Tajiri mkopeshaji
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 613
- 1,445
7.alijiita munguNadhani wazanzibari Wana moyo tofauti na wabara. Huku bara tulikiwa na rais mwenye moyo wa kishetani kwelikweli.
Yaani alimpiga risasi Lisu halafu akakataza:-
1. Watu kumchangia damu.
2. Watu kumchangia fedha.
3. Watu kuvaa Tshirts za kumtakia uponaji wa haraka.
4. Wanaccm kwenda kumuona hospitali.
5. Akamtumia Ndugai amnyime hela za matibabu.
6. Akamtumia Ndugai amfute ubunge Lisu.
Magufuli was a Satan in human face.
Afe tena huko aliko.