Ujumbe wa Tundu Lissu kuhusu Hayati Ally Hassan Mwinyi

Ujumbe wa Tundu Lissu kuhusu Hayati Ally Hassan Mwinyi

Kwa hiyo sio Kiingereza ni Kisukuma?
I have studied language. Not here in Tz . When i was there with the native speakers and language experts in the UK. I insist the correct word was a kind person. But only if you want to learn.otherwise i will just say. You are right to think he is right.
 
You are wrong to think he is wrong.
 
Samia alienda kwenye Mkutano Nairobi , akasutwa na Viongozi wa nchi nyingine , ndio akaona achepuke hospitali ili kuua soo .

Mzee Mwinyi na Mkewe walitoka moja kwa moja Tz kwa nauli zao kwenda Kenya kumuona Lissu tu .
Nauli zao? Mmesahahu wamekuwa wakilipwa posho zao kwa mgongo wa walipa kodi Tanzania.

Damu za Wamasai zimo mikononi mwake.
 
Walimu wa kingereza bado mna kazi kubwa sana, katika lugha maneno yanaweza kuchezeshwa kwa kanuni mbalimbali za ujenzi wa maneno na yakaleta maana ile ile, acheni kufundisha wanafunzi kukariri.Watu wazima wanatia aibu kwenye comments kwa kubisha vitu vilivyowazi kabisa.

Lugha sio π
 
Furaha yetu ni kwamba Mungu amelitanguliza kabla halijaleta madhara zaidi
Sijui ni mungu gani huyo, lakini kama ndie huyuhuyu waliyekuwa wakimnyooshea viganja juu pale makaburini, basi ukumbuke pia ndie huyu huyu anaye watetea Wamasai wa Loliondo.
 
Back
Top Bottom