Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Ni kweli nime SMELL hiki kitu.Wakuu mambo vipi?
Ukipata Bahati ya kumsikiliza lissu na heche kwa umakini zaidi, ukiangalia na sura zao wakati wanaongea
Utagundua kitu Fulani, I think kuna mkubwa mmoja wa CCM au wa Serikali yuko nyuma yao
And I think wanaplan moja kubwa ambayo so far serikali haijajua
Possibly wakaja kustuka wakati it's too late
Ila Kuna mchezo mmoja unasukwa somewhere
Nimeuliza unipe hoja ya kuthibitisha habari hizi, hujanipa hoja hiyo unanipa kazi ya kuangalia video ya Youtube.Tulia nyumbani kwako, wakati watoto wote wamelala then Ingia YouTube then angalia hotuba ya lisu ya jana, angalia kwa umakini mkubwa utagundua kitu
Naaam hilo nalo ni tatizo. Kila kitu wasaidiwe kila kitu wanadhan kina mkono wa mtuWatanzania wengi ni watu waoga, wasiojiamini kufanya au kusema jambo wenyewe. Ndiyo maana misemo kama ''tunaomba utusaidie kupaza kelele'' au ''tunaomba mamlaka sichukue hatua'' inasemwa kila siku na watanzania wengi. Hivyo basi, hawaamini kuwa Chadema au Lissu anaweza kuwa na mkakati wa aina hii bila nguvu kutoka juu.
Alishaaga !lakini kwenye Uzi wa mwisho was "usaliti wa jemadari wa marekani" aliandika taarifa zinatoka juu na kurudi chini!!ndio hiyo operation PJLK japo hatujui ipoje!! Desert mission labda ndio mission ya nchi kavu huku Tanganyika hatujui labda ndio hiyo ya kuzuia uchaguzi hatujui!!Hivi Tumiaakili alipotelea wapi!!?
Yeah na ashikilie hapo hapo, maana uo ndo ukweli,nani wakupinga??Ni kweli, ila hoja zake kuhusu uchafu katika chaguzi za Tanzania ni za dhahiri.
Wakuu mambo vipi?
Ukipata Bahati ya kumsikiliza lissu na heche kwa umakini zaidi, ukiangalia na sura zao wakati wanaongea
Utagundua kitu Fulani, I think kuna mkubwa mmoja wa CCM au wa Serikali yuko nyuma yao
And I think wanaplan moja kubwa ambayo so far serikali haijajua
Possibly wakaja kustuka wakati it's too late
Ila Kuna mchezo mmoja unasukwa somewhere
SI kweli,Saa nyingine nakuwa na wasiwasi wa kwamba hii No Reform No Election, hivi yaweza kuwa Team Samia wamemwanga mpunga wa kutosha kwa CDM ili Wasishiriki uchaguzi ili Samia apite kirahisi sana au CDM wameshauriwa vibaya na Mapandikizi ya CCM au na watu wa system ili kuwamaliza nguvu za kisiasa kama wapinzani.
Aiseee ila hii ni habari njema kwa walio wengi.Mimi Kwa uelewa wangu japo sijui ni sahihi au sio sahihi;-
Mtia Nia alipewa jukumu la kuanzisha mchakato was katiba mpya yaani aitishe Bunge la katiba!!ye akapuuza hilo na akajiona anazo means za kuzuia hilo Ili apate kushinda Tena kiti kwa katiba ya sasa!!
Akajaribu ku manipulate upinzani na so called nusu mkate ambao ungefanikiwa kupitia Mbowe kushinda uenyekiti hapo chadema!!
Sasa basi,waliompa maagizo mtia Nia na wao wakakwamisha mpangokazi wake kwa kuhakikisha Lisu anashinda uenyekiti baada ya Lisu kushinda ndio wanamtumia Lisu ili azuie uchaguzi na uchaguzi ukishazuiaw Ina maana chama changu kitapoteza Dola Kwa ukomo wa muda na nchi kuongozwa na idara hadi reforms zikamilike ndio uchaguzi ufanyike!!
Waliompa maagizo wametupa sisi ccm mlango wa kutokea kama mtego ili tuahirishe uchaguzi Hadi reforms zifanyike na hapo kwenye reforms ndipo kizungumkuti kilipo!coz hatujui idea imelenga Nini hasa na Hadi Sasa hiyo code not decoded!
Wametupa option ya kuongeza muda wa Bungee baada ya kuona tunahaha sana na kauli za Lisu zilizotushika pabaya!!
Na hii imetokana na shingonzetu ngumu za sisi makada kutosikiliza idara yaani waliotipa madaraka wanataka nini na wao wanataka kutuonesha kwamba wanatumudu na wanaweza Fanya lolote kama maagizo Yao yasippfuatwa!!
Vifo vya makada viongozi wa Chama waliochaguliwa na wengine kupotea na wengine kukutwa wamekatwa mapanga vinaashiria Kuna idara isioonekana IPO mzigoni!Sasa hatujui ni ni kitajiri kama Hali ikiendelea kuwa hivi ilivyo!!
Kama tukilazimisha kinyume na matakwa yao wale jamaa walishamuonya kama mchakato wa katiba mpya hautoanza mwaka 2022 ni Rasmi mtia Nia itakua "too late kwake"
Hii too late ndio hayo mapicha picha tunayoyaona na mengine yapo loading yatakuja!!
Naamini Bado tuna KAZI ya kupigana na idara na sio upinzaninwa chadema kama makada wenzangunwaliowengi wawazavyo!!
No mawazo yangu huru hayo!!Yaani kufuatilia kwangu maandiko ya humu kumenipa hiyo tafakuri!!!
Mkuu Rabbon kitu gani ww kinakufanya uamini kuwa CDM ya Mh Lissu na Heche kwa nguvu na ushawishi wao wataweza kuzuia uchaguzi?SI kweli,
Bila CHADEMA,uchaguzi nchi hii hauna taswira yoyote njema ndani na nje ya nchi.
Kuanguka kwa Mbowe na kuinuka kwa Lissu wakati huu, kuna maana kubwa sana kwenye nchi kupata mabadiliko ya kweli.
Yupi huyo japo kwa Code?Huyo mtu mkubwa ni yule mwanasiasa maarufu wa enzi na enzi?
Sema hivi; No refomu ni mkakati wa pamoja wa kususia uchaguzi ili kuepusha ushindani kwa mgombea.
Sina maelezo zaidi!
They are the men themselvesWakuu mambo vipi?
Ukipata Bahati ya kumsikiliza lissu na heche kwa umakini zaidi, ukiangalia na sura zao wakati wanaongea
Utagundua kitu Fulani, I think kuna mkubwa mmoja wa CCM au wa Serikali yuko nyuma yao
And I think wanaplan moja kubwa ambayo so far serikali haijajua
Possibly wakaja kustuka wakati it's too late
Ila Kuna mchezo mmoja unasukwa somewhere
Jamaa halina kujipendekeza, kama vile hivi limekomaa kisiasa, lina ngozi ngumu, linafaa kuwa Amiri Jeshi Mkuu Tz.Umesikiliza hotuba ya katibu mkuu wako leo?
Hahaha I hope utaachana na maandiko ya lisu kila siku
Ni sababu kupigwa risasi kwa Tundu lissu hakukuwa maigizo.Mkuu Rabbon kitu gani ww kinakufanya uamini kuwa CDM ya Mh Lissu na Heche kwa nguvu na ushawishi wao wataweza kuzuia uchaguzi?
Vipi yule anae SEMA degree ziende VETA??!kiongoz mkubwa anaeshauri watu wapewe ng'ombe wawili wawili ndo nchi ikue kiuchumi๐ ๐ ๐ . Watu wengine ni takataka kama wakipewa madaraka kwasababu hawana akili kiasi hicho ambacho wakiwa wapinzani wanaonekana wapo nayo
Ukiwa Huna d mbili huwez elewa iz codeAlishaaga !lakini kwenye Uzi wa mwisho was "usaliti wa jemadari wa marekani" aliandika taarifa zinatoka juu na kurudi chini!!ndio hiyo operation PJLK japo hatujui ipoje!! Desert mission labda ndio mission ya nchi kavu huku Tanganyika hatujui labda ndio hiyo ya kuzuia uchaguzi hatujui!!
Japo Kuna baadhi ya wajuvi nao wanahisi kwamba mgombea mwenza ndie mpangokazi wa hao jamaa the state!!
Kwenye maono inaonekana nyota itokayo Brazil ikawa kubwa sana na kung'aa kama jua Sasa hatujui kama nyota hiyo ndio mgombea mwenza ambaye alikua balozi huko Brazil!
Kiongozi wao mkubwa ni Amsterdam.Wakuu mambo vipi?
Ukipata Bahati ya kumsikiliza lissu na heche kwa umakini zaidi, ukiangalia na sura zao wakati wanaongea
Utagundua kitu Fulani, I think kuna mkubwa mmoja wa CCM au wa Serikali yuko nyuma yao
And I think wanaplan moja kubwa ambayo so far serikali haijajua
Possibly wakaja kustuka wakati it's too late
Ila Kuna mchezo mmoja unasukwa somewhere