Ukiogea chumvi ya mawe kila mtu hukuona ni mtu mwenye amani

Ni soma pana sana sema linahitaji uzi kbsa.
 
Wewe uliliona kwa namna ipi mkuu?
 
Wanazuoni wanadai ili upate matokeo azuri tumia chumvi ya mawe ambayo haijagushiwa...isiwe imechakatwa kiwandani.

Wanaongeze pia, nzuri zaidi ni ile ya rangi ya pink inayotoka milima ya Himalayan.....almaarufu Himalayan salt. Hii huchimbwa kwenye miamba ya milima tofauti na tulizozizoe za kwenye bahari na sehemu nyingine.

Chumvi na maji zikiungana zinatengeneza kitu kikubwa katika ulimwengu wa roho, ni element ambazo hazina mbadala (alternative). Hakuna mbadala wa chumvi na maji kwenye matumizi yake.

Kazi za chumvi kikawaida ni hizi, kutunza (hutunzia vitu km nyama visiharibike), kutia ladha, kutakasa/kusafisha. Sasa unpoitumia lazima unuie...kwa maneno yetu tunaumba.

Ewe chumvi uliyeumbwa toka asilia ya dunia ilipoanza, kama utunzapo vitu....itunze nyota yangu...,., kama utakasapo vitu....takasa mwili na nyota yangu....nuia kwa kumaanisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…