utakumbuka huyo tapeli na kibaka wa kisiasa aliwahi kupotoshwa ana aliewahi kumuita mtu mkubwa nchi hii kwamba akiwa anaenda Chadema HQ avae bullet proof vest,Rudi shule ujifunze kuandika kwanza
Watu kama hawa utawasikia, "mitano tena kwa mama "! Kapelo kubwa lenye picha ya mama yao!! 😁😁Rudi shule ujifunze kuandika kwanza
Umekula lakini?Lissu ni kibaraka wa mabeberu, na wanataka kumtumia kuichafua amani ya Tanzania, na inawezekana anajua kuwa anatumiwa vibaya, au hajui.
Jumuiya ya Ulaya EU) US na People's Power.Wakuu mambo vipi?
Ukipata Bahati ya kumsikiliza lissu na heche kwa umakini zaidi, ukiangalia na sura zao wakati wanaongea
Utagundua kitu Flani, I think kuna mkubwa mmoja wa CCM au wa Serikali yuko nyuma yao
And I think wanaplan moja kubwa ambayo so far serikali haijajua
Possibly wakaja kustuka wakati it's too late
Ila Kuna mchezo mmoja unasukwa somewhere
Wakuu mambo vipi?

Neno "beberu" maana yake ni mbuzi dume! Kwa hiyo hao mabeberu ni kina nani? Na wanaofananishwa na mbuzi jike ni kina nani?
Sawa na wewe ni chawa promax.Lissu ni kibaraka wa mabeberu, na wanataka kumtumia kuichafua amani ya Tanzania, na inawezekana anajua kuwa anatumiwa vibaya, au hajui.
Kama yule mstaafu ni boy basi Wasira yupo Chekechea😳😳Sasa kuna kiongozi mkubwa CCM kuliko SAMIA na Makamu wake ambaye ni Nchimbi,pamoja na Msoga boy.
Umepiga penyewe mkuu🙏ki-ukweli Lissu hakustahili kuwa mwanasiasa Tanzania, such a great alent is being wasted!
kinachowachanganya CCM Lissu anavyojenga hoja hadi wasiompenda wanatapatapa!
upande wa CCM mikutano yao hakuna mjengaji hoja mzuri kama Lissu.
imenikumbusha campaign ya uraisi ya US Kamala kushinda anacheka cheka na ku-waste USD 2B!
sasa hivi CCM wanasubiri CDM wana events sehemu nao ndio wanapeleka events zao huko.
refer no reforms, No Elections kanda ya Kusini, ghafla Nchimbi naye yupo Kusini!
Wewe mbona unatumiwa vibaya au haujioni?Lissu ni kibaraka wa mabeberu, na wanataka kumtumia kuichafua amani ya Tanzania, na inawezekana anajua kuwa anatumiwa vibaya, au hajui.
Mtu mmoja mkubwa CCM na Serikalini ni Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nae ni Samia Suluhu Hassan.Wakuu mambo vipi?
Ukipata Bahati ya kumsikiliza lissu na heche kwa umakini zaidi, ukiangalia na sura zao wakati wanaongea
Utagundua kitu Flani, I think kuna mkubwa mmoja wa CCM au wa Serikali yuko nyuma yao
And I think wanaplan moja kubwa ambayo so far serikali haijajua
Possibly wakaja kustuka wakati it's too late
Ila Kuna mchezo mmoja unasukwa somewhere
utakumbuka huyo tapeli na kibaka wa kisiasa aliwahi kupotoshwa ana aliewahi kumuita mtu mkubwa nchi hii kwamba akiwa anaenda Chadema HQ avae bullet proof vest,
sasa mjamaa alivyo na tumbo kubwa ambalo halina structure ya kueleweka, bullet proof vest ikawa inambana karibu imuue kabisa,
Baada ya siku3 akaacha kuvaa 🤣
Sasa sijui huyo mpotoshaji alimwambia Chadema HQ ni hatar zaidi ya Ghaza 🤣