Ukifika miaka 30 unaweza kuwapata wanawake wengi lakini huna muda nao sana kama ilivyokuwa kabla ya 30

Basi acha na Mimi nifike huko kwenye 30's nipate experience then nitakuja kutoa majibu yangu.

Kwa Sasa acha niendelee kusoma comments.
 
Sie tuko vice versa na wao. Kadri umri unavyosogea mwanaume value inaongezeka yeye inapungua.
Mfano mkiingia first year University anatongozwa mpaka na lecturers. Na first year wenzake wanamataka sema anawaona Kama Ni watoto. Sasa kadrii muda unavyozidi kwenda akifika fourth/fifth year wale wa chini yake hawamtongozi Bali Ni wale tu alio nao na muda huo wewe unaweza tongoza mpaka fomu wani kumbuka hata primary usipokuwa na aibu. Na ukianza kazi mkasogea mpaka 50s mpaka mwanae utamuimbisha sema Sasa yeye fursa kwake inapungua.
 
Well said....
 
Hii ni kweli 100% nilihisi ni mimi tu kumbe ndivyo mambo yalivyo. asante mtoa uzi. Nilikuja bongo mwezi wa tano dah kuna pisi kali ilijileta sijui alinijuaje juaje kuwa sikai bongo niliichakata bila kutumia nguvu kabisa halafu hata sikuwa na mpango nayo ilitokea tu but nimeshai-discard nakimbizana na visions za maisha sipendi usumbufu usumbufu.🙂🙂
 
Hakuna kiumbe mwepesi kugundua hali yako kimaisha kama hizi pisi.
Usipokuwa na kitu hata ukisalimia anaweza asiitike.
Na ukiwa na dalili ya kufanikiwa utashangaa wanapishana kwako kama vile kipindi cha mbwa kupandana ilakujua wamejuaje🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…