Ujumbe wa Tundu Lissu kuhusu Hayati Ally Hassan Mwinyi

7.alijiita mungu
 
Google ni sehemu ambayo kuna taka na mali. Inatakiwa uwe na akili kujua ipi taka ipi mali.
Google is an accredited source of knowledge. Kweye google you visit the accredited original source of the information. Mfano: Mayo Clinic, you google it and you see information in there. Do you doubt what is contained in Mayo Clinic?
 
Kila mtu atakufa kibwege mbona hata lisu alipigwa risasi kibwege ambazo zilikuwa zinamchagua yeye tu dereva zinamuacha?
Who was the target? Utakuwa umesoma Kayumba and thereafter to extended high school!
 
Hahahaha,sure..Kama mwanasheria ngeli ndiyo hiyo,kazi ipo

Nimeamini, kumbe watu wengi hamjui English. Hapo Lisu ameandika English safi kabisa. Wasiojua wanaona Lisu kakosea.

Jamani, jielimisheni. Kuishi kwa kukariri ndiyo kunaleta hii aibu ya asiyejua kumkosoa anayejua.

Mwinyi was a kindly person, maana yake ni tofauti na mtu akisema, Mwinyi was a kind person. Kindly person ni zaidi ya kind person, ni zaidi ya very kind person.
 
Anamaanisha kavunja(broken),labda Kama ni typo
Watu wengi kumbe ni mbumbumbu wa English. Lisu ameandika English safi kabisa. Mbumbumbu wanakosoa kwa sababu hawajui English.
 
Mwinyi was a kindly man, oh! Wow he was equally kind to the maasai? This bullshit man was toxic to the loliondo community, ameondoka na mikosi na laana zake
Acha ujinga hakuna binadamu mkamilifu. Relative to others, yes, he was a kind man.
 
 
Ni jambo zuri,lakini haitaondoa ukweli kwamba huyu mzee, na Marais wenzake, walikuwa majizi, Sana, wamejitajirisha kwa Mali haramu Sana, wameua Sana, wameifisadi Sana hii nchi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…