Ukimsikiliza huyu mtu kuanzia mwanzo hadi mwisho halafu usiweze kuwa na maendeleo makubwa ya kwako binafsi basi wewe una tatizo kubwa mno

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
msikilize huyu mtu ana hoja nzito zinazoweza kufanya upige hatua kubwa sana kwenye maisha yako msikilize mwanzo hadi mwisho mswahili mwenzetu huyu ana hoja nzito mno

Ingekuwa video ya Gigi money ningeangalia ila hio ndefu sana!
 
Ungeisikiliza ndio ungejua kwa nini watu kama Gig Money ,Diamond nk wapo hapo walipo na wewe ni choka mbaya ingekusaidia kujua na wewe cha kufanya kuwa na impact kama wao na zaidi
 
Nani kakwambia mimi nataka kuwa kama wao? Nimeridhika na kuchoka mbaya kwangu.
 
Ungeisikiliza ndio ungejua kwa nini watu kama Gig Money ,Diamond nk wapo hapo walipo na wewe ni choka mbaya ingekusaidia kujua na wewe cha kufanya kuwa na impact kama wao na zaidi
we una stress sana
 
basi hii mada haikuhusu wewe ungejipitia kimya tu
Mwambie mama asiwe busy kukusanya kodi tu. Dunia inaenda kwa kasi sana huku tukiishi km miaka ya 1770. Kenya wanatumia Paypal kuuza na kununua bidhaa toka nje na wapo mbali sana kiuchumi.
Mwambie, vijana tunahitaji Paypal.
 
nimeandika sana humu ngoja nifufue uzi
 
msikilize huyu mtu ana hoja nzito zinazoweza kufanya upige hatua kubwa sana kwenye maisha yako msikilize mwanzo hadi mwisho mswahili mwenzetu huyu ana hoja nzito mno

Yule Hamza gaidi ambaye ni kada wa CCM alimsikiliza uyo jamaa akapiga hatua
 
Back
Top Bottom