[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ikifika oktoba lazima upanic zaidi ya hapa na pichu utavaa kihwani,! We subiri tuMadole huwa unapigwa we we na mamako na mwenyekiti wenu muhutu
Mataga banaMawazo yake anahisi risasi alizopigwa ndiyo zitamuungiza Ikulu. Tanzania ya sasa si ya miaka mitatu iliyopita.
Mkuu Kama Lissu alikuwa amekaa ulaya bila kufanya maandalizi yoyote ya kuja kuiondoa hii serikali kwa nguvu badala yake anakuja akitegemea tume hii ya ccm ndo itamtangaza kuwa rais wa nchi hii I am so sorry for him.Ninajua kuna wanasiasa wengi walichukua nchi wakitokea nje ya nchi zao.Ccm bila matumizi ya nguvu,bila kumwaga damu za watanzania haitaweza kutoka madarakani na Wala kubadirisha katiba.na ndo maana nikakuambia Kama Kuna movement yoyote ya kuitoa ccm madarakani kwa nguvu count me in Ila Kama ni ujinga huu wa kura naachia wajumbe wa nyumba kumi waendelee kuwachagua akina magu walinde makaburi ya wenye meno ya kula nchiWashabiki wa Lisu bhana! Kumbe hata kitambulisho cha kupigia kura huna, sasa atashinda vipi huyo Lisu?
Alafu akiona mnavyopiga mayowe humu basi anavimba kichwa kumbe hata mapango wa kupiga kura huna!
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Sio unyanyasaji Ana kesi mahakamani aje mahakama iamue Ana hatia au hana,
Sumu haijaribiwi,wewe njoo utawekwa ndani halafu uone kama kuna mtu atakuzungumziaMimi binafsi nitafurahia sana wakifanya hivyo, maana hatutazungumzia kitu kingine chochote katika kampeni za Uchaguzi Mkuu.
Naunga mkono hoja yako.viongozi wetu wa Sasa wanaroho mbaya kiasi hata shetani anashangaaLissu anataka kuwa msahaulifu. Hoja anazotoa hapa zina maana kwa viongozi wanaotambua maana ya jumuia ya kimataifa, accepted norms of international behaviour, haki za raia na binadamu, uhuru wa mawazo, haki ya kuchagua na kuchaguliwa, nk. Wakati anagombea Urais wa TLS yeye mwenyewe alifanyiwa vitimbi mpaka akahofia kuwa pengine asiweze hata kushiriki huo uchaguzi. Aliandika waraka kwa wanachama wa TLS akiwatahadharisha kuwa wenye maamlaka wameacha kabisa kufanya maamuzi kama watu wenye dhamana (people at the top have stopped being rational). Kama ilikuwa hivyo kutokana na kugombea urais wa TLS tu itakuaje kwa kugombea urais wa nchi? Vita vya kufa au kupona.
Maji gani au ya sehemu gani🤣Kwani kero za maji zimeondoka?
Tena kishindo cha covid 19.
It is fine, kama uchaguzi ni huru na haki, wakishinda ccm, nobody will bother!
Aje tz apambane na Hali yake (kesi zake) mipasho haitamsaidia
Huu siyo uandishi wa Tundu Lisu...... Vinginevyo atakuwa amebadilika sana na kujawa hofu.
Maendeleo hayana vyama!
Mawazo yake anahisi risasi alizopigwa ndiyo zitamuungiza Ikulu. Tanzania ya sasa si ya miaka mitatu iliyopita.
Kweli Hana dira,maisha ya wtz milioni 56 yabebwe na mstakabali wa mtu mmoja,ilani ya chama atakachogombea kiwe kushambuliwa kwa Lissa,duhhh ,magu piga kazi hata uchaguzi uwe kesho asubuhi wewe Ni presidaaaaa
Anajidanganya sana huyu mkimbizi...
Nyie watu wa chattle acheni kukosa utu. Mtu mmetaka kumuua, mmemtia ulemavu wa kudumu na bado hamna huruma na hamtaki harudi nyumbani kisa cha yote haya ni matumbo yenu makubwa. Mlaaniwe.
Kijana dunia imebadirika! Kama unategemea Lisu aje na Trump kumsaidia kuitoa ccm basi umefeli sana.Mkuu Kama Lissu alikuwa amekaa ulaya bila kufanya maandalizi yoyote ya kuja kuiondoa hii serikali kwa nguvu badala yake anakuja akitegemea tume hii ya ccm ndo itamtangaza kuwa rais wa nchi hii I am so sorry for him.Ninajua kuna wanasiasa wengi walichukua nchi wakitokea nje ya nchi zao.Ccm bila matumizi ya nguvu,bila kumwaga damu za watanzania haitaweza kutoka madarakani na Wala kubadirisha katiba.na ndo maana nikakuambia Kama Kuna movement yoyote ya kuitoa ccm madarakani kwa nguvu count me in Ila Kama ni ujinga huu wa kura naachia wajumbe wa nyumba kumi waendelee kuwachagua akina magu walinde makaburi ya wenye meno ya kula nchi
Wewe ni mwendawazimuSumu haijaribiwi,wewe njoo utawekwa ndani halafu uone kama kuna mtu atakuzungumzia
Watu wanataka kero ya maji iondoke ,wewe unataka uzungumziwe,kwa lipi hasa?
Tunamtaka arudi kwa hamu.tena aje fasta ajibu tuhuma zake kwa Taifa la Mungu Tanzania.Nyie watu wa chattle acheni kukosa utu. Mtu mmetaka kumuua, mmemtia ulemavu wa kudumu na bado hamna huruma na hamtaki harudi nyumbani kisa cha yote haya ni matumbo yenu makubwa. Mlaaniwe.
70% ya wananchi wanapata maji kwa sasa,bado kuna mradi wa bilioni 500 Arusha,kuna.mradi Tabora mpaka nchi yote ilowe chapa chapaKwani kero za maji zimeondoka?
AsanteWewe ni mwendawazimu
Mkali, kumwaga damu za watanzania?!!! Huko mbali sana bwana.Mkuu Kama Lissu alikuwa amekaa ulaya bila kufanya maandalizi yoyote ya kuja kuiondoa hii serikali kwa nguvu badala yake anakuja akitegemea tume hii ya ccm ndo itamtangaza kuwa rais wa nchi hii I am so sorry for him.Ninajua kuna wanasiasa wengi walichukua nchi wakitokea nje ya nchi zao.Ccm bila matumizi ya nguvu,bila kumwaga damu za watanzania haitaweza kutoka madarakani na Wala kubadirisha katiba.na ndo maana nikakuambia Kama Kuna movement yoyote ya kuitoa ccm madarakani kwa nguvu count me in Ila Kama ni ujinga huu wa kura naachia wajumbe wa nyumba kumi waendelee kuwachagua akina magu walinde makaburi ya wenye meno ya kula nchi