Ukiogea chumvi ya mawe kila mtu hukuona ni mtu mwenye amani

Muwe mnachoma na sulphur kabla ya kuhamia
 
Ila majuzi nikiona clip ya Mwakasege ..naye akisema alienda Mbinguni akaonana na Yesu!
 
Ila majuzi nikiona clip ya Mwakasege ..naye akisema alienda Mbinguni akaonana na Yesu!
Ni mambo ya kiroho. Ni ngumu kuthibitisha kwa ulimwengu wa damu na nyama.
Kama mtu masikini anakopa hela 5 milion anaenda hija Macca kumponda jiwe shetani na anaamini limempata la mbavu.
  • Wewe ushawahi kumuona shetani?
  • Shetani unaweza kumpiga kwa jiwe?
 
Mpaka akili zije ziwakae sawa mtauziwa sana hizo chumvi na maji,siku mkiamka itakua too late.
 
K
Mbona JoDevie na Zumaridi waliposema walienda Mbinguni kuonabna na Yesu ...Umma uliwaponda na kuwaona hamnazo!?
 
K

Mbona JoDevie na Zumaridi waliposema walienda Mbinguni kuonabna na Yesu ...Umma uliwaponda na kuwaona hamnazo!?
Kuna wengine hawaamini mambo ya kiroho.
Wewe unaamini akhera Allah atatoa mabikira 72?
Kuna wengine wanaamini na wengine hawaamini.

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;
 
Mpaka akili zije ziwakae sawa mtauziwa sana hizo chumvi na maji,siku mkiamka itakua too late.
Mpaka siku mkikaa sawa ndiyo utajua Allah aliwadanganya na ahadi ya mabikra 72.

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Hapo mpo wanaume wa kiislamu 10 na kila mmoja ana mabikra 72. Huko peponi panakuwa danguro maana ni sauti za watu zinasikika wakifanya ngono.
 
😀 😀
Kwenye dini kuna upigaji mwingi sana.
Nchi ya Saudia Arabia inakusanya pesa nyingi sana kutoka kwa watu.
Mtu yupo radhi akakope 5 milion apande ndege aende Saudia Arabia (Macca) kumponda jiwe shetani.
Mtu anazunguka Kahaba na jiwe lake mkononi anamtupia jiwe shetani. Shetani unaweza kumpiga kwa jiwe?
Shetani unamsikia na haujawahi kumuona tangia utoto mwako hadi sasa hilo jiwe litampataje?
Watu wanapigwa sana kwenye dini
 
Kwa hili la chumvi nimejifunza hata Dodoma ndio maji tunayotumia kuongea na kunywa naamini kwa chumvi hii ndio imetufungulia serikali kuhamia apa,soko la ndugai,stand mji wa kiserikali na sasa uwanja wa mpira
Duh!....
 
Mtaendelea kuitwa Kondoo sana tu,

Haya nenda ukauziwe chumvi ya buku kwa elfu 50 uoge ili upate bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…