Leo ni traitor😂😂😂😂Atulie tu huko kwa mabwana zake Belgium,hatuna shida nae traitor
Sasa anaogopa Nini?Lini ulimuona Lissu anaogopa mahakama wala polisi, mtu ambaye mpaka risasi ziliogopa kumuua sio wa kawaida.
Amekuambia hajawahi kuogopa kesi za kijinga zinazoratibiwa na mr Zero wa chattleAje tz apambane na Hali yake (kesi zake) mipasho haitamsaidia
Mwambie sasa aache kulia lia kwamba akikamatwa wazungu watajua hivyo ccm isijaribu kufanya hivyoAmekuambia hajawahi kuogopa kesi za kijinga zinazoratibiwa na mr Zero wa chattle
Mkuu Ni bahati mbaya kwamba watu wengi tumenyimwa elimu Ila kwa nafasi ya urais wa nchi yetu Lissu is far better than MagufuliMawazo yake anahisi risasi alizopigwa ndiyo zitamuungiza Ikulu. Tanzania ya sasa si ya miaka mitatu iliyopita.
Labda ufipa itasimama lakini sio Dar.Duu mi nasubiri dar itakavyosimama akitia mguu
Watanzania wangekuwa na akili Kama zangu basi hao police watakao tumwa kumkamata tungeanza nao huku tutafuta huo ujeuri wa magu ulipoMwambie sasa aache kulia lia kwamba akikamatwa wazungu watajua hivyo ccm isijaribu kufanya hivyo
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Utaishia kubweka tu humu mitandaoniWatanzania wangekuwa na akili Kama zangu basi hao police watakao tumwa kumkamata tungeanza nao huku tutafuta huo ujeuri wa magu ulipo
Utaongea ukiwa mahabusu?na #TUNDU_LISSU
Kuhusu sarakasi za Mahakama ya Kisutu, nina haya ya kusema;
Acheni hofu. Kama nitakamatwa na kuwekwa mahabusu, hilo litakuwa ni jambo jema kuliko jambo lingine lolote Magufuli na watu wake watayatendea mapambano ya kudai demokrasia katika nchi yetu.
Wakifanya hivyo basi kampeni yote ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu itakuwa juu ya kukamatwa kwangu.
Ni hivi: kabla ya September 7, nilikuwa na kesi 6 za jinai katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Nilikuwa sijawahi kukosa kwenda mahakamani kuhudhuria kesi hizo. Sijawahi kuogopa kesi zao za kijinga.
Kitu pekee kilichonifanya niache kuhudhuria kesi ni kile ambacho dunia nzima inakifahamu. Nilishambuliwa na kujeruhiwa vibaya na kusababisha niondoshwe nchini kwa ajili ya matibabu.
Walionishambulia na waliowatuma, kuwalipa na kuwawezesha hadi sasa wanaitwa 'watu wasiojulikana.' Waliotakiwa wanitibu kwa mujibu wa sheria za nchi yetu walikataa kunitibu. Badala yake wakanifuta Ubunge kwa visingizio vya kijinga tu.
Sasa nikirudi nchini kwa hiari yangu baada ya miaka mitatu ya kujihangaikia mwenyewe wanikamate na kuniweka gerezani kwa visingizio vingine vya kijinga.
Hilo litakuwa jambo jema sana. Itabidi wawaeleze wananchi wa Tanzania na waieleze dunia inayofahamu mambo haya kwa nini wamefanya hivyo. Na watoe maelezo hayo katikati ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge na waeleweke kwa wapiga kura.
Mimi binafsi nitafurahia sana wakifanya hivyo, maana hatutazungumzia kitu kingine chochote katika kampeni za Uchaguzi Mkuu.
Tundu Lissu.
TUNAKUSUBIRIna #TUNDU_LISSU

Ni kweli mkuu,Ila siku Mungu akitupa ujasiri wa kubweka hata maeneo mengine,Kuna watu kabla ya kumfanya chochote inabidi umpumlie kwanza kichogoni bila kujari una ndomu au hauna
Na bado utapanic sana,! Oktoba ndio hiyo mnasubiriwa ccm iwapige madoleNi kweli mkuu,Ila siku Mungu akitupa ujasiri wa kubweka hata maeneo mengine,Kuna watu kabla ya kumfanya chochote inabidi umpumlie kwanza kichogoni bila kujari una ndomu au hauna
Mkuu Mimi Wala sijajiandikisha kupiga kura,mie siye mwanachama wa chama chochote Ila siipendi ccm na ikitokea vuguvugu lolote la kuiondoa ccm madarakani kwa nguvu count me inNa bado utapanic sana,! Oktoba ndio hiyo mnasubiriwa ccm iwapige madole
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Aje tz apambane na Hali yake (kesi zake) mipasho haitamsaidia
Madole huwa unapigwa we we na mamako na mwenyekiti wenu muhutuNa bado utapanic sana,! Oktoba ndio hiyo mnasubiriwa ccm iwapige madole
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Washabiki wa Lisu bhana! Kumbe hata kitambulisho cha kupigia kura huna, sasa atashinda vipi huyo Lisu?Mkuu Mimi Wala sijajiandikisha kupiga kura,mie siye mwanachama wa chama chochote Ila siipendi ccm na ikitokea vuguvugu lolote la kuiondoa ccm madarakani kwa nguvu count me in
Katiwe wewe punga la lumumbaDick head yaan kampeni upige kuongelea kukamatwakwako. Hivi serikali ya sasahsiogopi unajua
Kwa ufikiriaji kama huundio maana kama nchi tupo hapa tulipo "maskini tajiri"..Kweli Hana dira,maisha ya wtz milioni 56 yabebwe na mstakabali wa mtu mmoja,ilani ya chama atakachogombea kiwe kushambuliwa kwa Lissa,duhhh ,magu piga kazi hata uchaguzi uwe kesho asubuhi wewe Ni presidaaaaa