Ukatili na Unyama wa Mbunge wa CCM Singida Magharibi, Elibariki Kingu wailiza jamii


soma vizuri uelewe, kila mtu anajua kilichofanyika ni kitendo kibaya na cha kinyama just kwa kijana kunyoosha tu vidole viwili.... lakini tambua ndio kashaumia tena kwenye ubongo na inayoteseka ni familia pekee tena familia yenye hali ngumu kimaisha..

Point yangu ipo hapa, uharakati sio lazima kila mahala uchukue risk na lazima utambue mazingira na watu unaopambana nao...... siwezi kumzomea au kumuonyesha ishara adui yangu huku nikijua atanidhuru na sina uwezo wa kumzuia lakini pia akiniua kama mwanaharakati nitakuwa nimekufa kizembe, sasa kwanini baadala yake nisivae bomu nikaenda kufa nao wakiwa bungeni? ...

Ni sawa na askari kujisalimisha huku ukijua unaojipelela kwao watakuua tu hakuna lugha ya mateka kwao, sasa kwanini usipigane nawewe ukaua kadhaa ili ukifa unakuwa angalau umetoa msaada..

Huyu jamaa aliyeumizwa huoni ingekuwa faida kwa wanaharakati kama hata angerusha bomu la petrol na kuwaua hao jamaa na jamii ikajua sasa watu wanahasira kuliko.....askari unapokuwa vitani unapaswa kupima matendo yako dhidi ya adui ili usijiexpose adui akakupoteza na kupunguza idadi ya askari...
 
Hao ndio vijana wa Magu kama alivyokuwa Sabaya. Lakini badala ya kusubiri eti sheria itakuja kumfundisha anapaswa afundishwe yeye mwenyewe au kupitia wanaomhusu.
Waliendekeza Ushenzi sana ndiyo maana wengine wako jela miaka 30. Walidhani waliowatuma ni Mungu
 
Nchi ilifika pabaya sana kwakweli. Hawa wahalifu watafutwe jinai haiozi
 
Mbwa mwitu aliyevaa ngozi ya kondoo. Ni wa kukemewa na kuadabishwa sawa sawa mpuuzi huyu
 
Siasa ni vita!?
WanaCCM wa kizazi hiki ndio mnaona siasa ni vita kwa sababu hamna uwezo wa kujenga hoja.
Mawazo aliwazidi kwa hoja mkaona mtumie mapanga.
Lissu mkatumia risasi.
Kuonyesha vidole viwili ni kosa la kumpa mtu ulemavu!!??
Hawa jamaa hawana akili kabisa
 
Mfano wa askari sio sahihi maana yule anakuja kivita so akionekana atadhurika tu ila sasa mtu anaye process demokrasia naye Una linganisha na vita?? Kwani kusema ww ni chadema ni kosa kisheria? Kwamba Wapiga kura wake wote ni CCM?
Get serious..... Alichofanya huyo mbunge sio haki so usi justify. Ni kama useme mtu amekaa kibarazani afu kavamiwa na majambazi. Baadae mseme ooh mwanaume unakaaje kibarazani!!! As if kukaa kibarazani kwako ni kosa!

Tusihalalishe uhuni kwa justification yoyote ile kumbuka Leo ni yye kesho ni wwe. Una ndugu wangapi? Ukisikia ndugu Yako kapewa kesi ya ubakaji kisa hajaipigia kura CCM na ww utakuja kumtukana humu kwa alijitakia mwenyewe?

Umenishangaza sana
 
Kuna shutuma kubwa sana dhidi ya Mbunge wa Singida Singida Magharibi ndugu Elibariki Kingu. Anashtumiwa yeye na kundi lake kumpiga, kumlawiti na kumbambikizia kesi kiongozi wa CHADEMA huko mkoani Singida Wilaya ya Ikungi kata ya Minyughe. Aliyepigwa na kufanyiwa vitendo vyote hivyo alikua Katibu wa CHADEMA kata ya Minyughe ndg Petter Tamael Mtinangi.

Haya maelezo ni kwa mujibu wa mgonjwa mwenyewe na familia yake na hana msaada wote kutoka CHADEMA au CCM waliompiga. Yupo mahututi hivi sasa ana hali mbaya sana.Alifanikiwa kupata msaada kwa wasamaria wema wakimsaidia kwa uwezo wao lakini hali yake haikutengamaa na Mhe mabunge yupo anaendeleza meno na vitisho pamoja na dharau zake dhidi ya mgonjwa pamoja na familia yake.

Inasikitisha sana kuona kuna watu wanatafuta madaraka kwa damu za watanzania wenzao. Kingu amefanya kitendo cha kikatili sana kitu ambacho si cha kufumbiwa macho.
 

Attachments

  • VID-20220330-WA0046.mp4
    11.3 MB
  • VID-20220330-WA0047.mp4
    5.7 MB
  • VID-20220330-WA0046.mp4
    11.3 MB
Kwann vyombo husika vipo kmya kuhusu ili swala, au wanamuogopa?
 
Duh!
Kwani afande Nyakoro siro anasemaje?
 
Hivi kweli, wanaume tumefika huko! Mtu mzima ati kalawitiwa linaonekana ni jambo la kawaida! Siamini nilichokisoma
 
..Kama ni kweli huu ndio wakati wa Kibatala et al kuonesha kuwa wanaupiga mwingi! isiwe wao ni mawakili wa makao mkuu pekee yake!
 
siisiiemu na poolishiiishiiem ni kitu kimoja hakuna wa kuwatenganisha na ndoa yao ilihalalishwa na jamaa yuleeeeeeeeeeee aliyetangulia mbele za haki, poleni sana
 
Dah ... Mungu atatenda ungeweka na utaratibu namna ya kumchangia ama ungewasiliana na uongozi wa JF wakupe mwongozo sahihi
Kama ni CHADEMA damu damu, CHADEMA imefanya nini kumsaidia?Mbona viongozi wa juu wanasaidiwa kwa nini huyu wamemtupa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…