Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #221
Tunamaanisha kwamba tripu ile hakulipiwa na serikali ya TanzaniaNauli zao? Mmesahahu wamekuwa wakilipwa posho zao kwa mgongo wa walipa kodi Tanzania.
Damu za Wamasai zimo mikononi mwake.
Mzee was a good manHivi ndivyo alivyoandika kwa ufupi
Toa Maoni yako .
View attachment 2923057
"President Ali Hassan Mwinyi, who died on Thursday & was laid to rest yesterday was a kindly man. When I was gunned down in Sep. '17 & rushed to Nairobi for treatment, Mzee Mwinyi and Mama Sitti came to The Nairobi Hospital to wish me speedy recovery. May he Rest in Eternal Peace!" - Tundu Lissu
Sometime auto typing zinazingua kusoma ujumbe ulioandika kabla hujaupost nimuhimu.. Kind man kama tulivyozoea so auto type ukachange kuja ''Kindly'' ila Ukishaambiwa Mwanasheri a Msomi basi kabla hujakosoa kacheki kwenye dictionary kwanza... Nyerere alitamka neno kuhusu Mrema ni watu wakasema Nyerere kmtusi Mrema kuwa ni Fisi. Nyerere alikuja akalitolea tafsiri nzuri tu from English to Swahili watu wakaelewa....was a kindly man...
Uko sahihiWalimu wa kingereza bado mna kazi kubwa sana, katika lugha maneno yanaweza kuchezeshwa kwa kanuni mbalimbali za ujenzi wa maneno na yakaleta maana ile ile, acheni kufundisha wanafunzi kukariri.Watu wazima wanatia aibu kwenye comments kwa kubisha vitu vilivyowazi kabisa.
Lugha sio π
Kama Baba yako alivyokufa mdomo waziHalafu baadaye akafa yeye kibwege sana .
Lakini ndio auze loliondo kwa kuwa yeye ni MzanzibariNadhani wazanzibari Wana moyo tofauti na wabara. Huku bara tulikiwa na rais mwenye moyo wa kishetani kwelikweli.
Yaani alimpiga risasi Lisu halafu akakataza:-
1. Watu kumchangia damu.
2. Watu kumchangia fedha.
3. Watu kuvaa Tshirts za kumtakia uponaji wa haraka.
4. Wanaccm kwenda kumuona hospitali.
5. Akamtumia Ndugai amnyime hela za matibabu.
6. Akamtumia Ndugai amfute ubunge Lisu.
Magufuli was a Satan in human face.
Afe tena huko aliko.
A kindly man ni sahihi na Ina maana sawa tu na a kind man.Sometime auto typing zinazingua kusoma ujumbe ulioandika kabla hujaupost nimuhimu.. Kind man auto ukachange kuja ''Kindly''
HeheeeLakini ndio auze loliondo kwa kuwa yeye ni Mzanzibari
Acha unafaki aliongea wapi lete ushahidi hapa7. Alizuia Lissu kuombewa wakati kwa muda mrefu alisisitiza yeye aombewe
Ipi hiyo tena 2025Knowledge ya wengi wetu ni limited kwenye ulimwengu huu wa mwili, lakini kwenye ulimwengu wa roho ni wachache tuu waliojaaliwa kufunuliwa. Mimi ni mmoja wao.
Karibu pande hizi
- Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?
- Life after Death: What happens after death?
- Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?
- Life After Life: Je, wajua Magufuli huko alipo anayaona yote? Je, tuendeleze 'double standards' ya 'cherry picking' au tuiachie Karma iwashughulikie?
- Life After Life: Je, Wafu huwaita watu kifoni? Kuna walio hai huamua kuwafuata Wafu? Wapenzi mmoja akitangulia, mwenzake anafuata!
Hoja ya Magufuli yuko peponi, sio hoja dhanifu kutokana na mahaba niue ya the Sukuma Gang, mimi nimeelezwa kupitia sauti ya ndani, Voices from within.
Karibu uangalie mambo niliyoambiwa na nikayasema humu kabla hayajatokea, na nini kilikuja kutokea "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia
Baadhi ya kauli hizo ni hizi
Na kubwa kuliko ni HII ambayo itatokea 2025!.
- Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
- Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
- Dkt. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii
P
Waulize wamasai wa loliondo watakujibuKama Kuna anayemjua adui wa Nyerere/Mwinyi atujuze.
Au Kama Kuna mtu alishawahi kudhulumiwa na Nyerere/Mwinyi naomba tumjue.
Naweka nukta.
Acha Kudanganya watu Pascal kwa kuandika maneno meeengi ili yaonekane ni kweli.Knowledge ya wengi wetu ni limited kwenye ulimwengu huu wa mwili, lakini kwenye ulimwengu wa roho ni wachache tuu waliojaaliwa kufunuliwa. Mimi ni mmoja wao.
Karibu pande hizi
- Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?
- Life after Death: What happens after death?
- Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?
- Life After Life: Je, wajua Magufuli huko alipo anayaona yote? Je, tuendeleze 'double standards' ya 'cherry picking' au tuiachie Karma iwashughulikie?
- Life After Life: Je, Wafu huwaita watu kifoni? Kuna walio hai huamua kuwafuata Wafu? Wapenzi mmoja akitangulia, mwenzake anafuata!
Hoja ya Magufuli yuko peponi, sio hoja dhanifu kutokana na mahaba niue ya the Sukuma Gang, mimi nimeelezwa kupitia sauti ya ndani, Voices from within.
Karibu uangalie mambo niliyoambiwa na nikayasema humu kabla hayajatokea, na nini kilikuja kutokea "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia
Baadhi ya kauli hizo ni hizi
Na kubwa kuliko ni HII ambayo itatokea 2025!.
- Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
- Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
- Dkt. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii
P
Kwani wewe lisu anakupumulia nini mbona umeshupaza mat*ko sanaKuanzia wewe ukoo wako wote walimu wote walokufundisha hakuna hata mmoja mwenye uwezo wa kusahihisha grammar ya kingreza Cha Lissu tena ukome
Both sentences are grammatically correct, but they convey slightly different nuances:Was a kindly man❌
Was a kind man✅
huwa nasisitiza watu watumie tu Kiswahili siyo dhambi.
Sio kweli.Nadhani wazanzibari Wana moyo tofauti na wabara. Huku bara tulikiwa na rais mwenye moyo wa kishetani kwelikweli.
Wewe ndio MUNGU unapanga na umri wa kuishi watuHuyo jamaa hakuwa MTU mzuri alijisahau akaanza kushikilia madaraka badala ya kushikilia hekima na angeshikilia hekima asingekufa angeishi hadi miaka sabini ya biblia
Babaangu hakuwahi kuwa muuajiKama Baba yako alivyokufa mdomo wazi
Mkuu Sexless , unless una uthibitisho, na ushahidi.
Japo JPM hakuwa malaika, ila pia hakuwa shetani ndio maana amekwenda peponi, na hivi tunavyozungumza hapa, yuko mbinguni kwa Baba yake!. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
Kwa sisi Wakristo, tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo, hivyo kwa mujibu wa sheria ya karma, mtu hata ukitenda maovu kiasi gani, ukaja kutenda mema mengi kuliko yale maovu, unaingia peponi!. "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!
Magufuli pamoja na uovu wake wote wa mwanzoni, baadae ilikuja kubadilika na kuwa mwema kama malaika by the time anatwaliwa, he was a saint!.
P
Knowledge ya wengi wetu ni limited kwenye ulimwengu huu wa mwili, lakini kwenye ulimwengu wa roho ni wachache tuu waliojaaliwa kufunuliwa. Mimi ni mmoja wao.
Karibu pande hizi
- Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?
- Life after Death: What happens after death?
- Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?
- Life After Life: Je, wajua Magufuli huko alipo anayaona yote? Je, tuendeleze 'double standards' ya 'cherry picking' au tuiachie Karma iwashughulikie?
- Life After Life: Je, Wafu huwaita watu kifoni? Kuna walio hai huamua kuwafuata Wafu? Wapenzi mmoja akitangulia, mwenzake anafuata!
Hoja ya Magufuli yuko peponi, sio hoja dhanifu kutokana na mahaba niue ya the Sukuma Gang, mimi nimeelezwa kupitia sauti ya ndani, Voices from within.
Karibu uangalie mambo niliyoambiwa na nikayasema humu kabla hayajatokea, na nini kilikuja kutokea "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia
Baadhi ya kauli hizo ni hizi
Na kubwa kuliko ni HII ambayo itatokea 2025!.
- Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
- Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
- Dkt. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii
P
Aisee unachosha akili zetuHii sio kweli, ni kweli Magufuli amekwenda peponi straight, ila pia amerejea duniani kwa proxy, hivyo matokeo ya uchaguzi Mkuu wa 2025 yatakuwa kama yale ya 2020!. Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli
P
Muulize aliuwa watoto wangapi kwa Livyokuwa anapiga punyetoBabaangu hakuwahi kuwa muuaji