Ujumbe wa Tundu Lissu kuhusu Hayati Ally Hassan Mwinyi

Umekuja umepaniki na unatoa povu sehemu zako 5 za wazi za mwili. Just calm down sister. Hukufunzwa kutumia lugha ya kisomi? We learners always use a very sophisticated language to address one another.
 
Umechukua google uka copy and paste here. I explained to you linguistically. Kikanuni si sawa.
Online dictionary ya Oxford inasema hivyo; any comment?

Definition of kindly adjective from the Oxford Advanced Learner's Dictionary

kindly​

adjective

/ˈkaɪndli/

/ˈkaɪndli/
[only before noun] (especially old-fashioned or literary)
  1. kind and caring
    • The doctor was a quiet, kindly man.
    • The teachers were generally gentle and kindly.
 
Wivu tu unakusumbua
Usimart wake uko wapi? Mfano Lisu anausmart upi wa kumfanya aonekane wa tofauti? Watu mnapenda kuwakuza tu!
Jitahidini kufanya mambo kwa kutumia akili zenu!
Kupiga makelele yeyote anaweza kufanya hata Mtikila alikuwa anafanya hayo ya kuogea vifungu vya sheria japo hakuwa mwanasheria!
 
(Especially old-fashioned or literary)
 
Kama Kuna anayemjua adui wa Nyerere/Mwinyi atujuze.
Au Kama Kuna mtu alishawahi kudhulumiwa na Nyerere/Mwinyi naomba tumjue.
Naweka nukta.
Nyerere alimdhulumu classmate wake aitwae Julius Mwasanyagi.
Aliamuru akamatwe na kurudishwa kijijini kwao Malangali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…