Ukiitoa Kilimanjaro Bado Mikoa mingine Tanzania ni maskini

Taja kilimo cha biashara kinacho wapatia pesa wananchi wa moshi
 
Unachekesha Wewe Mzee
Kilimanjaro hasa uchagan majumba ni mapya mapya,heshima ya mchaga yeyote ni nyumba
90% ya nyumba za uchagan ni za kisasa kabisa
Uchagan ukijengea bâti jeupe unachekwa nenda MDA huu pítia maeneo yote uchagan uangalie hali za makazi alafu urudi hapa
Kwenye suala la makaz bora vijijini mchaga ni nambari one ,sio ajabu kukuta ghorofa Kijijin ndani ndani
 
Sisi wachaga hatupend kwetu? Unaumwa Wewe
Sisi ni wawekezaji nchi nzima tupo,dar hasa kimara ,mbezi,ubungo tangu Zaman tushawahamisha wazaramo,hakuna kinachoshindkn mbele ya pesa
 
Wewe uko Kilimanjaro??

Huu ujinga wadanganyani watu ambao hawapo au hawajawahi kufika Kilimanjaro
Una wivu ukiwa wapi? Ni uongo kwani?
Kilimanjaro vijijini huduma zote zipo Hadi supermarket
MTU aliye Kijijin Hana haja ya kwenda mjini Kila kitu kipo,nyie WA mikoan MTU akitaka ka huduma kadogo Hadi asafiri km180 kwenda kufuata huduma
Sisi wilaya zote makao makuu mwananchi hatumii Zaid ya 2000 au 3000 kufk headquarters
 
Kule moshi wachanga wengi vijijini wananuka shida
Kama wananuka shida imekuwj NBS watuambie Kilimanjaro ni mkoa WA pili kwa wananchi wake kuwa na per capita income kubwa Baada ya dar?
Kwahyo hyo income kubwa ya mwananchi mmoj mmoja imetoka wapi ilhali wananuka shida? [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Taja kilimo cha biashara kinacho wapatia pesa wananchi wa moshi
Kilimo chá ndizi,parachichi, biashara
Hasa biashara Wana Moshi wengi ni wafanyabiashara wakubwa,pia transport industry,ma Lori meng mikoani ni ya Wana Kilimanjaro, bila kusahau ma bus kampuni nyingi 40% ni za Wana Kilimanjaro
Kubwa kuliko précision air ni ya mwaa Kilimanjaro
 
Hizi picha jomba mbona unarudia sana na unatumia nguvu kutuaminisha😂😂😂
 
Kilimanjaro pia maskini sana. Sijui una maana gani kuitoa Kilimanjaro? Maskini tena sana tu.
 
Kwa Kilimanjaro mjini ni wapi!????
 
Mzaramo hapo mjin ashahamishwa,wamebaki wachache mno não ni wacheza bao
Kama haitoshi tumewafuata Kwao vikindu,mkuranga na bagamoyo nako tumewasokomeza porini hakuna kinachoshindkana mbele ya hela
Wameondolewa Dar sasa hivi wanawaondoa kwao Mzenga na marenomango[emoji1787][emoji1787]
Hawa jamaa watajikuta wanatawaliwa miaka michache ijayo

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ulishawahi fika Dar....mpaka uulize mbunge Mzaramo?
Mkuu, ebu nitajie mbunge mzaramo kwa miaka ya karibuni hapo Dar!!

Ukimaliza hiyo naomba majina matatu tu ya wazaramo ambao wanafahamika kuwa na pochi nene au wamiliki wa biashara kubwa kubwa na maarufu hapo Dar!!
Kwa hiyo mnajivunia miji ya watu? Ikitajwa Mwanza mnajipachika mnasema mmehamisha wasukuma!, Dar vivyo hivyo!

Population yenu ndogo imekaa maeneo ya Kimara,Mbezi karibu na njia ya kwenda vijijini kwenu huko Kilimanjaro Kwa hiyo Kwa kuwa mmekaa maeneo hayo wengi unahisi kama bado mpo Kishumundu. Ni sawa na wamachinga na wamakonde walivyojazana Mbagala njia ya kwenda kwao mikoa ya kusini au Wakurya Kitunda.

Anyway Kwa kuwa bado ni wakuja hamjui kuwa Pwani na Dar yote ni miji yenye wakazi wenyeji wanaofanana kimakabila Wazaramo na Wandengereko. Kwa hiyo Mzenga,Maneromango (Hiyo ni Kisarawe) na ni mji asili wa Wazaramo Kwa hiyo obviously Wazaramo wapo miaka na miaka. Ni sawa uende Mkuranga Kibaha Bagamoyo na Rufiji kidogo. Kumbuka kwamba Dar sehemu kubwa ilikuwa wilaya ya Kisarawe!

Kingine kinachowanya msiwatambue Wenyeji ni kutozungumza Lugha za kienyeji kama iivyo huko mikoani mnapoishi. Wenyeji wa Dar wanatumika zaidi KISWAHILI.
 
Nenda MDA huu uchagan Ili uthibitishe nachosema
Uchagan ukijengea bâti jeupe unachekwa kabisa
Acha mbwembwe wewe hizo eti bati jeupe ? Mkuwa huko sio kujazana miji ya watu.

ushamba wa kwenu huo kupaka rangi mabati.
 
Kilimanjaro pia maskini sana. Sijui una maana gani kuitoa Kilimanjaro? Maskini tena sana tu.
Sio tu Kilimanjaro,hâta USA, UK,na uchina maskini wapo
Tunaangalia ratio
Kwa mujibu WA NBS Kilimanjaro umaskini ni 10% tu
Na Sisi Wana Kilimanjaro tumeazikia kufikia 2027 hyo 10% ya umaskini tuifute
NB
KILIMANJARO ni mkoa unaoongoza kwa kuwa na life expectancy kubwa
 
Hao jamaa hawajiamini kabisa 😂😂kila kitu eti wao na wanaobishana humu wengi njaa kali ...Eti kusifu kwao daily wakati mwaka mzima wanaenda mwezi wa December tu na wengi hawaendi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…