Ujumbe wa Tundu Lissu kuhusu Hayati Ally Hassan Mwinyi

A kindly person is a kind, caring, and sympathetic person. Umeelewa?
A kind person. Not kindly. Umeenda ku google. Mimi nakueleza ambaye nimekaa uingereza. Kind ni adjective ambayo ina modify noun.

Kindly is adverb which modifies very.

Msiwe wabishi dogo. Jifunzeni msonge mbele.
 
Ahmed Hassan Diria
 
Jiwe alitamani kumvuruga Mzee Ruksa kwa nini aende kumuona Lisu ....Saa 100 pia alienda....Amb Sikoine alienda Belgium weeee....akarudishwa faster...ngumbani
Hili la mwinyi kwenda kumuona ndiyo nimelisikia leo. Au labda nilisahau. Kumbe ni wengi sana walichukizwa na kile kitendo ila walishindwa tu kusema. Nina uhakika hata wale waliopiga risasi watakuja kujulikana siku moja mmoja baada ya mwingine. Kinara tunajua ni Bashite.
 
Mwenyezi Mungu akakataa katakata Lissu asife akaamua kuliua lenyewe sheitwani baradhuli eti linajiita Jiwe au Kichaa! Liendelee kuungua milele na milele huko Jehanamu!
Hata kama alikosea tuwe na roho ya msamaha
 
Yule Ibilisi alikuwa mpumbavu sana.
Yaani pamoja na elimu yake ya magumashi alikuwa hajui kanuni zinazotawala Dunia.
Alikufa kipumbavu sana
 
Kuna tajiri mmoja wa kihindi alitaka ammilikishe eneo la wazi la mnazi mmoja Mwl Nyerere alizima ule ujinga.
 


Huyo jamaa hakuwa MTU mzuri alijisahau akaanza kushikilia madaraka badala ya kushikilia hekima na angeshikilia hekima asingekufa angeishi hadi miaka sabini ya biblia
 
Kama Kuna anayemjua adui wa Nyerere/Mwinyi atujuze.
Au Kama Kuna mtu alishawahi kudhulumiwa na Nyerere/Mwinyi naomba tumjue.
Naweka nukta.
Bila shaka hili swali linaonyesha pia umri, tuliokuwepo miaka hio hakuna mtu aliyechukiwa kama Nyerere, kimsingi magufuli ni mtoto kwa Nyerere, yule alikuwa anawanyofoa madarakani hadi Marais wa nchi nyingine, sijui Kama umewahi kumsikia Binaisa, Tito Okelo n.k

Waliokoswakoswa humu ndani kina Kasanga Tumbo, fundikira, Tuntemeke. Waliokimbia nchi ni wengi, waliokula Shaba labda uwaulize wazenji nini kilimkuta Karume alipotaka kuvunja muungano

Huyo Mwinyi ndio mlezi mkuu wa ujambazi na madawa ya kulevya, enzi hizo jambazi anakutumia barua kuwa saa flani anakuja akute fedha kadhaa, ole wako useme polis, na wanakuja kweli kuchukua hela zao!!! Wengi wa polisi waliamua kuwa majambazi, lakini wamasai wanamjua vizuri alichowafanyia huko loliondo

Kuna mwandishi aliyeandika habari za Mwinyi kuuza mbuni wa ikulu kwa waarabu, wa gazeti la mfanyakazi, kesho yake maiti ilikutwa kwenye mtaro
HAKUNA RAIS MPOLE
 
Was a kindly man❌
Was a kind man✅

huwa nasisitiza watu watumie tu Kiswahili siyo dhambi.






We mjinga soma hapa chini ili ujue aina za maneno part of speech

👇🏾

1. "Was a kindly man" suggests that the man in question acted in a kind and considerate manner towards others.

2. "Was a kind man" suggests that the man in question possessed inherent qualities of kindness and showed it in his actions.

In general, "kindly" is an adverb that describes how someone does something, while "kind" is an adjective that describes a person's nature or character.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…