PreGE2025 Ukimsikiliza Lissu kwa Umakini, Utagundua kuna kiongozi mkubwa yuko nyuma ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sawa na wewe ni chawa promax.
Kila mtu ashinde mechi zake.
Mimi sina hata chama, ila kiukweli ukisikiliza hoja za mheshimiwa, kushinda ajipange sana, ntakua wa-kwanza kuwapigia kura chama kikuu cha upinzani, ikiwa tu wataacha siasa mihemko au siasa balehe. Uwezo wakushinda huenda wanao, ila kinachowaponza ni hicho.
 
Umesikiliza hotuba ya katibu mkuu wako leo?

Hahaha I hope utaachana na maandiko ya lisu kila siku
ni muhim sana kwanza kuweka sawa kumbukumbu dhidi ya huyu kibaka na tapeli wa siasa za Tanzania ndani ya chadema gentleman 🐒
 
Lissu ni kiongozi mdogo?
 
Wabongo kwa majungu tu si mchezo. Unafiki upo kwenye damu zetu. Watu wanazunguka na hoja za kusadikika bila kutaja watuhumiwa, mie nasema hivi lile genge lililokua likimpiga vita Magufuli la kina Nape ndilo lipo upande na Lisu/ CDM kwa sasa ili tu kumkwamisha mama hio October na ndilo lililoweka nguvu Mbowe lazima aondoke kwa vile mangi alikubali mtu wa maridhiano, ila tayari wameshashindwa, maana uchaguzi utafanyika kama kawaida.
 
Hiyo kura utakayowapigia haiwezi kuwasaidia kwa hii tume ya kihuni inayosimamia kura za wizi na kuengua wapinzni kihuni na kuendesha uchaguzi kihuni kwa kushirikiana na vyombo vya dora

Ndo maana walisema wataenda kwenye Uchaguzi Endapo Reform zitafanyika, Chaguzi za serikali za mitaa umeziona na chaguzi za 2020 uliziona kuna chaguzi pale au ni uhuuni tu,

Hizo siasa za balehe na mihemko za Upinzani unazozisema ni zipi?
 
Nyuma yao iko Dunia, siyo kiongozi duni wa ccm
 
Hivi Tumiaakili alipotelea wapi!!?
 
Mangi aliingia tamaa, maridhiano yalikuwa ni failed project, wanachama walihitaji way, si kurudia yale yale miaka nenda rudi

Huwez ku make deal na shetani halaf utarajie itakufaidisha ww. Never
 
Kwa nini unasema hivyo?

Wela hoja ya kimantiki yenye ushahidi unaoipa nguvu dhana yako.
 
Wewe umewahi kushauri nini?
au ndo umetoa wazo la wahitimu wa digrii waende veta?
Hilo wazo katoa PM au nimetoa mm? Au unanifanisha na PM? Naona umetoka kweny msing wa hoja yangu ya viability ya ng'ombe wawili wawili
 
It might be kuna invisible face.
Lissu ni No Reform no Election
Iweje nae awe mtia nia tena kwa maandishi kabla ya Reform?
Hapo kuna Lissu wa No Reform No Election.
Na Kuna Lissu wa mchongo mtia nia hata kama hakuna Reform.

 
Kwa nini unasema hivyo?

Wela hoja ya kimantiki yenye ushahidi unaoipa nguvu dhana yako.

Tulia nyumbani kwako, wakati watoto wote wamelala then Ingia YouTube then angalia hotuba ya lisu ya jana, angalia kwa umakini mkubwa utagundua kitu
 
Tulia nyumbani kwako, wakati watoto wote wamelala then Ingia YouTube then angalia hotuba ya lisu ya jana, angalia kwa umakini mkubwa utagundua kitu
Jamaa alikuwa anaongea kwa kujiamini na ujasiri wa hali ya juu sana. Ila ni kawaida yake ileee. Jamaa ana Mungu yulee.
 
Anaweza asiwe kiongozi Mkuu! Lakini lile kundi la wana CCM ambao hawakuridhishwa na utaratibu uliotumika kuwateua Mama na kaka yake kuwa wagombea wa Urais huenda wako nyuma ya akina Lissu.
 
Jamaa alikuwa anaongea kwa kujiamini na ujasiri wa hali ya juu sana. Ila ni kawaida yake ileee. Jamaa ana Mungu yulee.

Zoom vizuri utapata kitu,
Mwangalie heche wakati anataka signature milion 15,

Utagundua kabisa kuna jambo wrong somewhere
 
No such things as kiongozi mkubwa, ni as if kusema lissu haweza au viongoz wa chadema hawawez kufanya hayo mpaka kuwe na “kiongozi mkubwa”?
Watanzania wengi ni watu waoga, wasiojiamini kufanya au kusema jambo wenyewe. Ndiyo maana misemo kama ''tunaomba utusaidie kupaza kelele'' au ''tunaomba mamlaka sichukue hatua'' inasemwa kila siku na watanzania wengi. Hivyo basi, hawaamini kuwa Chadema au Lissu anaweza kuwa na mkakati wa aina hii bila nguvu kutoka juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…