Ukifanikiwa punguza kelele kula kimya kimya, Dogo mmoja wa Twitter huko X sasa hivi wamemfelisha

Kukaa Gerezani sio mchezo Apambane atoke aje kukimbizana na umri.
Atakuwa amejifunza sana hadi kutoka watakuwa wamemfirisi maana hakuwa na asset yoyote ya maana aliokuwa anamiliki zaidi ya ile jaguar aliokuwa anababaishia watu.
 
Mpiga dili yule , mission town .. wengi wanamuona kama mshirikina . na akimsaidia mtu lazima aoneshe mpaka meseji.
 
Raha ya pesa ni kumiliki vitu vizuri na vya thamani, sasa ukiwa na pesa huna vitu vizuri una tofauti gani na asiye nazo? Pesa zenyewe hazitaki kujificha! Unawezaje kuzificha?
Km hujazaliwa kwenye pesa pekee ila ukizaliwa kwenye pesa pesa unaziona kitu cha kawaida tu maana umezikuta mpaka kwenye madustbin ya ndani kwenu sasa nini cha kushangaza hapo umezaliwa kabla hujakua kuna magari yako yamepaki uwani yanakusubiri ukue uendeshe na kila siku unayaona utababaika nini kujionyesha, wengi hua wanaishi private life ila kujiproud sometimes hua wanajiproud ila sio kwenye media ni ukiongea nao personal ndio watakwambia tuvituvitu na tena hapo umewatekenya sana

Hao unawaona wanaropoka ropoka mitandaoni ni baada ya kushika pesa ukubwani tena ambazo hawakutaraji km watazishika maisha yao yote na huku amezaliwa kutoka kwenye hali ya umasikini hawajakulia kwenye pesa hawajazaliwa wakazikuta pesa zimejaa ni masikini tu tena masikini wa kutupwa ambao pesa zao hazina mfumo wowote wa kuingia na kutoka muda wowote zinapotea maana hazina mwenyewe hazijakuwepo hapo kwa miaka na miaka ni pesa ambazo zimetokea tu bila chanzo maalumu cha kuaminika na ndio maana hawaoni hatari ya kuzifanyia show off maana wanajua muda wowote hizo pesa zinayeyuka na zitakua sio za kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…