Aisee... Kwamba ccm wanaogopa wazungu?Huu ni mtego amewatega CCM na kama watamweka ndani hapo watakuwa wanajivua nguo wenyewe pia hata jumuia ya kimataifa watajua ukatili unaofanywa na CCM....
Hata Mimi naomba wamweke ndani ili tupate point 3 kipindi cha campaign maana CCM Kwa UJINGA wao mwingi wataingia Kwenye mtego
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Lisu sasa hivi ni takataka tu mbele ya Membe kwa wanachadema linapokuja suala la urais.Stori hizi za kila siku....jamaa yenu kaona katangaza nia ila kapotezewa balaa..hata chadema nao wamempotezea wako bize kumpa airtime gambo
Arudi apambane na kesi zake aache longolongo. Na wenye saccos wameshasema hawampitishi kugombea Urais alie tu!na #TUNDU_LISSU
Kuhusu sarakasi za Mahakama ya Kisutu, nina haya ya kusema;
Acheni hofu. Kama nitakamatwa na kuwekwa mahabusu, hilo litakuwa ni jambo jema kuliko jambo lingine lolote Magufuli na watu wake watayatendea mapambano ya kudai demokrasia katika nchi yetu.
Wakifanya hivyo basi kampeni yote ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu itakuwa juu ya kukamatwa kwangu.
Ni hivi: kabla ya September 7, nilikuwa na kesi 6 za jinai katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Nilikuwa sijawahi kukosa kwenda mahakamani kuhudhuria kesi hizo. Sijawahi kuogopa kesi zao za kijinga.
Kitu pekee kilichonifanya niache kuhudhuria kesi ni kile ambacho dunia nzima inakifahamu. Nilishambuliwa na kujeruhiwa vibaya na kusababisha niondoshwe nchini kwa ajili ya matibabu.
Walionishambulia na waliowatuma, kuwalipa na kuwawezesha hadi sasa wanaitwa 'watu wasiojulikana.' Waliotakiwa wanitibu kwa mujibu wa sheria za nchi yetu walikataa kunitibu. Badala yake wakanifuta Ubunge kwa visingizio vya kijinga tu.
Sasa nikirudi nchini kwa hiari yangu baada ya miaka mitatu ya kujihangaikia mwenyewe wanikamate na kuniweka gerezani kwa visingizio vingine vya kijinga.
Hilo litakuwa jambo jema sana. Itabidi wawaeleze wananchi wa Tanzania na waieleze dunia inayofahamu mambo haya kwa nini wamefanya hivyo. Na watoe maelezo hayo katikati ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge na waeleweke kwa wapiga kura.
Mimi binafsi nitafurahia sana wakifanya hivyo, maana hatutazungumzia kitu kingine chochote katika kampeni za Uchaguzi Mkuu.
Tundu Lissu.
Huo Ni msemo wa mtu aliekosa hojaTanzania hatuna mahakama ila tunavichaka vyenye kupokea maagizo ya wana-ccm na kufunga watu!
Na Ana kesi nyingine ya kuruka dhamana,hii ya kuruka dhamana huwa hainaga faini Ni miezi 6 bila kupapasa machoCCM na Mapolisi ndo Wana hofu wala Lissu hana hofu..
Akija mamilioni ya watanzania watamsapoti kwasababu namna mlivyomfanyia haoeleweki kabisa na mmeshindwa kuwafanya wananchi waelewe.Aje tz apambane na Hali yake (kesi zake) mipasho haitamsaidia
Amerukaje dhamana.Na Ana kesi nyingine ya kuruka dhamana,hii ya kuruka dhamana huwa hainaga faini Ni miezi 6 bila kupapasa macho
Sawa, lakini sio kwa namna hii ilivyowasilishwa hapa.Mkuu mimi natofautiana nawe. Nadhani Lissu kasema haya ili kutuandaa Watanzania kiakili hasa wale ambao ni wanachama, wapenzi na mashabiki wa Chadema na wanaompenda Lissu ili TUSISONONEKE sana atakaporudi na kufikia lupango. Huo ni mchango wangu wa senti kumi Mkuu.
Mimi sina shida ila wanasaccos wamemkataa! Pole sana nasikia umeshamchangia ili agombee lakini wenye saccos wametia ngumu!Wewe shida yako hasa ni nini?
Hakuna roho mbaya hapo!!! Ni kweli apambane na Hali yake, mwana kulitafuta mwana kulipata, Sasa ulitaka apambane na Hali ya nani? Aje kumalizana na kesi zake huku hakuna mzungu ataekae beba mashtaka yake.by the way mwambie karibu nyumbani kumenoga kamamandaKule juu uliandika kiroho mbaya... "aje apambane na hali yake..".
Jamaa aliumizwa regardless na watawala au watu baki, na watawala wanakuwa katika upande wa lawama kwa sababu ya namna walivyoliendea jambo hili...
Sasa kwa upande wako ni manufaa gani unapata pindi haki ya mtu mwenye mawazo mbadala na ya kwako anapokandamizwa?
Anatingishaje kiberiti? Mtu anarudi kwao anazuiwaje? nanani? Na kwalipi?Anajaribu kutikisa kiberiti aje tu asiwe na hofu
Sheria haina huruma hata unafanyiwa operesheni huwa wanapigwa pinguuUnyanyasaji unamwisho wake
Kichekesho hikiAkija mamilioni ya watanzania watamsapoti kwasababu namna mlivyomfanyia haoeleweki kabisa na mmeshindwa kuwafanya wananchi waelewe.
Kwani hufatilii kesi ya kamanda wako uchwara? Hukuona wadhamini wake wameomba itolewe hati ya kumkamata? Maji yamewafika shingoniAmerukaje
Amerukaje dhamana.