Ukiitoa Kilimanjaro Bado Mikoa mingine Tanzania ni maskini

Unatuonyesha wafalme tu[emoji23]...

Wakati wahaya wanajaza vyuo kama Makelele Nyinyi mlikuwa hiv
 
Imagine hapa ni 1917....wahaya washakuwa mapadre...na wote walisoma Bukoba...

Wew unatuletea habari za 1940? Tena machief?

Kule kagera miaka hiyo koo nyingi zilishaanza kuwa na wasomi kibao...ndo maana kimsingi Bukoba haikuwa colonized na waliwaacha wananchi wafanye mambo yao walikuwa treated kama normal citizens tu...

Hakuwepo mambo ya manamba sijui mashamba Bukoba....

Hata biashara ya utumwa iliikwepa Bukoba...kimsingi watu wengi waliwaogopa wahaya...

Check huyo, nimeoita hapo analala kwenye jumba la kutisha🤣🤣
 
Attachments

  • IMG_20230417_150653.jpg
    49.8 KB · Views: 9
Unaongelea 1942?....kwenye elimu hapo utachekwa Tanzania nzima
Wahaya wamekuwa na wasomi ukitrace back 1917...hata mapadre wa kwanza wazalendo walikuwa wahaya...

Kuna shule kama Rubya Seminary zimekuweko toka 1903...
Hiyo 1942 nimesema ni local rulers wetu
Nime emphasize Hoja Yangu kuwa Elimu uchagan ni kipaumbele that's why hâta mtawala WA jadi alikuwa na masters
 
Kuhusu mapadre wazawa uchagan ndio top
Umesahau kibosho seminary ndio seminári kongwe kuliko zote Tanzania?
 
Umesahau kuwa sera ya ujamaa ya Nyerere uchagan haikufua dafu maana Wachaga walkuwa civilized tangu zamani ,na vijiji vyao vlikuwa na mpangilio
Wachaga tangu kitambo Elimu ilikuwa chaguo lao
Chama chá kahawa kncu kilikuwa na mchango mkubwa Ktk Elimu kilijenga mashule kama lyamungo,kilijenga majumba ,mabarabara,Hadi serikali ilikuwa ikikopa Hela kutoka kncu, serikali kwa maksud walividhoofisha vyama hivi kwa kuona jamii HII itazd kupaa
Kuna miaka mwafunz kutok Kilimanjaro walkuwa na passmark tofauti na WA mikoa mingine Hadi wengine wakaamua kubadili majina Ili wasiikose elimu
 
Toka zamani wap?[emoji23]

Nyinyi mlikuwa hiv
 
Hayo mambo uliyoyataja yalifanyika kagera tena ile intensively
 
Pia maskini wa dar yaani wazawa kama wazaramo wanabaki dar wapate maisha ,but zaidi ya asilimia 90 ya wakazi wa dar asili yao sio dar walikuja kutafuta
 
Acha kuchanganya mambo ,hivi ukiondoa miji ya same,hedaru,mwanga,himo,moshi,bomang'ombe,mkuu rombo,na moshi kuna mji gani mwingine? mbona kila mkoa kuna miji kama hiyo
 
Mkitaja kilimanjaro mnataja uchagani tu why ?,kuna upareni pia
 
Suala la kutumia nauli ndogo kwenda wilayani linatokana na udogo wa mkoa wa kilimanjaro, mfano morogoro mkoa ni mkubwa watu husafiri umbali mrefu,mbona hata tanga kutoka vijijini kufika wilayani nauli sio kubwa
 
Naam Sasa tufanyeje? Mungu alishaumba hivyo Kilimanjaro
Hushangai Kilimanjaro Licha ya udogo huo inaongoza kwa kuwa na shule nyingi za sekondar kuliko mkoa wowote Tanzania ? Pia Moshi DC ni wilaya ya kwanza kuwa na shule nyingi za msingi Tanzania amazing
 
Acha kuchanganya mambo ,hivi ukiondoa miji ya same,hedaru,mwanga,himo,moshi,bomang'ombe,mkuu rombo,na moshi kuna mji gani mwingine? mbona kila mkoa kuna miji kama hiyo
Unafahamu mashati,tarakea,holili? Ni miji kabisa ina Kila kitu Ila kiutawala ni Kijijin [emoji2][emoji2][emoji2] inaonekana huijui Kilimanjaro ndugu raval omanana wasalimie hapo Antananarivo
 
Pia maskini wa dar yaani wazawa kama wazaramo wanabaki dar wapate maisha ,but zaidi ya asilimia 90 ya wakazi wa dar asili yao sio dar walikuja kutafuta
Hii takwimu ya asilimia 90 umeipata wapi? Au Kwa sababu Wadar es salaam hawaongei vilugha kama mikoani kwenu? Bado wenyeji Wana account asilimia zaidi ya 60%. Ila huwezi tambua mapema Kwa kuwa wanaongeza Lugha ya KISWAHILI.

Maskini wa Dar ni sawa tajiri wa mkoani
 
Unafahamu mashati,tarakea,holili? Ni miji kabisa ina Kila kitu Ila kiutawala ni Kijijin [emoji2][emoji2][emoji2] inaonekana huijui Kilimanjaro ndugu raval omanana wasalimie hapo Antananarivo
Hata huku Tanga segera ,hale,kabuku,mkata kiutawala ni vijijini ingawaje ni miji midogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…