Ujumbe wa kutafakari kutoka kwa Waziri Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia

Nauona umwagikaji damu siku kadhaa zijazo
Na hapo ndipo utafaham kwamba kumbe siasa ni biashara kubwa inayo tajirisha na kufurahiwa na watu wengi wanye uchu wa madaraka na wasio kua na uchungu na nchi
 
Toka huyu mama aingie madarakani taarabu imekua kwenye peak sana, inanikumbusha enzi za akina Hadija Koppa V/s Nasma Hamis Kidogo.... Hakuna kazi taarabu ndo ina trend...
 
Habari ndugu zangu Mwenye namba ya Waziri Rajab Salum Kingo naomba mnisaidie
 
Mathayo 6:9-13
Utusamehe makosa yetu kama nasi tulivyowakosea waliotukosea!! Dini inahubiri UPENDO na MSAMAHA!! Mengine Mungu huyaruhusu ktk Maisha yetu ili ajitwalie UTUKUFU!!

Watu wamemsahau Mungu na wamegeuka miungu watu!! HUKUMU YA MUNGU INAKUJA Sawa na Zaburi ya 35 na 109.

Mungu mwenyewe ataamua nani kamkosea mwenzake au alikuwa anatimiza wajibu!!! Tunapoonea wengine tusitafute kichaka cha kujifichia! Yale tunayoyaongea ndani tuyaseme na nje!! Tusiwe na sura mbili!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…