Ujinga uliowagharimu wengi kwenye maisha

"Furaha yetu/ yangu sio pesa"
Hivi huo msemo una uhalisia kiasi gani wakuu?
 
Your 97% correct, hizo zinazobaki ni za ujinga wako maana Umesema kila binadam ana ujinga wake
 
jamaa ana hard feelings kurukia rukia mambo ya watu..check huo mfano hapo eti anasema jamaa yake kaoa single mama na hajawah kuona wanzinguana miaka 7 utadhan yeye ndio huwa analala katikat ya hao wana ndoa kila siku..Kwel kila mtu ana kaujinga kake na msamehe tu bure chief
 
Yeah...I understand....uhalisia ni mwingi katika bandiko lako mkuu.....endelea kuwapa tu haijalishi zitawapata za wapi...anayejifunza wacha afanye hvo.
 
Mambo vipi Taikon, ROBERT HERIEL ?!

Embu niambie this one thing... in an extended family, mdogo wake na baba tumbo moja anaitwa baba mdogo/uncle. Binti yake baba mdogo kaolewa mkoa x, uyo mkaka aliyeoa binti wa baba mdogo ana sibling/mdogo wake wa kike ambaye nime-crush, if we start screwing and eventually marrying each other hio ni acceptable au utterly sin?
 
Mtu unaonewa waziwazi au kila siku lakini wewe mara zote hizo unabaki kusema "namwachia Mungu". Kweli?
 
Reactions: Cyb
Kuna sula flan nalo sina uhakika nalo ila nahisi pia huwa linagharim suala lenyenye ni Kuoa kwenye familia ambayo mama kaachika/mama anasaut kwenye familia kuliko baba.

Mara nyingi wamama walio achika/wenye saut na wajeuri kuliko baba huwa wanawashauri mabinti zao kuwa wajeuri na jinsi ya kukuteka uwe chin ya amri zake hata kwa uchawi na hata watoto nao huwa hawadumu kwenye ndoa wanaona kuishi bila mume ni jambo simple tu na ukiachana nae anamlisha mtoto wako sumu Kama vile yeye alivyolishwa sumu na mama yake.

Ila waliotoka kwenye familia yenye kuheshimiana na baba anaheshimika na anasauti Mara nyingi mabint zao wanakua na nidham kwakua kiburi, kuachika siyo katika mila ya familia yao.
Hii kitu nimeshuhudia imetokea snaa hapa uswahilini ninapoishi
 

Kuna ukweli kwa upande fulani lakini sio kweli kwa asilimia zote.

Binadamu wanabailika
Maisha ni fumbo
Tunaishi kama vipofu

Naona muda mwingine maada zako zinakinzana!

Ni kawaida maana unaandika kupitia mtazamo wako.

Kwa upande wangu, leo sikubaliani na wewe kwa ulichokiandika hapo juu.
Naisubiri kesho naweza kukubali.
 
Kisayansi wewe ni mnyama tuu Mkuu!
Na ndio uhalisia,
Kuna mambo mengi tunayofanana kuliko mambo yanayotutofautisha.

Binadamu na mnyama wanatofautiana utashi tuu. Hayo mengine wapo Sawa
Umemjibu vema kabisa,chukulia watu wanavyo tafuta mali kwa shida ,mwisho was siku huacha zote na hupotea kama wanyama.
 
"Na ndio maana ukiwa hujasoma na Masikini ni rahisi Sana mtoto kuwa Masikini na asiwe na Elimu".
Wengi wa wasomi wetu wanatokea huku
 
🥺🥺🥺🥺🥺🤔🤔🤔🤔🤔🥳
💯
 
Uzi umesimama

Duniani hakunaga fair we pambana tu ukweli ndo huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…