Mkuu
Sexless , unless una uthibitisho, na ushahidi.
Japo JPM hakuwa malaika, ila pia hakuwa shetani ndio maana amekwenda peponi, na hivi tunavyozungumza hapa, yuko mbinguni kwa Baba yake!.
Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
Kwa sisi Wakristo, tunaokolewa kwa neema na sio kwa matendo, hivyo kwa mujibu wa sheria ya karma, mtu hata ukitenda maovu kiasi gani, ukaja kutenda mema mengi kuliko yale maovu, unaingia peponi!.
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!
Magufuli pamoja na uovu wake wote wa mwanzoni, baadae ilikuja kubadilika na kuwa mwema kama malaika by the time anatwaliwa, he was a saint!.
P