Ukiitoa Kilimanjaro Bado Mikoa mingine Tanzania ni maskini

Nafikikiri kutangaza mkoa flani masikini siyo sifa, wakati wewe ndeye unapaswa kujibu ni kwanini umeshindwa kuondoa umaskini ilihali hao maskini ndiowaliokuweka hapo.

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Huo mkoa ni mdogo sana, ukiupeleka Tabora, Lindi au Morogoro unaweza kuwa Halmashauri.

Mkoa mdogo ni mwepesi kupima maendeleo & unaweza kuonekana unamaendeleo kumbe ofisi na miundombinu mingine ipo karibu karibu.

Asante.
 
Wachina wanatoka China wanakuja Africa kuleta bidhaa, huduma na teknolojia yao.



Wachagga wanakimbia Kilimanjaro, kwenda kwenye Mikoa ya watu kufanya Nini, zaidi ya kuuza bar na kitimoto??
 
Huo mkoa ni mdogo sana, ukiupeleka Tabora, Lindi au Morogoro unaweza kuwa Halmashauri.

Mkoa mdogo ni mwepesi kupima maendeleo & unaweza kuonekana unamaendeleo kumbe ofisi na miundombinu mingine ipo karibu karibu.

Asante.
Mimi kwetu Kanda ya Ziwa. Nimekaa Bukoba miaka 3.


Kwasasa Niko Kilimanjaro.

Ukiambiwa uchague Kati ya Kagera na Kilimanjaro, ni Bora uishi Kagera.

Kilimanjaro ni takataka.
 
Huo mkoa ni mdogo sana, ukiupeleka Tabora, Lindi au Morogoro unaweza kuwa Halmashauri.

Mkoa mdogo ni mwepesi kupima maendeleo & unaweza kuonekana unamaendeleo kumbe ofisi na miundombinu mingine ipo karibu karibu.

Asante.
Hâta mkoa MKUBWA una rasilimali kubwa
Kilimanjaro ingekuwa Tabora tungeongoza África
Ishu ni ubunifu na akili
Hushangai Kilimanjaro pamoja na udogo wote ndio mkoa unaoongoza kwa idadi ya shule nyingi za sekondar ?
Shule zote za tabora zinaingia kwa Kilimanjaro mara 2[emoji3][emoji3]
 
Wachina wanatoka China wanakuja Africa kuleta bidhaa, huduma na teknolojia yao.



Wachagga wanakimbia Kilimanjaro, kwenda kwenye Mikoa ya watu kufanya Nini, zaidi ya kuuza bar na kitimoto??
Wachina wanakuja África kutafuta fursa Sawa na waarabu,wahindi
Na Sisi Wachaga ni kama Waarabu WA Tanzania tunatafuta fursa popote haturidhiki na kitu kimoja ndio Siri ya wachaga kuwa na maisha bora
Wewe endelea kuridhika na Ka IST kako ka milion 8 [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi kwetu Kanda ya Ziwa. Nimekaa Bukoba miaka 3.


Kwasasa Niko Kilimanjaro.

Ukiambiwa uchague Kati ya Kagera na Kilimanjaro, ni Bora uishi Kagera.

Kilimanjaro ni takataka.
Hahaha
Kanda ya ziwa wanakokunywa maji pamoja na ngombe kwenye malambo?
Kilimanjaro 95% ya nÿumba zote zina maji na umeme, barabara Safi, supermarkets Hadi vijijin,huduma zote za kijamii zinapatikana wilayan hkohko MTU Hana haja ya kwenda mjini
Maghorofa, mahotel yapo vijijin hkohko
Haishangazi kukuta Hadi zahanati za private Vijijin,haishangazi kukuta wilaya Moja Ina hospital 5
Haishangazi kukuta shule hakuna msongamano WA wanafnz kama hko kanda ya ziwa
Uthibitisho WA ubora WA kuishi Kilimanjaro unao maana Hadi MDA Huu unaishi Kilimanjaro means ni kuzuri sana,tembelea maeneo ya machame,marangu,rombo,kilema NK ukasafishe macho kwa makazi Safi,mazingira Safi na Hali ya hewa Safi kule watu hawanywi maji ya malambo, kule huduma zote zipo Karibu na mwananchi sio kama kwenu MTU kwenda wilayani anatumia masaa 8
 
Saw COPA CABANA Tumekusoma Mkuu
 
Hahaha
Kanda ya ziwa wanakokunywa maji pamoja na ngombe kwenye malambo?
Cha kushangaza huko kwenye msongamano na maji ya mifugo ndio mnakimbilia kila siku.
Kilimanjaro 95% ya nÿumba zote zina maji na umeme,
Kilimanjaro ni kimkoa kidogo mnoo, na kwakuwa nchi yetu mifumo siyo customized. Ndio maana Kuna umeme.

Kusema Kuna maji 95% ni stori za vijiwe vya mbege na mirungi.
barabara Safi,
Barabara ya rami ni moja tu. Barabara kuu ya kuunganisha Wilaya.
supermarkets Hadi vijijin,
Kilimanjaro mjini ni wapi??

Kwasababu unapend sana kubweka kuhusu supermarket as if ni kitu Cha maana mnoo.

Ninavyojua supermarket huwa wanakodisha shelves than kunakuwa na suppliers. Yaani mtu kuwa na duka lake kubwa unaita supermarket 😥
huduma zote za kijamii zinapatikana wilayan hkohko MTU Hana haja ya kwenda mjin
Kwenda mjini wapi?

Huduma gani?
Maghorofa,
Wewe jamaa ni limbukeni sana. Ghorofa ni utamaduni tu wa Jamii fulani, pamoja na uhaba wa ardhi.

Ndio maana Kenya wanapenda sana kujenga maghorofa.

Ghorofa Ni nyuma 2 zinazokaliana Wala siyo kitu Cha ajaabu.
mahotel yapo vijijin hkohko
Hotel za Nini?

Kila, guest house au Nini?
Haishangazi kukuta Hadi zahanati za private Vijijin,
Zahanati zilizopo ni za Katoliki na kwakuwa kieneo chenyewe ni kidogo kukiwa na zahanati ya wakatoliki pamoja na serikali moja itaonekana Kuna zahanati nyingi
haishangazi kukuta wilaya Moja Ina hospital 5

Hospitali za kiwango gani?
Maana unazungumza zahanati Mara unarukia Hospitali. Upuuzi
Haishangazi kukuta shule hakuna msongamano WA wanafnz kama hko kanda ya ziwa
Shule hazina msongamano Kwasababu ninyi na Watoto wenu mmekimbia Kilimanjaro mmeenda mikoa mingine kuongeza msongamano. Rudini kwenu Kama mtatosha?!!
Uthibitisho WA ubora WA kuishi Kilimanjaro unao maana Hadi MDA Huu unaishi Kilimanjaro means ni kuzuri sana,
Huku nilikuja kikazi na ninapamba kila namna kuhama huku. 99% ya kila mfanyakazi aliyeletwa huku anapambana kuhama. Ndio maana wanakatalia Uhamisho, maana watu wataisha.
tembelea maeneo ya machame,marangu,rombo,kilema NK ukasafishe macho kwa makazi Safi,mazingira Safi na Hali ya hewa Safi kule watu hawanywi maji ya malambo, kule huduma zote zipo Karibu na mwananchi sio kama kwenu MTU kwenda wilayani anatumia masaa 8
Huko kwenu nimetembea, nimeona watafuna mirungi fu, mbege, dadii, tope, milima, vumbi, unafiki na kitimoto.

Labda Kama unajua sehemu nyingine
 
Si bora hata hiyo dar wanayosema mpaka ufanye kazi ndo ule, means misosi ipo hadi ya jero (kula usife).

Lakini kuna vijiji huo msosi haupo, hizo kazi za kufanya ule hazipo. Wanategemea kilimo. Miaka ambayo jua limepiga kisawasawa kama ile mwaka jana msosi maeneo mengine ilikua changamoto lakini sio kwenye miji mikubwa.
 
Wewe hujui kwann wazungu hupigana vikumbo hku África? Je África ni nzuri kuliko ulaya? Kwanza una Elimu gani? Nisije kuwa nabishana na TABULARASA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…