Ujumbe kutoka Tundu Lissu kwa wote wenye mapenzi mema

Nyie watu wa chattle acheni kukosa utu. Mtu mmetaka kumuua, mmemtia ulemavu wa kudumu na bado hamna huruma na hamtaki harudi nyumbani kisa cha yote haya ni matumbo yenu makubwa. Mlaaniwe.
Nani kasema hataki Lisu arudi? We mtu wa Kishmundu vipi
 

Ni kweli, nyie watu msiojulikana mna hasira naye sana, hasa ukizingatia mlichotumwa kufanya hakikufanikiwa.
 
Mkuu nakuelewa sana,kwa watanzania tuliowengi kuzaliwa na kufa masikini ni sifa,kufa kwa kukosa dawa ni Bora Mara elfu kuliko kufa kwa risasi.Ila kwa watu wasiokubaliana na Mambo yalivyo Sasa bila damu kumwagika hakuna mavadiriko ya kweli.kwa hiyo kadri watu wengi tunavyoshindwa kulidhishwa na hali ya Mambo ilivyo ndiyo umwagaji damu unavyokaribia just wait
 
Tuwe wananchi wenye huruma na nchi yenye haki! Tukiweza kuwa hivyo tutakuwa na maendeleo!
 
Tundu Lissu, tumezoea kujiliwaza kwako kila ukipatikana na dhahama! Watu wasiojulikana walipokuumiza, tulisikia ulivyo zunguka dunia kuipakazia serikali! Maswali uliyoulizwa na waliokusikiliza kuanzia BBC, marekani mpaka ujerumani tuliyasikia - pia tulisikia ulivyo anza kuomba omba michango!
Likaja la kufukuzwa ubunge - Lissu ulituambia ni kesi ya kijinga na utaishinda! Tunajua hukushinda na rufaa hukushinda!
Limekuja la kurudi Nyumbani, ukawahakikishia mashabiki wako kuwa utarudi na tarehe ukaitaja mpaka sasa hujarudi!
Lissu nikikurudisha nyuma ulisema Kufuatana na mikataba ya serikali na makampuni ya nje, tukiivunja tutashitakiwa (kumbuka MIGA) hatujashitakiwa na mikataba tuliivunja!
Hivyo Lissu unafikiri bado unaaminika?

Huna umaarufu wowote duniani, hata nchini unaotaka kutuaminisha. Wewe njoo, njoo tu - utawekwa ndani na hakuna atakaye shtuka. Una kesi na hizo sababu za kutohudhuria ulizotuambia sasa, utamwambia hakimu. Akikubaliana na wewe basi, lakini akiona kesi ipo unayajua yatakayo fuata wewe wakili. Hutaonewa haki itatendeka. Lakini huna umaarufu unaotaka watu watishike, huna! Unajidanganya, unaishi kwa kujidanganya huna umaarufu. Ila unachofanya ni unakera!
 
Hakuna mahakama Tanzania, bali kuna majengo ya mahakama yenye Makada wa ccm, wakitumikia kuwakomoa wakosoaji wa watawala. Huyu akija na akawa mgombea urais ndio nitaenda kupiga kura.
Maneno ya mkosaji
 
Lissu njoo nchini uendelee na case yako!
 
Lissu hana umaarufu wowote. Amefukuzwa ubunge, je ni jumuia ya kimataifa ipi imeiadhibu Tanzania?
Usidanganyike anajipamba tu!
 
Lisu ni kweli alitendewa vibaya na serikali ya ccm lakini pamoja na hayo yote anatakiwa kuelewa kwamba magufuli ni mtu wa tofauti, yaani dakika sifuri nyingi anaweza kukufanya hamna.
 
Duh..
 
Lissu nikikurudisha nyuma ulisema Kufuatana na mikataba ya serikali na makampuni ya nje, tukiivunja tutashitakiwa (kumbuka MIGA) hatujashitakiwa na mikataba tuliivunja!
Hivyo Lissu unafikiri bado unaaminika?
Mkuu usipotoshe hakuna mkataba ulivunjwa ila sheria zilibadilishwa kwanza kabla ya majadiliano kma alivyosema Lissu kwahiyo bado alikua sahihi.

Hajarudi sababu ya usalama sio kuogopa nafaham unajua Lissu hajawahi kuwa muoga toka enzi zile anapambana kupinga wizi wa madini huko Tulawaka na Nyamongo!! Miaka ya 90.

Lissu ni infulencial sana ndio maana hata wanasheria walimchagua kuwa Rais wao ww binafsi kuna association ya kitaifa inaweza kukuchagua kuwaongoza?

Lissu ndio mpinzani pekee ambaye uchaguzi wa serikali za mitaa alizoa 95% ya mitaa yaani mitaa/Vijiji 42 huko Ikungi hiyo rekodi haijavunjwa toka Uhuru mpka leo.

Kingine hta huyo Lissu unayemkejeli akihamia CCM atapokeleewa na Rais mwenyewe na atapewa uwaziri wa sheria na sifa zote atamwagiwa hku ukibaki unalialia tu. Kumbuka lowassa ulivyomzodoa humu ila alikaribishwa na Rais wako na akaitwa mzalendo!!

Lissu is an intellectual na ndio maana toka akosekane bungeni miswada mibovu inapitishwa unanimously!! Then darasa la 7 kma ww utaonaje umuhimu wake?? Kwa akili hizi ndio maana tunatawaliwa na CCM mwaka wa 60 ssa
 
Hayo ya wakati uliopita siyakatai alikuwa maarufu - lakini sasa siyo maarufu tena! Mimi kweli darasa la saba nilisoma pia na PhD nayo ninayo. Ila ukubali Lissu hana umaarufu wa kutikisa nchi hata chembe!
Kupigwa risasi alikofanyiwa na kuwekwa lockup akikanyaga nchi kipi cha kutikisa nchi?
 
Akumbuke kesi yake haikuanza wakati wa uchaguzi,
Kwa hiyo hawezi kuleta mbwembwe zake wakati yeye ndo alikimbia kesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…