Ukioa mwanamke wa kichaga unaheshimika sana mtaani

Nipe sifa zao wadada wa ugweno

1. Wanawake wote ni sawa, ila kinachowatofautisha ni Makuzi, mila na desturi.

2. Wanawake wa kipare hawako mbali na wanawake wa kichaga. Au jamii za Kilimanjaro na Arusha.

3. Wanapenda Haki sawa na hawapendi kuonewa. Jambo hili kwa kiafrika huonekana wanakiburi.

4. Wanachapa kazi kwa sababu hujiona wao na wanaume ni sawa tofauti ipo kwenye jinsia tuu.

5. Kusomesha watoto ni jambo ambalo hukazana nalo pasipo kumtegemea Mwanaume.
Ukiachana na Mwanamke wa kipare suala la matumizi anaweza asikuhusishe. Ila jiandae mtoto kuwa wa ukoo wa kiukeni.

6. Ndugu upande wa Mwanamke, mjomba wananguvu kwa sababu wapare hutumia ile falsafa ya Mtoto wa Dada ni mtoto wako kwani ndio wanauhakika naye. Kanuni hiyo pia hutumika kwa Wayahudi.

7. Wanatabia ya Bajeti Kali, jambo linalowafanya waonekane Wachoyo lakini ni kwa sababu kila pesa ipo kwenye mahesabu.
Sasa mgeni kuja pasipo taarifa huibua tafrani.

8. Kama ni mwanaume legelege wanaweza kukusumbua kwani wanajiamini ambapo hakupo mbali na jeuri na kiburi.
 
Sasa combination ya mchaga na mpare ikoje ,
 
Mchaga akioa mkinga mambo yake yanakua boom [emoji95]
 
Lazima iende. Wachagga na wapare wanaoana vizuri, ila kwa siku hizi mchaga kwa mchaga ndio imekuwa Kimbembe.
Wadada wengi wa kichaga hawapendelei kuolewa na Wachagga wenzao.
Nazungumzia hawa Wachagga waliochangamana na jamii zingine
Umegundua sababu ni nin?
 
Huwajui wachaga wewe, usiombe hata kidogo mwanamke wa kichaga anahamishia ukoo wote, baadhi ndugu watakuja mchana tu au ukisafiri, nawapenda wachaga ila ni wabinafsi na wabaguzi sana, na hawana upendo kwa wasio wachaga akiolewa na kabila jingine ujue kafuata fursa tu sio upendo, mchaga utamuona mtu ukiwa unaanza na nae na mkiwa mnajitafuta.

Join the race to see how it tastes
 
Haya mambo hayana kanuni,ni Mungu tu kukupa,...wakati nakua nilisikia wanazungumza makabila 2 sio ya kuoa,vigezo
1.Kabila 1 malaya
2.Kabila 2 wanaua wanaume
Wakati nakua akili ikawa imejengeka hivyo...wakati wa kuoa umefika,..mchumba wa kwanza huyo waliyesema anaua wanaume,japo hatukufika malengo..wa pili ni huyo waliyesema kabila ni malaya sana,..cha ajabu binti mcha Mungu,msomi na katulia+upendo wa kutosha..nikajifunza tokea pale,...muombe Mungu akupe aliye mwema.
 
Kwahiyo mtu akisali ndio anakuwa sio malaya


Bado una njia ndefu

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…