekta binafsi. Leo hii kila mtu Duniani anakwenda kutalii Dubai na si kwa sababu ya mafuta tu ila kutokana na namna ikivyojengwa , inavyopendeza na ilivyo na uchumi mkubwa na maendeleo makubwa.
Ukija Tanzania. Hapa ndo shida ilipo. Nchi hii ilianzishwa katika misingi ya kijamaa. Misingi hii iliwaaminisha watu kuwa kila kitu ni Serikali na Serikali ni kila kitu. Mfumo huu ambao unaamini katika state capture umedumaza akili za Watanzania wengi sana kiasi ambacho kuna Watanzania leo hawajifunzi hata dunia ikoje, inaenda wapi na itakuwa wapi miaka hata 50 mbele.
Akili hizi zinaamini kuwa Sera ya uwekezaji ni kuuza nchi, Uwekezaji ni uuzaji wa nchi. Sera hii imewafanya Watanzania kuwa nyuma sana. Nchi yetu kuwa nyuma sana, mifumo yetu ya huduma kuwa nyuma sana.
Leo hii Tanzania, unatoka Dar hadi Kigoma kwa masaa zaidi ya 15 kwenye treni ambayo muda wowote unaweza kuambiwa leo hakuna usafiri. Ndani ya hiyo treni vyoo vichafu, huduma ni mbovu ila mtanzania hana shida ili mradi tu inamilikiwa na Serikali
Leo hii nchi yetu ina bandari zinayoweza kuhudumia ipasavyo nchi hadi 8 zinazotuzunguka, ila meli zinakaa wiki 2 hadi 3 kushusha mizigo, wafanyabiashara wanapoteza mizigo yao, hakuna mapato makubwa nchi inaweza kupata na kufanya maendeleo makubwa ila watu wanaona sawa tu ili mradi iwe chini ya Serikali. Hawajali hata wakiambiwa meli zinakimbia zinaenda Bandari za nchi jirani ili mradi waone au wasikie Serikali ndo mmiliki. Huu ni ujinga uliotukuka sana.
Kibaya zaidi pamoja na ujinga huu wa Watanzania, nchi jirani zinazotuzunguka zinakimbia sana ili kukamata fursa za kiuchumi sisi tusiwe na kitu. Rwanda amejenga Bandari kavu kubwa sana ili mizigo ya Congo Mashariki ipite kwake . Bandari hii kawapa wawekezaji. Sasa Rwanda anajenga uwanja wa Ndege mkubwa zaidi Afrika Mashariki ambao utaendeshwa pia na Sekta binafsi.
Huku Kenya amejenga Bandari ya Lamu ambayo ataiendesha kwa sehemu kubwa kupitia sekta binafsi, Msumbiji kaomba vikosi vya Rwanda vilinde Bandari zake ili wawekezaji waweze kuwekeza na zifanye biashara. Hawa wakifanya haya Serikali ikichukua hatua kuboresha utendaji wa Bandari kuna watu wanaaza kusema nchi inauzwa.
Serikali ikiwasikiliiza hawa watu kuna hatari kubwa sana huko mbeleni nchi yetu kuja kuwa kituko cha mwisho zaidi kuliko hata sasa, kutokana na kusikiliza wajinga huku nchi ikitakuwa ikimbie iendane na mabadiliko ya Dunia ya sasa.
Kwa Dunia inavyokwenda sasa, Tanzania haipaswi kurudi nyuma tena! Ujinga usipewe tena nafasi Tanzania!
Hapana wengi wanapinga bandari kupewa mwekezaji wanadai mambo ya usalama sijui nchi itauzwa n.k yaani sio tu mkataba uboreshwe hawataki kabisa DP world aje bandarini.Kwani kuna mtu amepinga Uwekezaji? Kwa nini mnapotosha mambo? Kelele zote watu wanazopiga ni kuhusu Mkataba ambapo wanataka uboreshwe na siyo kama ulivyo sasa watu wote hawawezi kuwa wajinga, hakuna anayepinga uwekezaji kila mtu analijua hilo hata mtoto mdogo ila tusichotaka ni kuibiwa kama tulivyoibiwa huko nyuma, hivyo watu wanataka win win situation na siyo kuibiwa, sasa hivi we know better …
Mbona Dp world Imepewa bandari kadhaa China. Nadhani issue iwe tu mkataba wa kimaslahi ila hata china wao maendeleo Yao yalikuja kwa mitaji ya kigeni.Hata China ingeingia mikataba dizaini hii leo ingekuwa maskini zaidi