Ujumbe kutoka Tundu Lissu kwa wote wenye mapenzi mema

Ujumbe kutoka Tundu Lissu kwa wote wenye mapenzi mema

Mwamba kashachuka form hiyo nafasi ya kugombea urais anaipata wapi, mzee wa kuwatisha wa tz kua tutanyolewa bila maji hahahahahaaaaaaaaaaa.
 
Lissu anataka kuwa msahaulifu. Hoja anazotoa hapa zina maana kwa viongozi wanaotambua maana ya jumuia ya kimataifa, accepted norms of international behaviour, haki za raia na binadamu, uhuru wa mawazo, haki ya kuchagua na kuchaguliwa, nk. Wakati anagombea Urais wa TLS yeye mwenyewe alifanyiwa vitimbi mpaka akahofia kuwa pengine asiweze hata kushiriki huo uchaguzi. Aliandika waraka kwa wanachama wa TLS akiwatahadharisha kuwa wenye maamlaka wameacha kabisa kufanya maamuzi kama watu wenye dhamana (people at the top have stopped being rational). Kama ilikuwa hivyo kutokana na kugombea urais wa TLS tu itakuaje kwa kugombea urais wa nchi? Siamini kuwa kuna kiongozi wa zamani hata mmoja amefurahia jinsi nchi hii ilivyoenenda katika miaka hii mitano. Misingi yote ya kisiasa, kijamii na kiuchumi iliyojengwa na awamu zote nne imetikiswa. Lakini kutokana na hofu ya ushindani wa kisiasa, husasan Lissu, wazee wenye ushawishi wamechagua kujijali zaidi wao wenywe na kuachia nchi iendelee kuparaganyika. Ni vita vya kufa au kupona!
 
Washabiki wa Lisu bhana! Kumbe hata kitambulisho cha kupigia kura huna, sasa atashinda vipi huyo Lisu?

Alafu akiona mnavyopiga mayowe humu basi anavimba kichwa kumbe hata mapango wa kupiga kura huna!

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Mkuu Kama Lissu alikuwa amekaa ulaya bila kufanya maandalizi yoyote ya kuja kuiondoa hii serikali kwa nguvu badala yake anakuja akitegemea tume hii ya ccm ndo itamtangaza kuwa rais wa nchi hii I am so sorry for him.Ninajua kuna wanasiasa wengi walichukua nchi wakitokea nje ya nchi zao.Ccm bila matumizi ya nguvu,bila kumwaga damu za watanzania haitaweza kutoka madarakani na Wala kubadirisha katiba.na ndo maana nikakuambia Kama Kuna movement yoyote ya kuitoa ccm madarakani kwa nguvu count me in Ila Kama ni ujinga huu wa kura naachia wajumbe wa nyumba kumi waendelee kuwachagua akina magu walinde makaburi ya wenye meno ya kula nchi
 
Sio unyanyasaji Ana kesi mahakamani aje mahakama iamue Ana hatia au hana,

Hakuna mahakama Tanzania, bali kuna majengo ya mahakama yenye Makada wa ccm, wakitumikia kuwakomoa wakosoaji wa watawala. Huyu akija na akawa mgombea urais ndio nitaenda kupiga kura.
 
Mimi binafsi nitafurahia sana wakifanya hivyo, maana hatutazungumzia kitu kingine chochote katika kampeni za Uchaguzi Mkuu.
Sumu haijaribiwi,wewe njoo utawekwa ndani halafu uone kama kuna mtu atakuzungumzia
Watu wanataka kero ya maji iondoke ,wewe unataka uzungumziwe,kwa lipi hasa?
 
Lissu anataka kuwa msahaulifu. Hoja anazotoa hapa zina maana kwa viongozi wanaotambua maana ya jumuia ya kimataifa, accepted norms of international behaviour, haki za raia na binadamu, uhuru wa mawazo, haki ya kuchagua na kuchaguliwa, nk. Wakati anagombea Urais wa TLS yeye mwenyewe alifanyiwa vitimbi mpaka akahofia kuwa pengine asiweze hata kushiriki huo uchaguzi. Aliandika waraka kwa wanachama wa TLS akiwatahadharisha kuwa wenye maamlaka wameacha kabisa kufanya maamuzi kama watu wenye dhamana (people at the top have stopped being rational). Kama ilikuwa hivyo kutokana na kugombea urais wa TLS tu itakuaje kwa kugombea urais wa nchi? Vita vya kufa au kupona.
Naunga mkono hoja yako.viongozi wetu wa Sasa wanaroho mbaya kiasi hata shetani anashangaa
 
Sumu haijaribiwi,wewe njoo utawekwa ndani halafu uone kama kuna mtu atakuzungumzia
Watu wanataka kero ya maji iondoke ,wewe unataka uzungumziwe,kwa lipi hasa?
Kwani kero za maji zimeondoka?
 
Tena kishindo cha covid 19.
It is fine, kama uchaguzi ni huru na haki, wakishinda ccm, nobody will bother!
Aje tz apambane na Hali yake (kesi zake) mipasho haitamsaidia
Huu siyo uandishi wa Tundu Lisu...... Vinginevyo atakuwa amebadilika sana na kujawa hofu.

Maendeleo hayana vyama!
Mawazo yake anahisi risasi alizopigwa ndiyo zitamuungiza Ikulu. Tanzania ya sasa si ya miaka mitatu iliyopita.
Kweli Hana dira,maisha ya wtz milioni 56 yabebwe na mstakabali wa mtu mmoja,ilani ya chama atakachogombea kiwe kushambuliwa kwa Lissa,duhhh ,magu piga kazi hata uchaguzi uwe kesho asubuhi wewe Ni presidaaaaa
Anajidanganya sana huyu mkimbizi...
Mwambieni Lisu aache vitisho

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Nyie watu wa chattle acheni kukosa utu. Mtu mmetaka kumuua, mmemtia ulemavu wa kudumu na bado hamna huruma na hamtaki harudi nyumbani kisa cha yote haya ni matumbo yenu makubwa. Mlaaniwe.
 
Mkuu Kama Lissu alikuwa amekaa ulaya bila kufanya maandalizi yoyote ya kuja kuiondoa hii serikali kwa nguvu badala yake anakuja akitegemea tume hii ya ccm ndo itamtangaza kuwa rais wa nchi hii I am so sorry for him.Ninajua kuna wanasiasa wengi walichukua nchi wakitokea nje ya nchi zao.Ccm bila matumizi ya nguvu,bila kumwaga damu za watanzania haitaweza kutoka madarakani na Wala kubadirisha katiba.na ndo maana nikakuambia Kama Kuna movement yoyote ya kuitoa ccm madarakani kwa nguvu count me in Ila Kama ni ujinga huu wa kura naachia wajumbe wa nyumba kumi waendelee kuwachagua akina magu walinde makaburi ya wenye meno ya kula nchi
Kijana dunia imebadirika! Kama unategemea Lisu aje na Trump kumsaidia kuitoa ccm basi umefeli sana.
 
Sumu haijaribiwi,wewe njoo utawekwa ndani halafu uone kama kuna mtu atakuzungumzia
Watu wanataka kero ya maji iondoke ,wewe unataka uzungumziwe,kwa lipi hasa?
Wewe ni mwendawazimu
 
Nyie watu wa chattle acheni kukosa utu. Mtu mmetaka kumuua, mmemtia ulemavu wa kudumu na bado hamna huruma na hamtaki harudi nyumbani kisa cha yote haya ni matumbo yenu makubwa. Mlaaniwe.
Tunamtaka arudi kwa hamu.tena aje fasta ajibu tuhuma zake kwa Taifa la Mungu Tanzania.
 
Lissu acha bla bla we tua bongoland upambane haya maneno ya kila siku si muda mrefu yatatuchosha
 
Aje tunamkaribisha. Asijesema hakuambiwa kwasababu nafasi ya Urais hawez pata. Ushauri tu wabure....aachane na siasa aendelee na mambo mengine japokuwa ni ngumu kwasababu Ndo anakoamini ila ajitahidi aache wananchi tutamuelewa na ikibidi atulie kwenye sheria ,,huko aliko atengeneze network nzuri nzuri za kufanya kazi zake za sheria.

Siasa hizi ,zitafanya aache watu tunaomuamini bureee
 
Mkuu Kama Lissu alikuwa amekaa ulaya bila kufanya maandalizi yoyote ya kuja kuiondoa hii serikali kwa nguvu badala yake anakuja akitegemea tume hii ya ccm ndo itamtangaza kuwa rais wa nchi hii I am so sorry for him.Ninajua kuna wanasiasa wengi walichukua nchi wakitokea nje ya nchi zao.Ccm bila matumizi ya nguvu,bila kumwaga damu za watanzania haitaweza kutoka madarakani na Wala kubadirisha katiba.na ndo maana nikakuambia Kama Kuna movement yoyote ya kuitoa ccm madarakani kwa nguvu count me in Ila Kama ni ujinga huu wa kura naachia wajumbe wa nyumba kumi waendelee kuwachagua akina magu walinde makaburi ya wenye meno ya kula nchi
Mkali, kumwaga damu za watanzania?!!! Huko mbali sana bwana.
Fanya tu harakati hata za kumwaga damu yako binafsi, inaweza kufaa,kwa mfano unaweza hata kujinyonga mbele na kuacha kimemo na ka vidio ukishinikiza tume huru na uchaguzi huru na wa haki. Hapo utakuwa umemwaga damu yako ya kitanzania,huwezi jua inaweza kutusaidia tuliobakia😃😃😃
 
Back
Top Bottom