Ukioa mwanamke wa kichaga unaheshimika sana mtaani

Huu ulikuwa ujinga na dhana potofu ya zamani baada ya ukoloni......siku hizi jamii ikishajuwa umeoa mchagga (demu) wanakucheka pembeni (nyuma ya pazia), washikaji waliokuzoea watakukalisha chini na kukuuliza umepetwa na matatizo gani kuoa Mchagga. Wanawake wa Kichagga na Kipare si wa kuoa mkuu, ondoa kabisa ujinga huu kichwani mwako. Yes. kuna baadhi yao wako tofauti lakini jamii bado tu haitakuelewa kuoa hawa watu. Mtaani tunawaita majinamizi ya talaka.
 

Bravo [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi nikiona kuna nguvu kubwa ya kutangaza Jambo ndio wasiwasi unanizidi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo wanaongea sana hadi mtaa wa pili! Mdomo mreeeeefu! Mwanaume kama unataka stress chukua hayo mamjamaa! Kama ukiomba Mungu akakupa hapo sawa! Lakini ukijichanganya hiyo mianamke ya kichaga ni majanga! Hayajui kumstahi mume! Yenyewe domo juu na kujifanya yanajua kila kitu! Mxiuuuh!
 
Lazima iende. Wachagga na wapare wanaoana vizuri, ila kwa siku hizi mchaga kwa mchaga ndio imekuwa Kimbembe.
Wadada wengi wa kichaga hawapendelei kuolewa na Wachagga wenzao.
Nazungumzia hawa Wachagga waliochangamana na jamii zingine
Watu hawajui tu ila tuliopo ndani ya hizi clans tunajua vzur ni sio sana kwamba wanapendelea kuoana wao kwa wao mana madada zetu jeuri nying sana.
 
Sema na ww kama sio mchaga kumpata mwanamke wakichaga lazima uwe na kitu, ukiwa boyaboya huwezi oa mchaga!
Sio kweli mm sio mchaga lkn toka nmeanza mahusiano hua nakutana na wachaga tu sijawahi kutana na mwanamke tofauti na mchaga halaf siwapendi wanawake wa kichaga lkn ndio nakutana nao kingine watu wasichokijua hawa wanawake ni malaya aisee na huko kwao moshi ukimwi ni mwingi sana kuliko watu wanavyofikiria

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…