Ukiitoa Kilimanjaro Bado Mikoa mingine Tanzania ni maskini

Kama Sasa hivi Kuna upepo na vumbi. Kuna maeneo ukifua nguo unaanika ndani.

Wanasubiri mvua ishuke, wakija Desemba wapige picha kijani kutambia mitandaoni
Wewe ni mshamba mno
Nini maana ya seasons of the year?
Kilimanjaro kiangazi ni mwezi mmoja au miwili tu,kule wanalima mara mbili kwa mwaka au unadhani ni jangwani kama kwenu
 
Hahaa kilimanjaro upo overrated sana,umesema maghorofa na mahoteli yapo hukohuko vijijini je ni vijiji vipi hivyo?, umesema 95% nyumba zina maji je umeshawahi kuishi same au unaongelea uchagani tu
Same na mwanga ni uchagani ?
Uchagan ni 95% whole région kwa mujibu WA NBS ni 90% makazi bora
 
Yah kuna mtu mmoja wa kilimanjaro niliongeaga nae alikiri kilimanjaro hasa moshi vijijini pamoja na mazingira mazuri ya walimu kuna uhaba wa walimu sababu wengi wanahama,ni ngumu kufanya maendeleo eneo ambalo hata kiwanja ni ngumu kuuziwa
Ni kama uende marekan je utatoboa kama huna Hela? HII ni uthibitisho Kilimanjaro ilishaendelea Siku nyingi,utafanya kipi kisichokuwepo?
Ni Sawa uende n'a milion kumi Dubaï utake kufanya biashara je utataoboa zama mfukon
 
Yah kuna mtu mmoja wa kilimanjaro niliongeaga nae alikiri kilimanjaro hasa moshi vijijini pamoja na mazingira mazuri ya walimu kuna uhaba wa walimu sababu wengi wanahama,ni ngumu kufanya maendeleo eneo ambalo hata kiwanja ni ngumu kuuziwa
Ukiwa mfanyakazi Kilimanjaro utataabika sana.

— Kilimanjaro ni Kama Ina centers chache sana ( urban areas), sehemu nyingine ni mapori tu, ya vichaka, milima, miinuko, mabinde,na mvua ikinyesha ni tope.

— Maisha ni gharama, hata Dar Kuna nafuu. Hakuna dagaa, ufugaji mgumu na samaki mpaka waletwe kutoka kwingine, hivyo Bei ni kubwa.

— Huwezi kujenga, utapanga mpaka siku ya kustaafu.

— Huwezi kulima. Kilimanjaro ardhi hakuna, na iliyopo inayofaa ni kidogo sana, nyingine imejaa pori, mabonde, milima na mawe.

— Huwezi kufuga. Kilimanjaro hakuna ardhi, hivyo hakuna ufugaji huria. Ufugaji ni mgumu,Kama unafuga ng'ombe, nguruwe, mbuzi au kuku unatakiwa kuwakatia majani kila siku. Na wewe Kama ni chasaka huna shamba, huwezi kukata majani kwa mtu, wachagga wanapenda kesi kuliko KULA.

— Unafiki na roho. Mchagga Yuko tayari hata kukusalimia shikamoo ili umpe anachotaka, ila siku ukipata mabaya atafurahi huyo.

— Ni ngumu kufanya biashara. Kwasababu kwanza vijana wengi wanaikimbia Kilimanjaro na kurudi mwisho wa mwaka tu. Mkoa umejaa wazee tupu.

— Kilimanjaro haimfai kijana mtafutaji, labda Kama unakuja kukaa tu, hasa wastaafu.
 
Kilimanjaro naijua japo imeendelea iko overrated, eti tofauti ya mjini na vijijini ni idadi ya watu usitudanganye,hivi pale ruvu wilaya ya same kuna nyumba gani za kisasa ,mamba miamba ,kisiwani,vudee,ni mjini pale ?
 
Wewe kadanganye nyumbu wenzio
Kilimanjaro pori ulikute wapi? Labda liwe eneo la serikali
Maeneo yote Yameendelezwa
Kilimanjaro ardhi haikai bure,usidhani ni maporini kama hko kwenu meatu
 
Kilimanjaro ni kama masaki ilishaendelea watu n'a Hela Zao wanatamua wewe tatizo huna Hela
 
Kwani title inaongelea kilimanjaro au uchagani?
Kuna vitu viwili
Kilimanjaro na uchagan
Takwimu za NBS kimkoa 90% Wana makazi bora
Ila uchagan specifically 95% ya nÿumba zote zina maji na umeme,Watu wanaishi kama Wako Stockholm
Imagine hapa ni Kijijin
 
Kilimanjaro naijua japo imeendelea iko overrated, eti tofauti ya mjini na vijijini ni idadi ya watu usitudanganye,hivi pale ruvu wilaya ya same kuna nyumba gani za kisasa ,mamba miamba ,kisiwani,vudee,ni mjini pale ?
Hayo maeneo ya same ni asilimia ndgo mno ya population
Kwann huzungumzii uchagan ambayo inabeba 80% ya population ya mkoa?
 
Kilimanjaro hasa uchagani kuna uhaba wa walimu ,kuna shule zina walimu wanne ,watano
Katk mikoa yenye ratio inayoridhisha ya waalimu Kilimanjaro,dar ni mojawapo
Ndio maana ajira mpya wanapangwa wachache
Pia Kilimanjaro wanafunzi wanakaa kwa standard ya serikali
Ni Nadra kukuta msongamano darasani,sijui wanafunzi kukalia mawe hvyo Kilimanjaro ni hadithi
 
Tanzania yote ni masikini. usijifariji. wewe mwenyewe ni masikini, katafute hela ili usishinde mitandaoni kuleta hoja za kimasikini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…